Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanataka ndani ya siku saba serikali ya CCM iwe imefanya haya:

  1. Ndarichako awe amejiuzulu
  2. Uwiano wa wafanyakazi wa NECTA kati ya Wakristo na waislam
  3. Kuundwa tume huru kuchunguza kufelishwa kwa wanafunzi wa kiislam
  4.........
  5 Serikali iwape nafasi wanafunzi wote ambao baada ya matokeo yao kubadilishwa wamekuwa na sifa za kujiunga na vyuo vikuu waruhusiwe kuomba mikopo bodi ya mikopo,

  Imetolewa na Shekhe Mkuu wa Tanzania

  Consern

  Kipi kitafuata?????
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Risasi tu sindiyo uwezo wa serikali uliobaki....
   
 3. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  La 3 laweza kufanyika.... La 1&2 ni Kama kudai mahakama ya kadhi hayawezekani kwa Sababu hatuchagui watu kwa dini zao... Lakini kwa serikali ya JK lolote lawezakana!!!!
   
 4. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Dhuluma isiyoelezeka.
   
 5. 4

  4change JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  jamani tunaelekea wapi?hivi necta watu wanaenda kuongoza ibada kule?matokeo ya uongozi legelege kwenye hii nchi ndo yanatufikisha hapa.suala la kuingiza udini kwenye taasisi ya serikali ni upuuzi ambao haupaswi kuendekezwa hata kidogo
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  waunde NECTA yao, hii wawaachie magalatia..kwani nani kazuia?
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu muonamambo naona umeona mambo! Hilo la pili ni chokochoko tu. Tukianza hivyo itakuea tabu kweli kwa Tanzania. Hapa kuna wanawake wanataka asilimia 50; hapo tuna shida tayari. Kesho useme wakristo asilimia 50 na waislamu 50 keshokutwa wasukuma nao watataka asilimia yao! Wakurya nao watake sehemu yao kisha wachagga nao wajimegee sehemu yao kwenye vyombo vya nchi: Tutakuwa na nchi kweli hapo.
  Kosa limetokea na Waziri amekiri na kuomba radhi baada ya maelezo lakini naona watu wanataka roho yake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sio mazito ni ya kidini tu. Serekali ikemee huu udini unaoenezwa na ndugu zetu waislamu
   
 9. s

  sapiesia Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapo tu mitihan na suala litakuwa solved wangechomewa nyumba za ibada cjui ingekuwaje??wangelala barabarani...
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dawa ya wajinga ni kuwapuuzia tu
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi waziri wa elimu naye ni mumission?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tudhulumiwe tukae tunaogopaogopa kuitwa wadini> mtaita wadini mpaka mchoke, nyiyi msio na dini mbona mmewafelisha watoto zetu walio pasi?
   
 13. M

  Masanga Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  waislim wamechoka kuonewa juu ya mfumu uliopo baraza la mitihani wa kuwakata marks wanafunzi wa kiislam kila mwaka
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini haya masomo ya dini yasiondolewe kwenye mitaala ya serikali? Serikali si haina dini ya nini sasa kujishughulisha na kusimamia mitihani ya kidini! Wawachie viongozi wa dini kuendesha mitihani ya masomo ya kidini nje ya mfumo wa kiserikali ili kuepukana na mambo kama haya.
   
 15. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nashauri Ponda awe katibu mtendaji
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hawa watu mambo yasiyo na maana huwa wanayaona ye maana na yaliyo ya maana wanayaonaga hayana maana.
   
 17. B

  Bob G JF Bronze Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa watu ni tatizo na wanamatatizo ya kufikri na kuona, waziri na katibu mkuu wote Waislamu na Rais, sasa wamchukue Mufti na mashehe wote wakasaishe na kuchagua wanafunzi ,Waziri katoa taarifa inajitoshereza na inajibu madai yao yote bado wanaandamana tu nchi isitawalike na wanataka wapate nafasi ya kuchoma na kupora makanisa kama ilivokua zanzibar na polisi wamejua akili yao wameandamana na kufanya mkutano sasa mwislamu mwenzao wanataka ajiuzuru, tatizo si necta Tatizo ni uwezo mdogo wa kufikiri
   
 18. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kweli nimeamini! Ukizoea vyakunyonga vyakuchinja huviwezi. Hivi NECTA ni parokia? Kwanini computer zote zimejaa magospel songs? Hawa ndio wachakachuaji na wako tayari damu imwagike lakini wizara na necta hawaziachii na atakayefumua haya madude inamhitaji kuwa na roho ngumu kwani mfumokristo umeweka mizizi na inazidi kustawi hadi kutokezea nje. Hili limfumo kristo litasababisha maafa muda si mrefu.
   
 19. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Na Rais na Makamu Rais wangekuwa Wakristu napo ingekuwa balaaa, kila siku ingekuwa maandamano tu, sijui tutafika wapi kwa hii hali!!!!
   
 20. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mbona sisi wakristo tunampenda sana JK Wakati ni Muislam???? Wala hatuna shaka na utendaji wa waislam serikalini? Ni vizuri mtu akawajibika bila kujali anatoka dini gani kwani kutowajibika hakutokani na dini ile tabia ya mtu binafsi. Kama kuna ushahidi wa udini ni dhambi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...