Tazama hii picha ya CCM kuhusu mkutano wa Jangwani kesho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama hii picha ya CCM kuhusu mkutano wa Jangwani kesho!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duma, Jun 8, 2012.

 1. D

  Duma Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [​IMG]

  CHADEMA hawakutoa usafiri watu walikuja wenye. CCM wanatoa usafiri Dar es salaam na mikoani bure. Je ni chama gani kinapendwa kati ya kile kinachotoa usafiri bure na kile ambacho watu wanajilipia nauli?
   

  Attached Files:

 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,156
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Wanaelekea kuzimu hao
   
 3. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,156
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Msikini nape
   
 4. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,389
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kinajulikana na jibu unalo
   
 5. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 844
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kicks of a dying horse
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,500
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Dalili zinajionyesha
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  2+2 = ? Ukijibu najua hata jibu la chama gani kinakaribia kufa utakuwa unajua.
   
 8. C

  COWARD Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.I.P. MAGAMBA(NYINYI EM),we will never never ever mis u
   
 9. I

  Incognito Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwanini usafiri kwa wanafunzi wa UDSM pekee? Kwamba wanataka kuwanunua wanazuoni au wamechoka sana hawa?
   
 10. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza zaidi ni kwamba hata hao walioandaa hilo tangazo hawajiamini au kwa mtazamo mwingine wanaona aibu maana hata majina yao hawakuandika chini ya tangazo. Wameishia kuandika namba zao za simu. Wanajua wakisema tu kwamba wao ni CCM watatengwa na wanafunzi wenzao.

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 11. k

  kitero JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mkutano wa Janwani uliofanywa na CHADEMA ungekuwa umefanywa na NCCR au SAU je wange jitokeza na kufuta nyayo? Au kwa sababu ni CHADEMA chama kubwa/ kambi kuu ya upinzani ndiyo maana wameamua kujibu mapigo?

  Au Huu mkutano ulikuwa ktk ratiba yao au ni mkutano wa gafla?najaribu kujiuliza haya maswali yote na sipati majibu kama kuna mwenye majibu pls naomba atupatie kwa faida ya wote hapa JF. Na katika gazeti la Mwananchi la leo huko kusini nako mawaziri wamesha anza kupita walikopita timu ya M4C (BARCELONA)
   
 12. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,748
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  TAARIFA RASMI

  Mwenye namba 0752316376 ni JAMES KAJUNA. na ole wake wanachuo wakose hilo gari wakati wa kurudi chuo/hoster ndo atakiona cha moto...
   
 13. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa mara kadhaa tumekuwa tukisema hapa jamvini kuwa CCM haiwezi kupata watu kwenye mikutano yao bila kupakiza watu kwenye malori.Nape naomba ujibu hili.Usije ukasema tunakurupuka........
   

  Attached Files:

 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watu wamechoka na ccm, watu wanataka mabadiliko na CHADEMA imekuwa kimbilio la wengi
   
 15. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kaka hilo tangazo nililiona jana usiku wakati natoka darasani nkalipiga picha then asubuhi likawa limeshachanwa vipande vipande kiasi kwamba huwezi hata kujua kama lilikuwa linahusu nn. ilikuwa kila anayelisoma anaishia kati then anasonya anaondoka
   
 16. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  teh teh anasoma nn huyo kaka, kama nmeshawahi kulisikia hilo jina hapa udsm
   
 17. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwaka 2005 nilipokuwa 3rd year hapo Mlimani kipindi hicho Kikwete yupo kwenye chati waliwarubuni wanafunzi wengi sana kwa Tshirt na elfu tano tano kwenda Dimond Jubilee. Kwa kipindi hiki sidhani kama wataweza kuwanunua wadogo zangu hata kwa laki moja moja wakakubali kwenda kuuza utu na heshima yao. Ikataeni CCM kwa Vitendo.

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 18. m

  msnajo JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,129
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kaka ukishikwa pabaya lazima ujaribu kila mbinu kujinasua! Nyinyiemu wamekamatwa pabaya?. Ishu sio kushindanisha waliokuja kwenye mkutano, but kusolve pblm! Napata shida sana kuhusu wanaofanya maamuzi huko ccm, hivi wanaamua kuitisha mkutano kulipizia CDM? It cant be, it will take time to believe this thing!!! Haya bwana, na muwafuate cdm kule kote walikopita, kuanzia kusini!
   
 19. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  CCM kitakufa tu kitake kisitake,alichoumba mwanadamu hakiishi mwisho,kwamba ccm itatawala milele NAPE AMELIDANGANYA TAIFA NA AMEPROOVE FAILURE YA KISOMO CHAKE.
   
 20. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 844
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kula CCM kura na kulala CHADEMA!
   
Loading...