Mkutano wa madaktari leo kitajiri nini?

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Kwa wale wanaokumbuka usumbufu na taabu tuliyopata madaktari walipogoma mapema mwaka huu naamini leo mna hamu kujua katakachojiri.Meza ya majadiliano kati ya docs na serikali imekuwa ya usiri mno na naamini kimya kingi kina mshindo mkuuu.....let wait and see
 
Ile ghahawa ya ikulu iliwamalza.Madokta wa bongo wote fake kama dr.Jk
 
Kwa wale wanaokumbuka
usumbufu na taabu tuliyopata madaktari walipogoma mapema mwaka huu
naamini leo mna hamu kujua katakachojiri.Meza ya majadiliano kati ya
docs na serikali imekuwa ya usiri mno na naamini kimya kingi kina
mshindo mkuuu.....let wait and see

let us hope hawatagoma. ni pre - budget pressure kwa serikali itimize makubaliano yao.
 
Back
Top Bottom