Hukumu ya kesi ya ubunge Igunga bado?

MASEBUNA

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
243
54
Ile kesi ya ubunge jimbo la ibunga nilisikia ilipaswa kutolewa wk hii au mimi nitakuwa nimepitiwa naombeni kujua itafanyika lini?
 
Acha papara hukumu inasukwa kitaalam subiri tu jiandae kwenda kwenye kampeni huko Igunga soon!!
 
NI IGUNGA, Inatarajiwa kuendelea TRH 13/06/012 kwa kusimama kizimbani kwa waziri J,Makufuli kujibu tuhuma za kufanya kampeni na kutoa ahadi kama waziri wa ujenzi.
 
NI IGUNGA, Inatarajiwa kuendelea TRH 13/06/012 kwa kusimama kizimbani kwa waziri J,Makufuli kujibu tuhuma za kufanya kampeni na kutoa ahadi kama waziri wa ujenzi.

Nimemsikie mwenzie wa "misitu" akisema kwamba nae aliitwa kujieleza! Sijui alieleza nini kuhusu Gombe!
 
Mahakama ya Igunga na Jaji atakaye ongoza kesi hiyo tunaomba atende haki juu ya wananchi wa igunga na watanzania wote.
 
Wana JF napenda kujua mwenendo wa kesi ya uchaguzi Igunga ukoje? kama unaelewa naomba kujua.
 
Watu hawataki kukumbuka unyama uliofanyika Igunga wakati wa kampeni mauaji, vurugu, Tindikali,
 
Back
Top Bottom