Hivi Magamba wataandikaje mabango yao kesho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Magamba wataandikaje mabango yao kesho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOMA, Jun 8, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kesho ccm watakuwa na mkutano wao pale jangwani sasa sijui wataanikeje.
  Maoni
  waandike Vua gwanda vaa Gamba
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nadhani watakuwa wanwaponda cdm zaidi
   
 3. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hawana hata cha kuandika kwenye mabango yao
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Wataandika

  cdm amtuwezi nyie mlienda kwenye mkutano bure,sisi tumepewa kila mtu tsh 500o mtajibeba
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  wataandika HIVI

  1. MTUSAMEHE KWA UFISADI HATURUDII TENA TUONEENI HURUMA

  2. HATURUDII TENA

  3. Imeandikwa msamehe nduguyo 7 x 70
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Watandika;

  TUNAJIJUA SISI NI MAFISADI, BUT TUKALE WAPI??!!
   
 7. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maisha bora kwa kila mtanzania yanakuja punde.
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Tutaendelea kuchukua mikopo mikubwa popote duniani ,tukifaidi na wake na watoto wetu mpaka wananchi mutie akili

  Mwaka huu tutaagiza baiskeli millioni moja za kuwavunja viuno wajawazito

  Mabwawa ya maji ya sumu toka migodini yatawekewa mabomba mpaka kwenye nyumba zenu

  Tutaendelea kunyang'anya Maiti na kuzitupa msituni kama mizoga
   
 9. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hatukadhi nchi kwa makaratasi, hata mkishinda tutapora ushindi, hilo bango la kwanza
   
 10. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ziara za rais nje ya nchi zina manufaa makubwa, ona tunaletewa shanga toka India, Doha, Oman na Ulaya, Sisi tunawapa dhahabu, Almasi na Tanzanite etc. hilo bongo la pili
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Nape keshasema VUA GAMBA..VAA GWANDA....VUA GWANDA ....VAAA UZALENDO sijui unauvaaje uzalendo!


  [​IMG]
   
 12. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  CCM fisadi fisadi, tumemwibia baba yako? hili atabeba Nape bango la tatu
   
 13. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ukipenda kula lazima nawewe uliwe; Vihelele vyenu ndo vinawapa mimba za Utotoni, Kikwete tunakupenda. Bango la Nne
   
 14. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Vijisenti vya RADA tumerudisha, tafuteni jingine; CDM hamtuwezi sisi kwa kula rushwa, Sura ya kinyago haimtishi mchongaji. Bango la Tano
   
 15. s

  sokwe hapiki Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm bira rushwa haiwezikani.
   
 16. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kasi kuukuu, Ari Kuukuu na Nguvu kuukuu, taabu kwa kila mtanzania. Kikwete 2005-2015. Bango la Sita
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Vijembe vya vyama pinzani............TANGAZO MOJA LITASOMEKA:

  CHADEMA MWISHO 2015
   
 18. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mshahara mdogo, Kodi kubwa, mfumo wa bei mkubwa; Kwani Kikwete ni rais wa kodi na mifumko ya bei??? Mshahara mdogo ungezaliwa Ulaya, kwani rais alikuomba uzaliwe Tz? bango la saba
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Usalama wa CCM, Polisi wa CCM, Jeshi la CCM; Kuachia nchi mpaka nchi imepasuka vipande. Bango la nane
   
 20. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Maji safi utatafuta mwenyewe, dasani si ipo madukani?? nani kasema watanzania hawana maji safi?? Fitina za CHADEMA ZIKOME
   
Loading...