Mimi naamini walimu walishagoma siku nyingi, ila kwa vile serikali ni dhaifu haioni, inajifariji hakuna mgomo. Hivi mtu mzima na akili yako timamu unaanza kuhoji eti kwa nini watoto wamejiunga...
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha...
Naungana na madai ya madaktari dhidi ya serikali ambao hadi sasa yanataka kuwafanya wagome tena. Lakn hivi kwanini wasishinikize hayo madai yawahusu pia wafanyakazi wengine wa kada ya afya ambao...
Kwa ufahamu wangu wa misamiati ya Kiswahili...uzembe sio tusi, ni sifa "kivumishi cha sifa" ingawa sio sifa nzuri kwa mtu kuringa nayo. Ni dalili ya udhaifu fulani..
Hebu fuata link hii ya Bunge...
WAMILIKI WA VIWANDA VYA NGUO WANAMSHINIKIZA WAZIRI WA FEDHA DR MGIMWA AFUTE VAT KWA BIDHAA ZAO KWA KISINGIZIO CHA KULINDA VIWANDA VYA NDANI. HILI LIKIFANIKIWA LITAPUNGUZA MAPATO YA SERIKALI, NA...
Nimefuatilia kwa ufupi mjadala wa bajeti unaoendelea katika Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na kugundua kwamba hali ilipofikia ni mahala ambapo Wazanzibar wanataka kuvunja Muungano ili wafanye...
Na Stephano Mango, Songea
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Ruvuma kimemtaka Katibu wahalmashauri kuu ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuacha kuwadanganya wananchi kwa kuwapa...
GREAT THINKERS WA JAMII FORUM
Nauliza je kuna uzi ambao mmliwafanyia uchambuzi wa inn and out hawa majaji wapya wa mahakama kuu? Naungumzia hukumu zao zilizopita, nafasi yao kwenye jamii na...
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama
Habari wana jamii forum MAKAMANDA na wana M4C (movement for Change) popote pale mlipo, Ndani na nje ya nchi. Bila shaka tunakubaliana CHAMA sasa kinakua kwa kasi, ila tunahitaji kutoa sapoti ya...
Magufuli ameshauriwa aache tabia ya kukariri kilomita za barabara na kupiga kelele majukwaani, badala yake atoe hoja na kusimamia ujenzi wa barabara zenye viwango na siyo kama ilivyo ile ya...
Kwa wale waliofuatilia mjadala wa leo asubuhi bungeni, bila shaka wataungana nami kusema spika hakutenda haki ktk uamuzi alioutoa.
Kilichotokea ni kwamba mh. Ngeleja alitoa maneno ya kuudhi au...
Katika pitapita yangu kijijini kwetu, nikabahatika kukutana na hii product mupya... Watanzania wanajaribu kuwa wabunifu ili angalau kupunguza makali ya maisha. Hii ni kamba ya kufungia mifugo kama...
Napenda kumtaarifu Bw. Ahmed Rajab mwandishi maarufu wa makala na Mzanzibari aliyeko ughaibuni kuwa sisi Watanganyika hatutaki muungano wa mkataba ambao wewe unajaribu kuwashawishi Wazanzibari...
Hoja yangu
Lula wa Ndali Mwananzela
Toleo la 244
20 Jun 2012
KIKUNDI cha uamsho cha Zanzibar pamoja na makundi kadhaa yanayopinga Muungano kinasema Tanganyika inaidhulumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.