Ulimwengu: Magufuli toa hoja acha kukariri kilomita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimwengu: Magufuli toa hoja acha kukariri kilomita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Jun 21, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Magufuli ameshauriwa aache tabia ya kukariri kilomita za barabara na kupiga kelele majukwaani, badala yake atoe hoja na kusimamia ujenzi wa barabara zenye viwango na siyo kama ilivyo ile ya Mlandizi - Chalinze iliyojaa manundu!

  Magufuli upooo!
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Muda si mrefu nitakuja na report kamili, lakini kwa taarifa tu ni kwamba, Kilometa alizokuwa anazitaka magufuri pale Jangwani siku ccm wanafanya rehersal ya maigizo zilikuwa ni uongo. hivyo sidhani hata kutumia neno kukariri ni sahihi.

  Amekuwa anadanganya wananchi kwa muda mrefu sana, mwisho wake umefika. kuweni wavumilivu.
   
 3. M

  Magimbi JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 1,069
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Napata tabu kuamini kama kweli hizo kilomita zote zinazotajwa mbaka muda huu zina lami zoote..kwa hali halisi ya hali ya barabara ilivyo na vyombo vya usafiri..ila hata samaki aliwajuaga wako wangapi na mayai yao watoto nk..huwa aanadanganya sababu hata sisi Watanzania wengi wetu ni wavivu kufuatilia kujua ukweli na uongo wa hoja
   
 4. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kule kwake Chato hakubaliki tena
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  hata mimi nilishamshitukia, anakuwa anakariri kiasi hicho alafu anakuwa kama ametupiga changa la macho tumwone mtendaji mzuri....nchi isiyokuwa na wasomi aisee ni rahisi sana kudanganyika. kuna kipindi alikuwa anataja hadi idadi ya samaki..anajifanya mjuajiiiii? watu kama hawa ndo wanaweza kukuingiza chaka ile kinoma...ni kama kipindi kile 1995 ambapo tz ilitaka kuingia choo cha kike kumweka Mrema awe rais,....kwa akili ya mrema hivi nchi hii ingekuwa wapi? watz ni wepesi sana kudangayika, unawanunua kwa lugha lainiii afu unachota chako unalala mbele....
   
 6. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Zile kelele anazopiga majukwaani na sifa anazo mmiminia JK ndizo zinazompumbaza JK na kuendelea kumpa uwaziri.
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Nilisha wahi kusema humu ndani kwamba Magufuli ni muongo mtakatifu wa ccm..watu wakanitukana mbaka nikajuta kuifaham JF ..anyway..i :A S-heart-2::A S-heart-2: your avatar!!
   
 8. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na alipinga daraja la kigamboni lisijengwe
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Katika watu walio soma na wakawa wanasiasa na wakajua jinsi ya kucheza na kila mtanzania ni magufuli nawaambie...kwa kuwa watu wanataka aongee maneno mengi yeye kaamua kutumia number tu za utekeezaji...hata kuweza kukalili number zote zile ni uwezo wa kipekee ambao sio rahisi kumkamata mpaka uwe kipanga una mfatiliaji wa kazi zote za wizara ambazo nyingi ni hesabu sana...na watanzania kama tunavyo jifahamu kwa number hola.

  Huyo anaye ataka aongee hoja gani ? Hata kama amekudanganya njoo na number zako useme ni za kwake ni za uonge sio kuongelea nadhalia za kuangalia barabara..kama imeaharibika kwenye utendaji wake inahesabika ilisha jengwa...ha haha what a smart Magufuli anawajulia kwa kucheza na number.
   
 10. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkulu

  Ninashawishika kuamini kuwa na wewe ni Mtanzania....sasa hili bandiko lako linazungumza tofauti..... as if una utaifa mwingine.....
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Sangarara umenifurahisha sana huyu jamaa mimi nilimstukia zamani mno lakini nikiwaambia hata wafanyakazi wenzangu huwa namwagiwa mitusi kuwa sijui mchapa kazi hapa JF ndio usiseme nilishawahi kuleta thread 75% ya comment zilikuwa zinaniponda
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa hili jamaa ni bonge la tapeli
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Usipojua sanaa ulimwengu huu mambo yataendaje?
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu wala huhitaji angalia hapo juu nimesema kama tunavyo jijua watanzania number ni hola .... ametujulia ili kuweza ku prove kuwa anasema wongo tuje na number against za kwake sio maneno tu bila number hapo tutakuwa hatuna ja kubishana nae..kukalili nako ni kipaji mkuu....ni moja ya watu wenye IQ nzuri kidogo siasa kaiweka katika number. Utawezaje kuongea na engineers na kuelewanana nao kama hujui numbers/Hesabu na ukae ukitegemea watendaji utaanguka katika siasa za kibongo bongo na ndio maana kaamua kutumia utaratibu huo. Kote alikopita mfatilie yeye na hesabu tu...aliwahi hadi kusaidia kujibu swali la wizara ya fedha wakati ule yuko yule mama Meghi kwa kuwa mama alikuwa hata data.

  Fact in Numbers , No politics.

  Tuko pamoja though.
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  View attachment 57105
  Barabara mpya kabisa huko Hanang
  (mlima Hanang in the background)

  Tatizo la wana JF Chadema ni kuishia kusafiri mwisho maeneo ya disco tu, hasa Bilicanas.
  Tembea nchi hii na muone the scenario unfolding.
  Wakati ninyi mnapiga domo wana CCM wako kazini.

  Hiyo picha ni karibu na kwao Dr Slaa, sehemu ambayo miaka 10 tu iliyopita ilikuwa haifikiki kwa gari kwa siku moja, na ukifika si mavumbi mpaka utosini
  Thanks kwa serikali ya CCM na Mzee wa "teksi" Dr John Pombe Magufuli
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mapato ya kutengenezea barabara ni "0" kwa mujibu wa hoja ya wapinzani ya bajeti aliyoisoma Zitto. Hiyo kukariri kwake haina haja ya kuwa Magufuli, hata nyie mnaweza kuikariri. Kwi kwi kwi teh teh teh.
   
 17. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kagoma kujenga barabara ya kutoka Kisarawe kwenda Selous game reserve
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sio mrema sema nji...hii
   
 19. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unajua anachofanya Makufuli ni kwamba, kama wamekarabati hiyo barabara mara kumi basi anazidisha hizo kilomita mara kumi. Nafikiri alifanya makosa kwa kutokueleza hicho kigezo. Zile kilomita zingetosha hadi vichochoro vya uswekeni.
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu ni Muongo sana huyu, zile Kiliometas alizotaja siku ile
  zingine kaover state vibaya sana, na kuna moja ambayo alisema ujenzi unaendelea ilikwisha kamilika siku nyingi sana.
   
Loading...