Angalia UZEMBE wa Bunge letu... wakiambiwa wanaona wametukanwa!

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Kwa ufahamu wangu wa misamiati ya Kiswahili...uzembe sio tusi, ni sifa "kivumishi cha sifa" ingawa sio sifa nzuri kwa mtu kuringa nayo. Ni dalili ya udhaifu fulani..

Hebu fuata link hii ya Bunge letu linaloitwa tukufu ujionee uzembe rahisi kama huu... http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1698/2010-2015

Alie mzembe akiwambiwa mzembe na kama ni kweli ni mzembe yampasa kubadilika ili asiwe sehemu ya wazembe wengine!!
 
i wish ningeweza kupata hiyo link!ila natumia kifaa DHAIFU.waweza kutudokeza kwa kirefu kidogo plz?
 
Katka page hiyo ya Bunge, kuna maelezo binafsi ya Mh Abdul Rajab Mteketa, Mbunge wa Kilombero, kwenye sehemu ya picha yake kuna picha ya Mama fulani, Inawezekana Mh Mteketa amebadilisha jinsia, au labda amejiingiza kwenye Ushoga ili awe ni muonekano wa kike, lakini si hivyo basi ni UDHAIFU wa wahusika wa Bunge walioandaa tovuti hiyo, Uzembe!
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1698.jpg
First Name:Abdul
Middle Name:Rajab
Last Name:Mteketa
Member Type:Constituency Member
Constituent:Kilombero
Political Party:CCM
Office Location:Box 1471, Dar Es Salaam
Office Phone:+255 718 465555/+255 787 047777
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:amteketa@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth1 January 1951
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Lipangalala Primary SchoolPrimary Education19581961PRIMARY
Nawenge Middle School, MahengePrimary Education19621962PRIMARY
Iwemba Middle School , KidodiPrimary Education19631965PRIMARY
Lutengo United College, UgandaSecondary Education19671970SECONDARY
R.T.C Nairobi, KenyaAccounts, Store & Management19711971CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Kilombero Constituency20102015
East African HarboursClerical Officer19711988

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Economic Committee2009
Chama Cha Mapinduzi, CCMDar es Salaam Region UVCCM Guardian2009

hiki ndio kilichopo kwanye profile ya huyo mbunge
 
First Name:

Abdul

Middle Name:

Rajab

Last Name:

Mteketa

Duu, Mheshimiwa huyu kafanana kwelikweli na Anne Kilango Malecela.
 
Abdul Rajabu wa kilombero, ndo Anna Killango wa Same? hii no noma. UDHAIFU mkubwa sana. Administrator wa database yao analipwa kwa kazi gani? halafu wakiitwa wazembe na wadhaifu wanakasirika na kututoa nje!
 
IT admistrator wao ni mmojawapo wa maofisa wanaolipwa vizuri kuliko hata madaktari na walimu.
 
Kweli inatisha sasa hiyo apelekewe Anne Makinda na Job Ndugai sijui atasemaje hajui hii tovuti dunia nzima wanapitia???
 
Katka page hiyo ya Bunge, kuna maelezo binafsi ya Mh Abdul Rajab Mteketa, Mbunge wa Kilombero, kwenye sehemu ya picha yake kuna picha ya Mama fulani, Inawezekana Mh Mteketa amebadilisha jinsia, au labda amejiingiza kwenye Ushoga ili awe ni muonekano wa kike, lakini si hivyo basi ni UDHAIFU wa wahusika wa Bunge walioandaa tovuti hiyo, Uzembe!

Aibu kwa wataalam wa Bunge kwani makosa kwenye tovuti yao imekuwa hadithi iliyo zoeleka sasa!
Anaye endekeza uzembe huu awajibishwe!!
 
Bunge dhaifu,watendaji wake dhaifu na wanaongozwa na Bimkubwa dhaifu - by Mnyika
 
Back
Top Bottom