Hivi ni madakari tu! Vp kuhusu kada nyingine za afya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni madakari tu! Vp kuhusu kada nyingine za afya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maega, Jun 22, 2012.

 1. M

  Maega Senior Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naungana na madai ya madaktari dhidi ya serikali ambao hadi sasa yanataka kuwafanya wagome tena. Lakn hivi kwanini wasishinikize hayo madai yawahusu pia wafanyakazi wengine wa kada ya afya ambao kila siku wanafanya nao kazi usiku na mchana kama manesi, maabara, wafamasia, radiolojia na wengineo? Nafkiri haitasaidia sana au itafaa nn wao madaktari wakilipwa mamilioni na benefit nyingine huku wenzao wakiendelea kutaabika.
   
 2. 4

  4change JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nakumbuka kuna rafiki yangu alikuwa anasoma muhimbili university(kipindi hicho ilikuwa chini ya UDSM-ikiitwa MUCHS)aliniambia kuwa wao mara nyingi hawagomi na hata wenzao wa udsm wakigoma wao hawakuwaunga mkono kwa kugoma!kwa hivo 'kijamii' walkuwa wanoenekana kama 'wastaarabu'.ila kimyakimya walkuwa wanoembea mlimani waendelee kukaza kamba na benefits za migomo ya mlimani zilikuwa zinafaidi na wao equally lakini walikuwa away from the negative impacts za hiyo migomo!
  Nasikia 'sina hakika' kwamba mishahara na allowance za kada nyingine ktk sekta ya afya zinakokotolewa kutoka kwa mishahara na allowance nyingine za madaktari respectively!hivyo......
  Could this be the reason??!!?
   
 3. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndiyo, watu wa kada nyingne za afya husafiria nyota za madaktari, kwani benefits za Drs zikipanda, automatically na zao hupanda, japo wao ni waoga kugoma.
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wakiingia madaktari na hao automatically wanakuwa wameingia kwa sababu wale wanapata request toka kwa daktari. hivyo mchezo ule ule nao wamo
   
 5. B

  Babyemma Senior Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NO ONE WILL FIGHT FOR UR RIGHT KAMA WEWE MWENYEW HUJISHUGHULISHI..madaktari wanatetea haki zao wengine kimyaa manake nini si ni kwamba hawajiamini?wenzao wakiongezewa watalalamika ..nani atajua km una shida ukikaa kimya..watajiju..hasa manesi wanakazi ngumu kuliko dk lkn wamenyamaza sijui kwasababu wengi ni wanawake na hawajiamn?
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Tuone msimamo wa serikali dhaifa
   
Loading...