Live ITV mada: Bajeti ya 2012/2013 je imekidhi matarajio ya wengi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live ITV mada: Bajeti ya 2012/2013 je imekidhi matarajio ya wengi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 21, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndo mdahalo umeenza
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kumbe chenji ya radi CCM iliahatumia zamaaniii
   
 3. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kuna majembe gan waalikwa hapo out of acess
   
 4. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Kuna gamba moja linaongea saizi anaitwa abubakar aliongozamaandamano ya vjana wa ccm wanaosoma vyuo vikuu. Sasa mi nimeshindwa kuelewa kuwa itv inaalika watu gani?.Maana jamaa kakaa mbele kabisa.
   
 5. commited

  commited JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  naona hilo gamba la meza kuuu abubakari linaleta masihala hapo.. eti watu watoe watoe maoini ya kuiboresha, wakati wao ndio wanaojidai wana ma first clac... na ni serikali tiifu... nyinyiemu ni dhaifu tu
   
 6. commited

  commited JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna mzeee anasema hii si bajeti ya kumkomboa mtanzania anayekula utumbo wa paka na kuku, mzee anablemu kwanini serikali imebinafisha mashirika muhimu yaliyokuwa yanamchango wa mojakwa moja kwa maisha ya watanzania, anahoji hiyo bajeti ya mwaka jana imefanya nini
   
 7. commited

  commited JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna jembe hili nadhani ni wa ud huyu anastand kwamba kikubwa ni kupunguza inflation rate, na siyo kupunguza makodi
   
 8. commited

  commited JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna mchangiaji anasema.. kilimo kiwe serious kwa vitendo... matrekta wapewe vyama vya ushirika, na madini waruhusiwe vijana kuchimba madini na kodi zikusanywe toka kwa hao vijana na siyo kumpa mgodi muwekezaji
   
 9. commited

  commited JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mchangiaji anasema tujiulize kwanini bajeti si zaidi ya hizo trilioni 15?? anasema sababu kubwa ni ufisadi.. watu wameiba na leo wamejiuzuru tu na wametia hatia hasara ya kutosha... hakuna nchi ambayo muhalifu analindwa kama tanzania
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Aina ya vijana wa ccm kama asenga abubakar ni hasara kwa taifa. Anadai kwamba mfumko wa bei ya chakula unatokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
  Mimi sielewi kilimo cha mpunga, mahindi, muhogo, uwele/mtama na ndizi vinategemeaje mafuta.
  Huyu dogo kumbe bure kabisa!
   
 11. commited

  commited JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu mwita hao ndio vijana wa nyinyiemu hata jana sa moja usiku katika kipindi cha 5 connect cha eatv kuna binti ambaye ni mtoto wa mzindakaya, anaitwa vaileth... jana alikuwa anaboa watu mpaka basi mada ilikuwa ni mambo ya bajeti hayahaya... alikuwa anasema bajeti ni nzuri na haina shida kabisa na inamfaa mtanzania.. na wala hakuna ya kulalamika kutokutimizwa kwa mambo yaliyopita.... duh nilichoka naye, nadhani like daughetr like father,,,, ukiwa sisiemu hata uwezo wako wakufikiria hupungua sana
   
 12. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kuna jembe moja nimelipenda. Anabusara kama Mnyika!. kakumbusha kuwa mwaka jana yule Rais dhaifu alikiri kuwa asilimia 30% ya bajeti hutafunywa na watendaji wake. Jamaa anamshangaa kwa nini asidhibiti huo wizi ambao tena umewekwa wazi na CAG!. Bajeti mpya inafedha kidogo kwenye upande wa maendeleo, hivyo ikitafunywa tena huko kwenye halmashauri, wananchi wategemee nini?
   
 13. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nyie mnamlaum bure huyu Abubakar, hamuoni kama jamaa anafanana na Rz-1, hebu muangalieni na msikilizeni anavyoongea kama nani vileee, aaah kama baba-Rz-1.
   
 14. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Kuna gamba moja limevaa kitambaa ambacho huwa anavaa bwana abubakar asenga shingoni, ameongea mpaka povu limemtoka mi nimeona anaongea pumba tu. Mala bajet nzuri ooh mara bajet ina mapungufu, yaan haeleweki.Nadhan kaandaliwa na abubakar.
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo Abubakary anajua kuwa kiongozi wake, Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete, ni dhaifu?i
   
 16. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Si bora mnyamaze tu? ... sasa hii ndio nini (kwenye nyekundu).
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kama sijakusoma hivi, hapo ulitaka kusemaje kobello?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuuboreshe! kaskia muungano huo
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  kama mkulima hatatumia tractor, basi kwenye usafirishaji wa hayo mazao hadi kumfikia ultimate consumer mafuta yatatumika.
  Bei ya mafuta is directly proportional na bei za bidhaa zote.... hata maji ya kunywa.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hapa tunazungumzia uzalishaji kobello we mchumi wa wapi?
  Mkulima wa mpunga kule kilombero, mbarali, pawaga, shinyanga na mkulima wa mahindi kule songea, sumbawanga na maeneo mengine anahitaji pembejeo bora za kilimo, anahitaji scheme za umwagiliaji ili asiendelee kulima kwa kutegemea kudra za mwenyezi Mungu, anahitaji mabwana shamba wa kumshauri ili alime kitaalamu. Huyu mkulima hata sasa analima kwa kutumia jembe la kukokotwa kwa ng'ombe na anavuna mazao mengi tu lakini yanashindwa kufika sokoni kwa sababu ya miundombinu mibovu ya barabara.

  Element ya mafuta hapa ni ndogo sana katika mchakato mzima wa uzalishaji na hivyo haiwezi kamwe kuwa kikwazo katika uzalishaji wa chakula. Kinachotakiwa hapa kiko so obvious hata mtu asiye mchumi anaelewa tu kwamba tunahitaji kuwekeza vya kutosha katika kilimo, as simple as that. Hatuhitaji kununua mafuta mengi (bulk procuremnt) ili kuzalisha mazao ya chakula.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...