Kauli ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by marksalewi, Jun 22, 2012.

 1. marksalewi

  marksalewi Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Waziri wa afya anatoa kauli ya serikali bungeni sasa hivi
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Anajitetea katika mambo waliyo yakamilisha na anawataka warudi katika meza ya majadiliano.

  Waliyotekelezewa ni;

  Kima cha chini cha mshahara ni 950,000/=

  Kuwaondoa mganga mkuu, katibu mkuu wa wizara na mawaziri

  Kuwapatia Green Card

  Kuwaongezea allowance pale wanapoitwa toka 10,000 hadi 50,000 to 100,000 kulingana na daktari husika.

  Postmatum toka 50,000 hadi 100,000.

  Ila swala la kubiresha vitendea kazi na mishahara hapo hawana fedha na kama madaktari hawatakubali Serikali itaenda mahakamani


  Madai ya madaktari ni haya


  Hardship allowance kwa wanaofanya katika mazingia magumu eg vijijini

  Risk allowance kwa wanaofanya kazi ngumu eg wanaofanya operation, wanaofanya

  Call allowance kwa wanaoitwa usiku au kwenye emergence kwa nini wasilipwe kwa per diem au half per diem

  Mishahara kwa stardand zinazotolewa wanaolipwa sasa ni scale ya 2005

  Hakuna vifaa vya kufanyia kazi wagongwa wanalala chini watawahudimiaje na inachangia magonjwa ya kuambukizana. Eg kitanda kimoja wagonjwa 4
   
 3. S

  Shoboga Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Leta hapa habari iliyokamilika
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuwatisha sio suruhisho, suruhisho ni kuwatatulia matatizo yao basiii
   
 5. s

  simon james JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari gomeni. Serikali hii ni yakipuuzi hawawezi makubaliano ya mezani
   
 6. chubio

  chubio Senior Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Muongozo wa spika
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hawajakaangwa,waziri anatoa taarifa ya serikali kuhusu jinsi ilivyoshughulikia madai ya madaktari.mambo yaliyotatuliwa na ambayo bado yanafanyiwa kazi.
   
 8. chubio

  chubio Senior Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamaa wameamua wakalimalizie mahakamani...daah hii ndo TANZANIA,upuuz m2pu
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hardship allowance wameshaanza kulipwa tangu february na wameshapewa/katiwa bima ya afya
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  /tuner/?StationId=158711&
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  meza ya majadiliano kati yao na serikali haijafikia muafaka kwa hiyo suala hilo linaenda mahakama ya kazi
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tatizo tumesikia taarifa ya serikali ambayo ni upande mmoja tu, ingekuwa vizuri kupata taarifa kamili ya madaktari pia ili tuone uwiano wa malumbano haya yanayotuathiri sisi zaidi. Ila kwa kifupi serikali imekiri kuwa mgogoro kati ya Serikali na madaktari haujafikiwa muafaka, na wamekubaliana wakasuluhishwe Mahakamani (Mahakama ya Kazi). Waziri wa Afya amekiri kuwa, wapo tayari kutekeleza yale yote yatakayoamuriwa na Mahakama pindi madai yao yatakapo sikilizwa na kutolewa hukumu.
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  muafaka haujafikiwa kwa sababu madaktari kwa wanataka mshahara wa tsh millioni tatu na nusu na serikali haiwezi kulipa kiwango hicho.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama wamekamilisha mambo wanataka kurudi mezani kujadiliana nini? HUYU NAYE MWONGO
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Alikuwa na haraka ya kuanzisha mada;
  •Serikali imesema inathamini fani ya madaktari na huwa inatoa mikopo kwa 100% kwa wanafunzi wa fani hiyo.
  •Serikali imesema itakubaliana na maamuzi yatakayotolewa na mahakama kuu(kazi)hivyo madaktari wameonbwa na Serikali wasitishe mgomo kwa sasa kusubiri maamuzi
  •Serikali imesema imewastukia madaktari wamekuwa wakifanya vikao kwa kuwashawishi wenzao wa mikoani wawaunge mkono katika mgomo huo na mikoa walioitaja Serikali ni Moshi/Dodoma/Mwanza na kwa Dsm mkuu wa mkoa alinyima vikao kufanyika ndani ya mkoa huu.

  My Take;
  Serikali kukimbilia au kutegemea huruma ya mahakama ni UDHAIFU mwingine wa Serikali kufanya kazi kwa kutumia mahakama?
   
 16. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  sikuona dai la postmatum katika madai ya madaktari, hii nadhani ni hadaa wakijua walipwaji wa hiyo allowance ni wachache
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Siyo dai hili tu, ni madai matano kati ya kumi serikali haijaweza kuyatatua. Ni vizuri kuainisha madai yote kuliko kuweka dai moja tu ambalo linaweza kuwapotezea image nzuri madaktari.
   
 18. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  duuh sijui tunaelekea wapi, kwenye kikao chao jana wamedai waziri mkuu ni muongo
   
 19. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Watanzania Inabidi waelezwe kama Kwenye Hizo Hospitali Kuna Madawa / Vitendea Kazi / Majengo yanayolingana na Huduma wanazotoa madaktari!! Sio Watu wanalipwa mshahara ambao wao wameita mikubwa huku kukiwa Hakuna Hata Vitendea Kazi Huyo daktari atafanyaje Kazi? Hii ni sawa na kuwadhulumu wananchi!!
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundi kama hospitali husika haina fedha unafikiri itawaita madaktari walioko "off" kuja kuokoa maisha ya mlalahoi? Mimi nafikiri njia pekee ya kuondokana na hili tatizo ni madaktri na waajiriwa wengine wa serikali walipwe mshahara wao unaojumuisha stahili zote "consolidated figure"
   
Loading...