Mama Shelukindo atimuliwe CCM mara moja

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama
 
kwahiyo kama wapinzani wanastahili sifa asiwape? Acha wivu wewe! Kama vip nawewe jivue gamba hamia chama kubwa
 
Mama Shelukindo anafaa sana Na ni mkweli. Hivi mnataka msifiwe nyie tu, mdanganywe ndo raga yenu. Upinzani are doing great.
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

Mkuu mbona miye nilimsikia akisifia kwa dhihaka!
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

Ukweli siku zote unauma...Kikwete dhaifu, Pinda dhaifu na Serikali fisadi dhaifu
 
Sijui mnamaanisha ccm waongo na cdm wakweli? Bcs alichoongea huyu mama ni kweli tu! Nampongeza kwa utaifa wake.
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama
unajua mkuu hizi operation za CDM zina mkono wa Mungu hapa anatii " VUA GAMBA VAA GWANDA"
 
Tatizo magamba hampendi kuambiwa ukweli mnapenda unafiki
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

Mawazo mufilisi na mgando haya.
Haya mtimueni mubakie na watukanaji (lusinde) na wazinzi (Nchemba).
 
Ndo maana chama chenu kinazidi kudidimia kwa sababu ya kukumbatia uongo na majungu,mama Shelukindo hawajibiki kwa chama,anawajibika kwa watanzania waliompa dhamana,hataki kuwa mmoja wa wachafu,hana udhaifu na upuuzi wa ki CCM! yatawabana sana magamba hayo!
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

ndo walewale wakina lusinde watu wanajali maendeleo ya taifa wewe upo kichama aisee mafisadi wapo wengi
 
Amesoma nyakati hivyo anakwenda na wakati.kama ccm wanaona kakosea kwa kusoma nyakati ubavu wa kumtimuwa hawana kwani ni legelege na dhaifu.
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

kazi ya gamba hiyo
 
Mh. Beatrice Shellukindo amepelekwa Bungeni na wananchi wa Kilindi na siyo CCM. Waliopelekwa Bungeni na CCM ni kama Zakhia Meghi, James Mbatia, Easter Bulaya, Wanawake na Maendeleo (jina limenitika) na wengineo
 
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

Mh. Beatrice Shellukindo amepelekwa Bungeni na wananchi wa Kilindi na siyo CCM. Waliopelekwa Bungeni na CCM ni kama Zakhia Meghi, James Mbatia, Easter Bulaya, Wanawake na Maendeleo (jina limenitoka) na wengineo
 
Hoja yako ni dhaifu. Huwezi kusema Mama Shelukindo eti afukuzwe CCM kwasababau tu eti amesifia upinzani. Swali ni kwamba amesema ukweli? Kama amesema ukweli basi anatakiwa apongezwe. Tanzania inahitaji viongozi wakweli ... full stop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom