Leo ndiyo tutajua kama ilikuwa ni hadaa kwa wananchi ama vipi maana ataitwa mbunge kwa jina lake na kusema kama aniunga mkono bajeti au anaipinga. Nani kati yao atajitoa mhanga?
Natangaza kugombea ubunge kupitia ccm mwaka 2015 ili niweze kuwatumikia wananchi kwa mambo yafuatayo:
1. Kusinzia bungeni
2. Kugonga meza bungeni
3. Kuwatukana wabunge wa upinzani
4. Kuwazomea...
1. An opportunist
2. An accomplished liar/devious with sufficient convincing power
3. Close connected with witchcraft
4. They blame the western capitalist countries for their problems while...
alikuja kwa kasi ya ajabu tukajua tatizo la uvamizi wa hifadhi ya ardhi na maeneo ya wazi yaliotekwa au kuporwa yatarejeshwa na waporaji kuchukuliwa hatua za kisheria alakini wapi.mama kama...
idadi ya wabunge 54 kutokuwepo kwny maswala ya msingi ni udhaifu unaendelea kwa watanzania kufanya maamuzi kwa kususa au kuacha kushiriki . tabia hii inakua na imeendelea hata kweny chaguzi kubwa...
Waziri wa fedha anatoa mlolongo wa takwimu akitetea kukua kwa deni letu na kwamba bado tuna nafasi ya kukopa zaidi!Guys,nadhani issue ilikuwa tuambiwe zimetumika vipi fedha zilizokopwa na si...
Na Nova Kambota
novakambota@gmail.com
www.novakambota.com
Nakubaliana kwa asilimia mia moja na falsafa isemayo wenye upeo mdogo
hujadili watu, wenye upeo wa kati hujadili matukio na wale wa upeo...
chama cha madaktari nchini MAT kimeitisha mkutano wa kutoa mrejesho kwa madaktari na kada nyingine za afya juu ya mazungumnzo kati ya serikali na kamati teule ya madaktari.
kikao hiki kinaonekana...
wadau nimejionea tu mwenyew hapa, unajua mtu mwingine unaweza kumkadiria wadhifa wake kutokana na muonekano wake,
mfano.
Ngelejah - Uwaziri> >> Rhight
Filikunjombe - MP >> Right
Mh Mgimwa- Waziri...
FRIDAY, JUNE 22, 2012
Boniface Meena na Fidelis Butahe
OFISI ya Rais, Ikulu imesema Serikali itaanza kuwakopesha viongozi wake wa ngazi mbalimbali magari madogo ya gharama nafuu ili waachane na...
Nimemsikiliza waziri akijigamba kuwa anataka Tanesco iweze kuunganisha umeme ndani ya mwaka mmoja tangu maombi yatumwe!!!
Prof, are you aware of the core problem kuhusu kuunganishiwa umeme...
HAVE YOU EVER WONDERED ,WHAT WILL REPLACE THE OPPOSITION PARTY IN TZ AFTER CHADEMA IS IN POWER.
ninahofu na mashaka na CHADEMA kuchukua dola,je chama kipi kitakuwa chama kizuri cha opposition...
Hatimae wakati umewadia ule wa kuona neno hili likitimia. Yetu ni macho na masikio huko Dodoma!!!! Nasikia na 'makinda' yameongezeka hadi 10,000,000/= hata kabla ya bajeti ya mwaka mpya 2012/2013...
Wadau naomba anayefahamu kuhusu mbunge aliyepokea rushwa anijuze, kama anahudhuria vikao vya bunge vinavyoendelea? Sheria inasemaje mbunge anapokuwa na kesi inayofanana na yake?
Kwa binadamu mwenye akili timamu hawezi kushangilia mgomo wa madaktari kwani wote ni wahanga wakiwepo madaktari wenyewe.Cha kujiuliza ni kwanini serikali iseme malalamiko yao ni ya msingi halafu...
Kesi inayowakabili Mbunge viti maalamu CHADEMA Morogoro SUSAN KIWANGA na mbunge wa Maswa Sylivester Mhoja Kasulubayi A.K.A YESU WA MASWA na wengine wawili imeairishwa hadi 20/7/2012.Wanachama wa...
Nimekaa nikatafakari na nikapata jibu kuwa ule unga alionyunyuzia mheshimiwa Andrew Chenge pale mjengoni usiku wa manane huenda umeisha nguvu maana kuna wabunge wa CCM wameshazinduka toka katika...
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kimeitaka Serikali ithibitidhe ama kukanusha habari aliyoisema mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu Nchemba aliyoitoa huko Dodoma kuwa wapinzani wanasukumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.