Kwa MAKAMANDA tu, Makada STOP! usifungue

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
Habari wana jamii forum MAKAMANDA na wana M4C (movement for Change) popote pale mlipo, Ndani na nje ya nchi. Bila shaka tunakubaliana CHAMA sasa kinakua kwa kasi, ila tunahitaji kutoa sapoti ya ziada tufikie malengo.

Kila nayesoma hii na imani ni kamanda. na si KADA, sasa ILI UWE KAMANDA KAMILI TUUNGANE WOTE MAKAMANDA MNAOHITAJI MABADILIKO KUENDELEA KUKIKUZA CHAMA KWA KUFANYA VIFUATAVYO, HAKIKISHA:

1. Una Kadi ya Chama. (yaani uwe mwanachama kamili wa Chadema mwenye haki zote za msingi)
2. Uwe na katiba ya chama. (uisome na kuielewa, ujue sehemu yako katika chama)
3. Ujue sera za chama {CHADEMA}
4. Uwe na Gwanda/Vazi la kikamanda (kila inapobidi Basi unadhihirisha ukamanda wako)
5. Bendera ya CHAMA au SKAFU (kimoja wapo kulingana interest)

Hapo juu ni MUHIMU. kuna OPTION (HIARI): jitahidi kukiunga chama mkono, Si kwa kukishabikia tu katika mitandao na kujibu hoja na vinginevyo, ila hata kifedha.

Walau kila mwezi mara 1, 2, hata 3 au uwezavyo kulingana na kipato chako TUMA NENO "CHADEMA" KWENDA 15710 na utachangia Tsh. 350 tu. kwa kila SMS. kwa mitandao ya AIRTEL NA VODACOM.

Tembelea Tovuti ya Chama: www.chadema.or.tz Huko utasoma sera, utajua chama, habari nyingi na katiba ya chama kwa ujumla.

MWISHO NAOMBA KUWASILISHA HOJA KWENU MAKAMANDA.
mungu ibariki M4C, mungu ibariki CHADEMA na TANZANIA
chadema-1 flag.jpg
 
Nakubaliana na wewe kuwa charity starts at home. let change and influence others to change. Thank you.
 
Arusha wengi wetu huku vyote tulishavitekeleza siku nyingi na tunaendelea kuvitekeleza pamoja sana mkuu ktk kuimarisha chama.M4C idumu milele
 
Kwa makamanda wanahitaji vitu vilivyotajwa hapo juu, waliopo DSM wafike ofisi za makao makuu ya chama yaliyopo kinondoni kwa manyanya, ukifika hapo kituoni uliza ofisi za chadema kwa mtu yeyote atakuelekeaza.
 
Ndugu zangu nashukuru sana kwa hili, kwa nyongeza tu kila mtu ahakikishe pale anapoishi watu wote wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanakuwa na kadi chama na pia watote wetu tuwajengee mapenzi ya wazi kwa CDM!
 
Makamanda unaozungumzia ni wa sungusungu ama wale makamanda wa jeshi la Polisi? sijakupata mkuu naomba unieleweshe.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Katiba huwa zinauzwa? Niipateje?

Ndiyo! zinauzwa mahali ulipo fika katika ofisi za chama Waulizie utazipata...ila pia unaweza Download kwenye Tovuti ya Chama. (ingawa nahsi ukinunua unakuwa umechangia pato la Familia)
 
Arusha wengi wetu huku vyote tulishavitekeleza siku nyingi na tunaendelea kuvitekeleza pamoja sana mkuu ktk kuimarisha chama.M4C idumu milele
Safi sana na tuko pamoja. Sasa twendeni kwenye kanda nyingine za nchi na pia tupunguze chuki zetu dhidi ya uislam tujidhihirishe kuwa si chama cha kikanda wala kidini
 
Katiba huwa zinauzwa? Niipateje?

Kamanda kwa urahisi wa kupata Katiba online (PDF) tembelea Link hii ya chama (Chadema): http://www.chadema.or.tz/nyaraka/katiba_2006.pdf

Kwa wale wanaotaka kujiunga na chama (chadema), kujua itikadi, sera, na falsafa kwa urahisi temebelea Link hii: http://www.chadema.or.tz/maelezo/fomu/uanachama.php

Pamoja tutafika

Na hii ccm nao wataiga maana walisha acha kuwa wabunifu kama Mch Msigwa alivyowapasha Bungeni

Au soma kidogo vionjo vyake:...ni hatari sana......"AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA....." it is shameful "...PROBLEMS CAN NOT BE SOLVED BY THE SAME LEVEL OF THINKING THAT CREATED THEM...YOU GUYS (CCM) ARE TIRED...MMETUWEKA KWENYE MESS HII NINYI WENYEWE NI LAZIMA AKILI YA JUU ZAIDI IJE KUTATUA...NI PRINCIPLE.....INSANITY KEEPS DOING THE SAME THINGS IN THE SAME WAYS AND EXPECTING TO GET DIFFERENT RESULTS... MAENDELEO DUNIANI YAMEKUJA KWA MAWAZO YANAYOPINGANA..." by Mchungaji Msigwa (MP), bungeni 2012. Hapa wenye akili watamwelewa mchungaji Msigwa…..

au msikiize mwenyewe: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-na-watu-wenye-fikra-zilizoyasababisha.html
 
Habari wana jamii forum MAKAMANDA na wana M4C (movement for Change) popote pale mlipo, Ndani na nje ya nchi. Bila shaka tunakubaliana CHAMA sasa kinakua kwa kasi, ila tunahitaji kutoa sapoti ya ziada tufikie malengo.

Kila nayesoma hii na imani ni kamanda. na si KADA, sasa ILI UWE KAMANDA KAMILI TUUNGANE WOTE MAKAMANDA MNAOHITAJI MABADILIKO KUENDELEA KUKIKUZA CHAMA KWA KUFANYA VIFUATAVYO, HAKIKISHA:

1. Una Kadi ya Chama. (yaani uwe mwanachama kamili wa Chadema mwenye haki zote za msingi)
2. Uwe na katiba ya chama. (uisome na kuielewa, ujue sehemu yako katika chama)
3. Ujue sera za chama {CHADEMA}
4. Uwe na Gwanda/Vazi la kikamanda (kila inapobidi Basi unadhihirisha ukamanda wako)
5. Bendera ya CHAMA au SKAFU (kimoja wapo kulingana interest)

Hapo juu ni MUHIMU. kuna OPTION (HIARI): jitahidi kukiunga chama mkono, Si kwa kukishabikia tu katika mitandao na kujibu hoja na vinginevyo, ila hata kifedha.

Walau kila mwezi mara 1, 2, hata 3 au uwezavyo kulingana na kipato chako TUMA NENO "CHADEMA" KWENDA 15710 na utachangia Tsh. 350 tu. kwa kila SMS. kwa mitandao ya AIRTEL NA VODACOM.

Tembelea Tovuti ya Chama: www.chadema.or.tz Huko utasoma sera, utajua chama, habari nyingi na katiba ya chama kwa ujumla.

MWISHO NAOMBA KUWASILISHA HOJA KWENU MAKAMANDA.
mungu ibariki M4C, mungu ibariki CHADEMA na TANZANIA
View attachment 57174
Ndugu yangu umefanya jambo la maana saana, wengine tuko busy maofisini hatuna namna ya kutoa maoni au kuchangia chama!!! Nilipo pata ujumbe wako nikapost CHADEMA nikajisikia vizuri, tumechoka na mafisadi tunahitaji ukombozi!! VIVA CHADEMA VIVA UKOMBOZI WA MTANZANIA!!!!

Back
Top Bottom