Bungeni: Wasira anatumia saa nzima kutaja watu majina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni: Wasira anatumia saa nzima kutaja watu majina

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nkyalomkonza, Jun 22, 2012.

 1. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi lazima kuwasoma wachiangiaji wote?? Ina tija gani.
   
 2. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  atawashambulia waapinzani tu hana lolote
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hizo ndo zake, tusitegemee geni kutoka kwake.
   
 4. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anasema anashangaa wanaopinga budget kwa sababu walipitisha wenyewe ya mwaka jana ambayo ina mipango inayoendelezwa mwaka huu.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Jaribu na wewe hapa JF ndio utajua wakina Paw ni nani
   
 6. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anazungumzia mikakati ya kushusha bei ya umeme.
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hakuna tija yoyote; hii inaonyesha ni namna gani hawana cha kuwaambia wananchi zaidi ya kuwapotezea muda
   
 8. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wale wanaosema hawaungi mkono wamebadili mawazo. kazi yangu ni kuwakumbusha ili waunge mkono.
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  chumvi nyingi huondoa radha nzuri ya chakula....... katumia dakika 5 wewe unasema saa nzima

  Ni utaratibu uliopo bungeni hata wapinzani wanautumia kama hatuutaki tunahitaji mabadiliko kila mtu amechoka na utaratibu huu hasa kama shukrani zinakwenda kwa watu wengi
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kutaja taja majina tuuu nyimbo nzima tenaa kwa mistari icyo na vina
  Afande sele huyo
   
 11. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Vesrsion rasmi ya mpango wa serikali ni ule wa kiingereza. Anasema ule wa Zito wa kiswahili wao hawauamini.
   
 12. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anawashangaa Zito na Mwigulu kujisiafia Elimu zao. Anasema hoja sio Elimu bali unaitumiaje hiyo elimu.
   
 13. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anasema Tundu lisu ni Mwanasheria hajui hesabu.
   
 14. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Eti anato points zitakazo wafanya waipingaji wa budget waikubali. Huyu mzee ana akili kweli?
   
 15. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hakuna nchi dunia iliopuuza Skills ikafanikiwa. Ukiongeza Skill dev budgeti inafikia hiyo 35% wanaoitaka wapinzani.
   
 16. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Eti alipata distinction kwenye economic development akisoma uzeeni
   
 17. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anaendele kumwandama Zito.
   
 18. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Matumizi ya kawaida sio mabaya. Matumizi ya kawaida sio ulaji tu ni kama Grease ya Gari.
   
 19. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anasema tukope tu watalipa vizazi vijavyo. Hilo halina Shida. Kweli huyu jamaa ni janga.
   
 20. Mponella

  Mponella Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ati Mh Zitto kashalegea.
   
Loading...