Muungano wa mkataba hapana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano wa mkataba hapana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Jun 22, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  Napenda kumtaarifu Bw. Ahmed Rajab mwandishi maarufu wa makala na Mzanzibari aliyeko ughaibuni kuwa sisi Watanganyika hatutaki muungano wa mkataba ambao wewe unajaribu kuwashawishi Wazanzibari waupendekeze!

  Wazanzibari tumewachoka na kejeli zenu bakini peke yenu muone muziki wake!
   
Loading...