Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Finally the Parliament has passed the 2012/13 budget with almost all CCM MPs voting in fevour of the financial bill. In fact these are the results as announced by the Hon. Madam Speaker...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baadhi ya maofisa wakitembelea mitambo ya Songas jijini Dar es salaam Na Matern Kayera WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira, wakati akiwasilisha taarifa ya hali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetoka muda si mrefu kumsikiliza waziri wa nishati na madini na amefafanua kwa kifupi baadhi ya mambo ambayo ameamua kuyabadili kwenye utendaji kazi wa Tanesco. Kwa maelezo yake amesema kuanzia...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Alicho ongea Waziri wa Afya ni kweli,Madhara ya Mgomo wa madaktari ni mkubwa sana kuliko tudhaniavyo. Amewaomba wasitishe mgomo. Mambo ambayo wameshindwa kuyafikia muafaka serikali ipo teali pia...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
jana katika habari ya star tv nilimshuhudia kigwangala akisema hatounga mkono bajeti kutokana na kutosimamia masilahi ya wananchi cha kushangaza, kaudhihirishia umma unafiki wake leo bungeni kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
http://www.britishpathe.com/video/german-colonies-tan-gan-aka-german-colonies-tangan
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa zangu, Hili suala la uamsho na hawa jamaa zetu wazanzibari binafsi linanikera sana. naliona ni kama vile mbu kaingia kwenye neti ananikosesha usingizi kwa kelele. na dawa ya mbu ni...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Posted on June 22, 2012 by zanzibaryetu Vijana wanaokusanyika katika viwanja mbali mbali kufuatilia mihadhara inayohusu masuala ya Muungano ambapo kwa kiasi kikubwa vijana wansikika wakisema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2015 Kupitia Chama Chake.
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Waziri Wasira alipokuwa anazungumzia kuhusu kutenga maeneo ya uwekezaji wa kilimo cha miwa alisisitiza kuhusu umuhimu wa wawekezaji kushirikisha wananchi wanaozunguuka mashamba ya wawekezaji (out...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
leo alipokuwa akihitimisha hoja waziri wa fedha Dr mgimwa amelizungumzia deni la taifa kwa urahisi mno kana kwamba the size of public debt do not matter, maelezo yake juu ya deni la taifa, eti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkono alipua ufisadi Kiwira Thursday, 21 June 2012 20:22 Mbunge wa Musoma vijijini (CCM) Nimrod Mkono AELEZA MGODI ULIVYOUZWA BEI YA KUTUPA,NGELEJA NAYE AZUA MTAFARUKU BUNGENI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Alfred Lucas - Imechapwa 20 June 2012 RAIS Jakaya Kikwete amepelekewa ujumbe kwamba bajeti ya serikali yake "ni ya madeni matupu, ahadi hewa na haitekelezeki," MwanaHALISI linaweza kuripoti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mojawapo ya bajeti zitakazosababisha mzigo mkubwa kwa wananchi imepitishwa. KUpitishwa kwa bajeti hii nzima kunaashiria jambo moja kubwa CCM imefikia kikomo cha ubunifu wa kutatua matatizo ya...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, kwanza salaam! Chuo kikuu cha Dar es salaam kama vyuo vingine katika utaratibu wake wa kutoa degree za heshima waliwahi kumtunuku Honorary degree Mwl Julius Kambarage Nyerere mwaka 1985...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa ufupi kikubwa kinachoiua ccm ni unafiki. Hawaambiani ukweli, kila mtu anaona chama kina hali mbaya lakini wanaishia kuwaficha viongozi wa juu ukweli. Wakiambiwa ukweli wanasema ni matusi na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku ya kesho makamanda wa M4C Mkoa wa Ruvuma watakuwa wanapeleka uokombozi katika kata ya Mletele nje kidogo ya mji wa Songea. Mkutano huo utaongozwa na viongozi wa mkoa wa Ruvuma. Usafiri...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
JUMUIYA ya Madaktari imetangaza rasmi kuanza kwa mgomo usio na kikomo kuanzia kesho, huku ikidai Serikali imekataa kutekeleza madai yao yote yaliyowasilishwa katika kamati ya majadiliano...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Uamuzi wa madaktari kugoma haukuwa uamuzi rahisi; ni uamuzi ambao umekuja ukiwa na gharama kubwa kwao na kwa taifa vile vile. Lakini uamuzi ambao umekuja kwa sababu umelazimishwa. Sera ambazo...
27 Reactions
263 Replies
21K Views
Ukikumbuka vizuri wabunge walio toa mchango wa kufutiwa kodi au kupunguziwa kodi na kuongeza kodi kwa bidhaa jamii ya mafuta ya kula inayotoka nje ya nchi kwa kigezo za kusaidia viwanda vya ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom