Waandishi Wetu, Dodoma| Mwananchi | 19, Juni 2012
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Esther Bulaya, juzi walizozana katika kile...
Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
M4C idumu...
Wakuu naona magamba wanashindwa kuisemea budget ya serikali yao, wanabaki wanajadili maoni yaliyotolewa na serikali kivuli ya kambi pinzani, na mwisho wa siku wanaumbuka kwa kutaka kudanganya...
Nimewaza sana lakini sijapata jibu bunge letu lina aina zote za watu tunaowaita wa Mungu ila ni mungu yupi wanamjua wao na miungu yao.
Najiuliza hawa watu tunaowaita wa mungu wanafanya mambo ya...
Hivi jamani hawa Watawala na vishoka vyao kama akina Lusinde, Mwigulu, Nape, Komba, Makinda, Lukuvi, Lazaro, Sita, Ndugai, Chenge, Ndullu na wengineo wazungu worshippers! Mnajua kwamba...
wakuu embu wenye hii ratiba ya kamanda na fighter Lema ya kuzunguka hapa jijini Dar atupatie ili tukampe nguvu, manake bado natafta ajira na kazi sijapata kwa hiyo mda upo, hapa ni nyie tu...
Tumejadili sana siku mbili hizi kuhusu John Mnyika kutolewa Bungeni kwa muda wa siku nzima. Tumeona kuwa hoja ni kukataa kufuta kauli yake. Kwangu hoja si uhalali au uharamu wa hoja ile.
Kwa na...
Mizengo leo kachombeza kuwa wabunge vijana sio lazima waongee kwa sauti sana hadi kutetemeka. Wanaweza kuongea 'kistaarabu' polepole na wakasikika. Sasa mimi naomba kumuuliza Pinda
"Hivi watu...
Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa...
Hivi sasa waziri wa ujenzi bwana Magufulu na katibu mkuu wake anaemaliza muda Balozi Mlango wako katika heka heka kubwa kuiomba hazina iidhinishe bilioni 300 kwa ajili ya kuipa Tanroads ilipie...
Ndugu zangu wanajamiiforum kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya pale mjengoni utagundua jambo moja ambalo liko wazi kabisa.Jambo hili ni kuwa akisimama MP mmoja wa CDM na kuchangia hoja...
".... I have tremendous confidence about the long-term future. We're in a knowledge century. This is a century in which nations that will succeed are those that can create conceptual products...
Mwaka 2010-12 tulishuhudia matukio mengi yakijiri ndani ya taifa letu, ni matukio yaliyonasibishwa na siasa na kukua kwa demokrasia.,kulingana na muundo na mitindo ya utokeaji wake wengi tuliamini...
Wednesday, 20 June 2012
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akizungumza na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika katika viwanja vya bunge jana. Mnyika...
Mh. wajumbe wa tafa letu ndali ya JF, nimejaribu kufatilia budget ya nchi yetu nimegundua waheshimiwa mjengoni na wa tawala katika halmashauri wanatumie pesa nyingi sana ktk mishahara na OC...
Salaam Wanabodi,
Nimejaribu kufatilia vyombo vingi vya habari pamoja na hapa jamvini kujua nini kinajiri na nini maoni ya Watz kuhusu Bajeti hii ya 2012/13. Lakini nimeshangwazwa na mijadala...
Tanzania |
The Tanzania government has set aside 84bn/- this financial year to develop human resources and social services, particularly special skills in mining, including gas, uranium, iron...
Akiwasilisha mpango wa maendeleo Wasira alisema uchumi wa Africa ulikua kwa asilimia 2% kitu iklichopingwa vikali na Mh Silinde kuwa inawezaje? uchumi wa Africa kupanda kwa asilimia 2 ilhali nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.