Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania kuna nini, mbona migomo?....ha! Ha! Kauli ya JJ Mnyika inadhihirika sasa, japo magamba yanabisha....mtupishe mmechoka kutuongozo..
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tune on TBC now
1 Reactions
90 Replies
8K Views
hivi ni nini hasa kilichochea au kushawishi na kupelekea Tanganyika kuungana na zanzibar? nimekuwa nikijiuliza haya baada ya kuona chokochoko za muungano haziishi. kwa mnaojua naombeni mtueleze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu kwa muda mrefu sana kutafakari hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa Bungeni lakini sijapata jibu mwafaka, nina maswali ambayo nataka tujadiliane wana JF:- Je tunahitaji kupangiwa Bajeti na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sikiliza Bunge Live kupitia, http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& Redio ikifunguka usiache ku LIKE
4 Reactions
0 Replies
965 Views
Angalia TBC one na Komba kiti hakimfit haenei kwenye kiti
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wabunge kwa kutosoma vizuri bajeti wanaipongeza serikali kwa kufuta kodi ya bod boda wakati si kweli. Kodi ya mapato kwa bodaboda imeshuka toka 95,000/= mpaka 35,000/= kwa mwaka na si kufutwa...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao. Concern...
1 Reactions
144 Replies
11K Views
Sijui huu ni mkakati Maalum wa Spika Dhidi ya wabunge wa Chadema na wapinzani? ktk hotuba ya bajeti inavyoendelea utagundua kuna mkakati umepangwa na CCM dhidi ya wabunge wanaonekana wanazungumza...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu hii la CCM kujivua Gamba tangu siku ile Nape Nnauye aseme kwamba wale wote walio ndani ya chama hicho na wamezungukwa na kashifa, sasa muda wao...
0 Reactions
130 Replies
10K Views
Kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kushindwa kutatua mgogoro wa madaktari baada ya yeye mwenyewe kuingilia kati kinathibitisha wazi kauli ya Mnyika kuwa Rais huyu ni dhaifu. ameshindwa ku offer...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ALHAMISI, JUNI 21, 2012 06:03 NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA *Asema ndiyo maana bajeti haikidhi mahitaji *Asema Serikali imevunja sheria kuwasilisha bajeti *Adai inastahili kuburuzwa mahakamani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ile mechi kali ya BAVICHA na SHIBUDA ndani ya CHADEMA imeishia wapi? Je kikao cha BAVICHA tulichoambiwa kilikaa kumjadili huyu mtu kiliamua nini? Tuliambiwa kikao hicho kilikua chini ya Katibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji kimoja nje kidogo ya Mji wa Songea watu 60 wamerudisha kadi za Chama cha Mapinduzi na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Sourse...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Aliongea hayo baada ya kauli ya Mnyika; ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu source: habarileo MY TAKE Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000...
0 Reactions
100 Replies
9K Views
Katika hali ya kuzidi kujipanga na kujiimarisha kuelekea mapinduzi ya mabadiliko ya lazima mwaka 2014/2015,Kwa mujibu wa Taarifa kutoka baraza la Vijana Kinonondoni,Jumamosi hii ya tarehe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumeshajadili na sitaki kurudia kauli ya John Mnyika kutolewa nje bungeni aliposema kuwa Rais Kikwete ni kiongozi dhaifu. Mwaka jana David Kafulila ilikuwa hivihivi alitakiwa kufuta kauli yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi kama mtanzania safi napenda kuishauri serekali iweke kipengele kinachoonyesha idadi ya watanzania walioenda loliondo kwa babu kwa ajili ya kutibiwa..hii itatusaidia kujua babu alipata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tarehe 15 Septemba 2007, aliyekuwa Mbunge wa Karatu na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo , CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa alitoa orodha ya mafisadi (list of shame) katika mkutano wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuona upepo wa kupita bajeti ya serikali ni mgumu, Bunge la jioni limehairishwa, spika makinda baada ya kuona mwelekeo wa bajet ya chama chake sio nzur, ameagiza serikali ikajipange upya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom