Generali Ojukwu Ni Kwanini?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.

- Eti ni kwa nini Tanzania tuliunga mkono Waasi wa Nigeria waliokuwa wanaongozwa na General Ojukwu, kwenye kiu yao ya kujitenga na Nigeria Federation? Ninakumbuka tukiwa wadogo Shuleni, tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za kumsifu Ojukwu, why? I mean ni policies ngapi huko nyuma we were wrong maana inaonekana ni nyingi sana that ni vigumu sana sasa kurekebisha njia!

- JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William J. Malecela.
 
William,
Badala ya kuspeculate na kutoa lawama kwa sera za Tanzania chini ya Mwalimu nakushauri uwe na uzoefu wa kusoma kwanza vitabu. Kwanza kabisa napendekeza kitabu "The International Politics of the Nigerian Civil War, 1967-197 kilichoandikwa na John. J. Stremlau. Halafu njoo tujadilie vita vya Nigeria.
 
kipindi cha nyuma Elimu ilikuwa ndigo sana i mean watanzania wengi walikuwa hawajaelimika kulinganisha na sasa kwa hiyo nafikiri viongozi walikuwa hawana washauri wazuri kwenye mambo ya siasa wenye upeo mkubwa wa kuangalia mbali
 
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.

Policies sio msaafu, zinawekwa ama kubadilishwa kutokana na mazingira ya mahali fulani na kwa nyakati fulani. Sina hakika kama umesoma historia ya Nigeria kikamilifu kabla ya kuona policy ya Tanzania kwa wakati huo. Hivyo nakushauri upitie tena upya na sio tu Nigeria bali what exactly was going on in other parts of Africa na ukipata wasaa strech futher by reading siasa za mataifa makubwa kwa wakati huo.
 
Sio watanzania waliokuwa wanamuunga mkono General Odumegwu Ojukwu,Mwl Nyerere ndio alikuwa anamuunga mkono swaiba wake huyo ambaye mwaka 1967 walijitangazia Taifa lao la Biafra huko Nigeria...Mwl Nyerere alikuwa hawapatani na Meja General Yakubu Gowon. ambaye alikuwa akiongoza Serikali ya shirikisho
 
Sio kwa hilo tu, Nyerere alikosea mambo mengi tu. Ndo maana Kambona alimkimbia.
 
William,
Badala ya kuspeculate na kutoa lawama kwa sera za Tanzania chini ya Mwalimu nakushauri uwe na uzoefu wa kusoma kwanza vitabu. Kwanza kabisa napendekeza kitabu "The International Politics of the Nigerian Civil War, 1967-197 kilichoandikwa na John. J. Stremlau. Halafu njoo tujadilie vita vya Nigeria.

- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?

William.
 
Sio watanzania waliokuwa wanamuunga mkono General Odumegwu Ojukwu,Mwl Nyerere ndio alikuwa anamuunga mkono swaiba wake huyo ambaye mwaka 1967 walijitangazia Taifa lao la Biafra huko Nigeria...Mwl Nyerere alikuwa hawapatani na Meja General Yakubu Gowon. ambaye alikuwa akiongoza Serikali ya shirikisho

Wewe ulikuwepo enzi hizo? Huwezi kusema kuwa sio Watanzania waliokuwa wanamuunga mkono Ojukwu. Nilikuwepo na nilikuwa mwanafunzi enzi hizo na tuliandamana kuunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga. Katika suala la vita vya Nigeria mimi naweza kujiita authority hapa JF. Leta hoja nyingine.
 
Policies sio msaafu, zinawekwa ama kubadilishwa kutokana na mazingira ya mahali fulani na kwa nyakati fulani. Sina hakika kama umesoma historia ya Nigeria kikamilifu kabla ya kuona policy ya Tanzania kwa wakati huo. Hivyo nakushauri upitie tena upya na sio tu Nigeria bali what exactly was going on in other parts of Africa na ukipata wasaa strech futher by reading siasa za mataifa makubwa kwa wakati huo.

- Soma tena kichwa cha mada, too many wrong policies za the past zinasema nini kuhusu tulipo sasa as a nation?

William.
 
Wewe ulikuwepo enzi hizo? Huwezi kusema kuwa sio Watanzania waliokuwa wanamuunga mkono Ojukwu. Nilikuwepo na nilikuwa mwanafunzi enzi hizo na tuliandamana kuunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga. Katika suala la vita vya Nigeria mimi naweza kujiita authority hapa JF. Leta hoja nyingine.

- Cha muhimu ni kuelimishana mkuu the authorty wa Vita vya Nigeria na kwa nini tuliounga mkono maaasi, vipi ukiweka darasa hapa!!

William.
 
- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?

William.

William,
Nimesema soma hicho kitabu. Pia kuna kitabu kingine ameandika Godfrey Mwakikagile, "Nyerere and Africa: End of an Era". Kuna hoja za kujadilia humo kuhusu vita ya Nigeria. Huwezi kufikia hitimisho kwamba sera zetu wakati wa Mwalimu zilikuwa wrong bila kuwa na full knowledge of what you are talking about. That is what makes us great thinkers here. And yet still, hapa hapa JF kwenye archives zake kuna mjadala mrefu kuhusu vita vya Nigeria na kwa nini Tanzania iliunga mkono Biafra. Sasa unaanzisha thread ambayo umeshafikia hitimisho kwamba Tanzania tulifanya makosa kuiunga mkono Biafra bila kuwa na data sahihi na relevant. No research no speak.
 
Biafra has a population of over 40 million people, and

1. a common historical tradition dating to times prior to European colonization,

2. a racial and ethnic identity well distinguishable from the rest of Nigeria,

3. cultural homogeneity which distinguishes its people apart from the rest of Nigeria,

4. linguistic unity, with a major language, minor languages, and a lingua franca,

5. religious affinity, the dominant religion being Christianity,

6. ideological affinity,

7. distinct, contiguous territoriality, and

8. a common sociopolitical and economic life.

Katika hivyo vipengele 8 kuna baadhi ndivyo ilikuwa main influence ya nyerere kusupport biafra.
Ntakuleteeni soon document kuproof niyasemayo
 
- Soma tena kichwa cha mada, too many wrong policies za the past zinasema nini kuhusu tulipo sasa as a nation?

William.

Na ndio sababu nikasema 'policies sio msaafu'. Hakuna nchi/society ambayo haijafanya makosa kwenye policies zake, tofauti ni kwamba wengine wanabadilisha/improve na kusimamia utekelezaji wake lakini sio hapa we just sit down and blame babu zetu walio makaburini.

Sikubalini na wewe kabisa matatizo yetu Tanzania leo bado ni kwa sababu ya sera zetu in 1960! Tumefuta Azimio la Arusha, tumebadilisha sera yetu ya mambo za nje (sasa hivi ni economic diplomacy). Kwa kifupi William, ili hii argument yako isimame then inabidi useme kuwa policies huwa hazibalishwi. Is that the case?
 
Mkimaliza ya Biafra ni vizuri kutueleza ni kwa nini Bernard Membe alitoa msimamo wa Tanzania kuwa halitambui Baraza la Libya lilimng'owa Gaddafi wakati mabwana wakubwa wanaotulisha G8 walishalitambuwa lile Baraza, je mpaka leo Tanzania haijui sera yake ya mambo ya nje?
 
Wewe ulikuwepo enzi hizo? Huwezi kusema kuwa sio Watanzania waliokuwa wanamuunga mkono Ojukwu. Nilikuwepo na nilikuwa mwanafunzi enzi hizo na tuliandamana kuunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga. Katika suala la vita vya Nigeria mimi naweza kujiita authority hapa JF. Leta hoja nyingine.

Jasusi, hunijui sikujui sasa sijui unapinga nini kama sikuwepo wewe ndio ulikuwepo peke yako wakati General Ojukwu, na wenzake wanajitangazia taifa lao la Biafra...lakini sikushangai wewe kila sehemu ulikuwepo nakumbuka ulituambia hata pale Mkapa alipompa sumu Mwl Nyerere, ulikuwepo.
 
- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?

William.

William, nimetafakari kwa dakika hizi chache na pia kwa kuzingatia events/matembezi ya past 2 weeks, ningeomba nikuulize, kwa nini umeuliza hili swali la sera 1960s?
 
Mkimaliza ya Biafra ni vizuri kutueleza ni kwa nini Bernard Membe alitoa msimamo wa Tanzania kuwa halitambui Baraza la Libya lilimng'owa Gaddafi wakati mabwana wakubwa wanaotulisha G8 walishalitambuwa lile Baraza, je mpaka leo Tanzania haijui sera yake ya mambo ya nje?

[MENTION]Matola [/MENTION]mbona unatoka nje ya mada
 
Inaonyesha kuwa Tanzania tunaweza kuendelea kuzunguka kwenye hiyo vicious circle kwa muda mrefu sana iwapo watu wanaotuongoza na wale wanaotaka kutuongoza na kutuwakilisha nje ya nchi hata hawajui tulikotoka.
 
Back
Top Bottom