wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 269
GREAT THINKERS WA JAMII FORUM
Nauliza je kuna uzi ambao mmliwafanyia uchambuzi wa inn and out hawa majaji wapya wa mahakama kuu? Naungumzia hukumu zao zilizopita, nafasi yao kwenye jamii na mitazamo yao etc
nawaaminia sana wana JF najua mtakuwa mmewachambua vilivyo hawa majaji
naomba mwelekezo