Naichukia sana CCM...imefikia hatua nikipanda Bus,nikigundua niliyekaa nae siti moja ni CCM.....Nipo tayari kusimama Dsm mpaka Musoma.
Sijui nifanyaje kuondoa hii hali..
Nilipokuwa nasikia kauli ile tena ikitoka kwa mwanahabari mwandamizi,Juma Nkamia nililishtuka sana,yaan watanzania wengi wamesikia wenyewe kwa kuona kwenye tv madaktari bingwa wakitangaza kuanza...
Kwa tetesi nilizozipata kutoka kwa askari wa wanyama pori ni kwamba waziri wa maliasili na utalii Mr. Kagasheki amepigwa mkwara na wakuu baada ya kuwasimamisha baadhi ya maafisa wa wanyama pori wa...
Kamati ya mambo ya nchi za nje inatembelea nchi mbalimbali ikiwemo marekani. ningependa kujua
gharama za mke wa mjumbe mmojawapo wa kamati Bw.Lowassa. Bi Regina Lowassa zinalipiwa na nani??
je ni...
Namshauri CHEYO-UDP anachokifanya BUNGENI kwa sasa ni ujinga kwani anajitahidi kuisemea na kujisogeza zaidi upande wa CCM kulikO UPINZANI.REJEA jinsi alivyooneshwa kukerwa na suala la LEMA...
Kutokana wizi ulioripotiwa kutokea wizarani kwake, alipoongea na waandishi wa habari alisema "Haikuwa wizi bali ulikuwa ukiukwaji wa taratibu za fedha". Lakini wakati huo mkumbuke kuwa imeundwa...
Aliye na hamu ya kupoteza umaarufu wake ndani ya jamii aendelee kuunga mkono migomo ya madaktari. Wagonjwa wanaokwenda kwenye hospitali zetu za rufaa huwa wanatoka mikoa na willaya zote nchini...
Mwenge wa Uhuru mwaka mmoja ulilala katika uwanja wa mpira katika kijiji chetu. Kesho yake, katika uzio wa kiwanja ziliokotwa sio chini ya mia moja ya mipira ya kondom iliyotumika katika ngono za...
Na Mwandishi wa Risasi Jumamosi
Tukio la kutekwa na kusulubiwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka hivi karibuni, limeibua mambo mazito, Risasi Jumamosi...
Kwanza combination yake unapoingia form five ni Physics, Chemistry na Biolology (PCB), au Chemistry, Biolology, Geography (CBG).
Anyway siku hizi University zimekuwa kibao hivyo maadam una...
Wana Jf habari za saa hizi ambazo tunaishi katika pango ambalo linavukizwa na moto mkali wa mabuwa na vifuu vya nazi, Naomba mchango katika hili
Najaribu kuvuta picha juu ya mwelekeo wa nchi hii...
Mkapa (rais wa awamu ya tatu), baada ya kustaafu alijijengea nyumba ya thamani isiyopungua bil4-5 kwa thamani ya sasa huko Masaki mwisho kutoka kwenye akaunti za taifa kama zawadi ya...
Kiongozi kapelekwa south kwa matibabu zaidi baada ya unyama aliofanyiwa.
Mimi kama mwananchi wa kawaida natafakari ingekuwaje kama wangefika africa kusini na kukuta kuna mgomo wa madaktareee.
Au...
I saw blood
Face broken, bones shattered
Teeth plucked out, nails broken
His skin swollen, his dignity stolen
I saw it, I saw it all and I will not remain silent again!
I saw fear...
Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda.
Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za...
Ni wazi kwamba namba yoyote ya simu huwezi itumia more than 3 days kama haijawa registered.
Nikikumbuka enzi hizo nafanya kazi ya kupigisha simu, tulikuwa tunapata a summary ya calls zote kutoka...
moja ya majukumu ya wabunge ni kuangalia haki za wapiga kura wao yanatekelezwa na pale serikali inaposhindwa basi ni jukumu lao kuwa-organise wapiga kura wao ili kumsaidia mwenza, kama ilivyo...
Wapendwa wakati tukijadili suala la mgomo wa madaktari ambao wamesimama kidete kutetea hali mbaya ya utoaji wa huduma za afya nchini, kuna tetesi kuwa kuna mgomo mkubwa wa wabunge hasa wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.