Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....
THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
THE NATIONAL...
Leo katika magazeti mengi hasa yenye njaa na propagandaza serikali likiongozwa na Habari Leo wamedai madaktari wamefika Wizara ya afya kwa wingi na wamegakiwa kujieleza kwanini wamegoma na...
Ni miaka mingi sasa wakulima wa pamba wamekuwa wakilima kwa taabu na kujituma kwingi lakini serikali inawaachia tu wanunuzi wa pamba ambao wengi ni wanasiasa wa chama hiki hiki cha zamani wapange...
TAARIFA MPYA ZAELEZA YUKO UJERUMANI SI AFRIKA KUSINI,
RAFIKI YAKE ATOA USHUHUDA MPYA WA JINSI ALIVYOTEKWA
Waandishi wetu | Mwananchi | 04 July 2012
WAKATI ikielezwa kwamba Mwenyekiti wa...
Ndugu zangu kutokana na mgomo wa madaktari (ni sahihi kusema baadhi ya madaktari kwani si wote waliopata kugoma), nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanasiasa na wanaharakati wetu (baadhi). Nimegundua...
Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoani
Iringa, Gerald Guninita
amemkamata na kumweka chini
ya ulinzi, Mwenyekiti wa Serikali
ya Kijiji cha Udekwa kilichopo
Tarafa ya Mahenge, Obadiah
Lubugo, kwa...
Watanzania wengi ikiwemo wana JF tunampenda sana Dr Ulimboka na tunaunga mkono "his cause". Tunajua matibabu yake ni ghali na familia yake pia inapata shida. Ili kuwapa moyo wapigania haki...
Mchumi wa kimataifa ambaye ni mwenyekiti wa CUF Taifa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa utakao fanyika siku ya jumapili tarehe 15. 07. 2012 katika viwanja vya jangwani, ambapo pia atakuwepo...
Napita hapa katika shule ya Msingi Kihonda Magorofani katika kata ya Kihonda manispaa ya Morogoro ndani ya madarasa ya shule ya msingi nawaona watu webgi mavalia nguo za kijani na nje kuna magari...
Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe akitunukiwa Uwakili na
Jaji Mkuu Othman Chande katika hafla ya kuwatunuku
uwakili wanasheria wa serikali iliyofanyika leo jijini Dar es salaam
Waziri...
Serikali haina nia nzuri na wananchi wanaokosa huduma bora ya afya. kufuatia uongo na propadanda zinazofanywa na viongozi wa hii serikali wakidai mgomo umekwisha huku wakivinyamazisha vyombo vya...
Dalili za mgomo huo zilianza jana baada ya upande wa manispaa ya mkoa wa kilimanjaro kuongeza ushuru wa mabasi yanayofanya safari zake mikoani.hali hiyo imesababisha usumbufu kwa abiria kwani...
Nasikitika sana kwa wasomi wetu wa Tanzania kukosa Uzalendo nikiwa kama mlipa kodi kwa kila mwezi.Mimi nafikiri mfumo wetu wa elimu kwa sasa hivi sio mzuri kwani serikali haiwajibiki kwa wananchi...
Bunge ( Chombo Muhimu Kama Mwakilishi wa mwananchi) linaendeleza vikao vyao vya kawaida wakati Mwananchi wanayemwakilisha anakufa Kwa kukosa matibabu ni USALITI ULIOKITHIRI
Kwanini Bunge...
Leo ndio tarehe ambayo CWT walituambia kuwa itakuwa ni ya mwisho kwa majadiliano na serikali, tunatarajia kuanzia kesho CWT itoe mlisho nyuma (feedback) juu ya majadiliano yake na serikali...
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero...
Ukijaribu kuangalia thread nyingi hapa jf ni wanamagamba kuitafutia chadema sababu tu ili ionekane imeanza kudhoofu mi nawaambia mtahangaika wee chadema inasonga mbele tuu.
Nakumbuke ilikuwa siku tulivu,pale vwanja vya nmc,pale mh.lema aliposhika kipaza sauti na kuwasihi wakazi wa arusha watulie na wasiichome arusha yetu.haya maneno sitayasahau yalijaa upendo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.