KAGAME A HERO
Its a precious thing that in my life I have lived to witness a nation growing from a disconsolate and direful situation to a nation that is approaching zenith. Katika kipindi hiki...
Serikali inachotakiwa siyo kulazimisha, inapaswa kusikiliza na kutatua hoja, sisi madai yetu yamepotoshwa, hatuna vifaa vya kufanyia kazi lakini wananchi hilo hawalielewi, alisema mmoja wa...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
BY ALVAR MWAKYUSA, 7 JULY 2012
ALL the 400 employees of the ailing Kiwira Coal and Power Limited (KCPL) have been retrenched in a bid to relieve the...
Wadau,
Namsikiliza Dr., Magufuli akihitimisha uchangiaji wa budget ya wizara yake. Ameanza kupangua hoja moja baada ya nyingine akishuka na data. Anamshangaa mkosamali kwa kuwa hata akipewa...
Umegaji Selous unufaishe taifa
NA MWANDISHI MAALUM
6th July 2012
Maoni
Serikali ya Tanzania imo katika furaha kubwa baada ya Kamati ya Urithi wa Dunia inyo chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la...
Hii ni Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya America (VOA) imetanabaisha kuwa mgomo upo na vyumba karibia vyite vya kutolea huduma vilikuwa vimefungwa na wagonjwa wamekiri kuwa wale wa operarion na...
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli
Florence Majani, Dodoma
TATIZO la msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam jana lilizua mjadala mkali bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya makadirio...
VIONGOZI na wafanyabiashara nchini, wameelezwa kutorosha na kuhifadhi fedha nje ya nchi kiasi cha Sh trilioni 16.6 fedha ambazo zinazidi bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/13.
Mbunge wa Kisesa...
Kama ilivyo ada, Rais za Zanzibar leo tena amekataa kuhudhuria kikao cha baraza la Mawaziri kama mjumbe, kinyume na anavyotakiwa na Ibara ya 54 ya Katiba ya Tanzania.
Tatizo, alikerwa...
ILI KUONDOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM KUTOKUJUA WANAPIGA MAKOFI OVYO BUNGE LIANZISHE HOJA KWA ENGLISH KWA MUDA WA MASAA MAWILI KWA SIKU ILI TUPATE WENYEVITI NA WATOA HOJA WATAKAOJIELEZA VIZURI...
Wadau leo maeneo ya Mwenge nimekutana na Bw. Charles Mgeta Ekelege, aliyekuwa kibosile wa TBS akiwa kwenye gari ya Shirika la Umma lenye Na. SU 36739. Nikajiuliza maswali mengi, hivi si ndiye...
kwakuwa ccm inawatumia wanavijiji kuwasilisha matakwa yao kwa kuwapa barua zenye kupendekeza serikali mbili wa muundo wa muungano, basi na sisi tusiotaka muungano au wanaotaka muungano wa mkataba...
Mkutano wa uchaguzi wa vijana CCM kata ya Kawe umevunjika baada ya vijana kupigana vibaya na kurushiana viti huku wakilaani uongozi wa juu kwa kutaka kuua chama.
Ilikuwa ni aibu kuu kwa chama...
Maisha bora kwa kila mdanganyika lakini leo wiki ya pili imekatika huduma hospitali za rufaa zimedorora.wanafanya maigizo kudanganya watu maskini wenye kuhitaji huduma hii kwa hali ya juu wanakuja...
SOURSE: itv
hivi? mnajua madaktari wakiwa wamerejea bado matatizo yatakuwa mabaya zaidi,
tukio hili lilishafanywa na walimu walivyotangazza mgomo, na kusalititiwa na baadae tukashuhudia...
THE Union and Zanzibar governments have sought assistance from the United States and the European Union (EU) to jointly help in investigating and verifying allegations that Iranian ships have...
mr. simbeye ,kitilia mkumbo from udsm,, , wamekusanyika kuzungumzia hiyo mada hapo,,, juu.. na wengine ni dk,bakari from udsm, mrs,shaba,, wamechambua suala la dk, ulimboka,, vituko na viroja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.