Inasikitisha, Inahuzunisha, Inatisha na kuvunja moyo wa watumishi wa h/m ya wilaya ya Ngorongoro wanaofanya kazi maeneo ya kabila la wasonjo(kule kwa babu wa kikombe)
Tukio hilo la kunyofoa...
Kama wao ambao ndo wanamamlaka ya kusimamia sheria na ndo wanakuwa wa kwanza kuzivunja,Je wanaweza kumsimamia mwananchi wa kawaida kweli? Angalia mwenyewe na uongezee makosa waliyo kiuka.
1. Wako...
Baadhi ya Wajumbe uchaguzi wa CCM kata ya K'nyama ambao unafanyika katika Ukumbi wa Utoji uliopo Sinza wameonekana dhahiri asubuhi hii wakifakamia Bia na Viroba aka "LAPTOP" huku wengine wakiweka...
Ni hivi karibuni kumekuwa na takwimu za upungufu wa chakula, kama chanzo kikubwa cha mfumuko wa bei nchini.Na kumekuwa na vijisababu vya upugufu huo.Pia kumekuwa na takwimu kubwa na vijana wengi...
Najiuliza hili swali mwenye jibu atanisaidia.
Madeni yanayojopwa nje ya nchi yanakopwa kwa mgongo wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na ushahidi mojawapo hata chenji ya rushwa ya...
NA, GORDON KALULUNGA
NIWEKE wazi kuwa huu si uchochezi bali nataka niweke ukweli ambao ni sawa na juisi ya Mwarobaini ambayo ni chungu lakini inaponya homa kali.
Hivi karibuni viongozi wa...
Robin Williams aliwahi kusema 'tatizo ni, Mungu alimpa mwanaume ubongo na uume na damu tu ya kutosha kuendesha kimojawapo kwa wakati mmoja pekee' .....je hili linaweza kuwa na uhusiano na...
Moja ya vitu ambavyo watanzania wa kutoka hapa musoma vijijin wameapa kuvifanyia kazi ni kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mkono na ccm yake hapati chochote...hivyo basi wananchi wote wa musoma vijijin...
Kama ambavyo tulishuhudia vyombo vya habari last week vikiripoti kupungua kwa makali ya mgomo wa madaktari na kuelezea kuwa huduma zikirudi katika hali ya kawaida, kumbe hali hii ilitokana na...
Jamani ndugu zangu tufike hatua tutambue madudu ya Serikali ya Chama cha Mapinduzi na kuishinikiza iondoke madarakani pasipo kusubiri 2015. Madai ya madaktari si yao tu, yanahusu hata sisi raia...
IDHAA YA KISWAHILI dw / Matukio ya Afrika
Matukio ya Afrika
Serikali ya Ghana haitaki mchezo. Tokea wiki hii biashara na vibanda vya raia wa nje vinafungwa. Vikosi maalumu...
Kukesha kumlaumu raisi ni kupoteza muda
Wa kulaumu ni Nyinyiem. Raisi anatenda kazi kulingana na matakwa ya Nyinyiem, raisi hawezi kwenda kinyume na wenzake. Small Elite group, pillar beneficiary...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Kisaka saka na Baadhi ya makamanda wa Kikosi cha 672 cha JWTZ kiliopo Kisaka saka kufuatia tatizo lililojitokeza...
MZEE SABODO KUCHANGIA UPINZANI SI TATIZO.
Kuna watu wengi wanauliza nini maoni yangu juu ya uamuzi wa Mzee Sabodo kusaidia vyama vya upinzani na hasa Chadema.
Kimsingi sioni tatizo kwa Mzee...
HALI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari hapa nchini, Dk. Stephen Ulimboka, inazidi kuzorota na madaktari walio karibu naye wamelidokeza Tanzania Daima Jumapili, kuwa sasa wanasubiri Kudra za...
Nchi ya Kijamaa, iliyojiandaa barabara chini ya Chama, ina nguvu za Kimaendeleo. Wazembe, wavivu na wapinzani wa nguvu hizo, hupondwa-pondwa na kusagwa-sagwa wasionekane aateeni!
Ndugu...
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Dr ulimboka ameobwa kulejea nyumbani na kumalizia matibabu yake hapa nchi hii ni kutokana na...
Haihitaji tume huru, wala uchunguzi wa kina. Hili ni jambo ambalo liko wazi bila shaka hata wanaohusika wanajua. Kumekuwa na idadi kubwa ya viwanda vya kusaga sembe mitaani kisha wanachapisha...
Mi nikiwa mgeni katka mji wa Geita leo tarehe 07/07/2012 saa kumi jioni ktk vwanja vya magereza Geita mjini ndipo alipowasili mke wa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. SLAA alianza kuhutubia na kuwapa...
Hii ni nchi ya ajabu sana ambayo kila kukicha inakuja na mikakati ya kufukarisha raia wake kwa visingizio vya wapishe maendeleo kama vile raia siyo sehemu ya hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.