Umafia na tanzania - janja ya dola kuzika bad news | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umafia na tanzania - janja ya dola kuzika bad news

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumbatu, Jul 7, 2012.

 1. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Na Mwandishi wa Risasi Jumamosi

  Tukio la kutekwa na ‘kusulubiwa’ kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka hivi karibuni, limeibua mambo mazito, Risasi Jumamosi limedaka ishu nyeti.
  KUNA KUNDI LA MAFIA?
  Habari zinazozungumzwa mitaani juu ya tukio hilo ni nyingi lakini mpya ni madai kuwa kuna kundi la watu limeundwa linalojishughulisha na ‘umafia’ wa watu tishio wenye ushawishi katika jamii wanaohamasisha migomo na kukosoa serikali waziwazi.
  Imeenea kuwa kundi hilo halina uhusiano na serikali wala chama chochote cha kisiasa nchini kama baadhi ya watu wanavyodai na tayari Rais Jakaya Mrisho Kikwete alishakanusha utawala wake kuhusika na jambo hilo baya.
  “Ukweli ni kwamba kuna kundi ambalo kazi yake ni kufanikisha matukio kama hili la Dk. Ulimboka ili kuifanya serikali ishindwe kutawala,” chanzo kiliweka wazi.
  Hata hivyo, mwandishi wetu alipodadisi faida ambazo kundi hilo litapata baada ya kufanikisha mpango huo wa kutikisa amani ya nchi kwa kuwafanyia umafia watu wanaoikosoa serikali, chanzo kilidai kwamba ni kutimiza lengo la kuwafanya watu waichukie serikali iliyopo madarakani ili utawala mwingine upate nafasi ya kutawala nchi na kulipa kundi hilo heshima.
  “Unajua kundi hilo litakuwa linawadhuru watu ambao wanafahamika kwa kuchochea migomo au kuikosoa serikali ili raia wadhani anayefanya hivyo ni serikali kwa hiyo waichukie, ipoteze mvuto kwa jamii na kundi hilo nalo liweze kufaidi rasilimali za taifa,” chanzo kilisema.
  KUBENEA NA NDIMARA
  Ukimwondoa Dk. Ulimboka, wengine ambao waliwahi kuonja matunda ya umafia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, inayochapisha Gazeti la Mwanahalisi, Saed Kubenea na Mhariri Mshauri wa gazeti hilo, Ndimara Tegambwage.
  Wanahabari hawa, mapema mwaka 2008 walivamiwa ofisini kwao zilizopo Mtaa wa Kasaba, Kinondoni, Dar na kufanyiwa ukatili na watu wasiojulikana.
  Katika tukio hilo, Kubenea alimwagiwa tindikali na Ndimara kukatwakatwa na mapanga - gazeti lao linahusishwa na ukosoaji wa serikali waziwazi.
  MWAKYEMBE
  Mwingine ambaye aliwahi kudaiwa kukutana na umafia na kusababisha kuharibika kwa ngozi ni Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe huku ulipuaji wake wa ile skendo ya Richmond ukitajwa kumponza.
  MUKOBA NA MGAYA
  Habari zilidai kuwa watu wengine ambao jamii inawaombea kwa Mungu wasikutane na umafia huo ni pamoja na Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba na Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali (TUCTA), Ernest Mgaya.
  ZITTO NA MNYIKA
  Wengine wanaolindwa na raia kwa maombi ni wabunge vijana wa Chadema ambao ni wakali hasa linapokuja suala la maslahi ya taifa, Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini na John Mnyika wa Ubungo ambaye hivi karibuni alitolewa nje ya bunge kwa kuvunja kanuni.
  GODBLESS LEMA
  Huyu kwa sasa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema ambaye alivuliwa ubunge wa Arusha Mjini baada ya kushindwa kesi mahakamani lakini amekuwa akizunguka nchini kuhamasisha mabadiliko, huku akiikosoa serikali majukwaani hivyo kujiweka katika wakati mgumu wa kumfika ya Dk. Ulimboka.
  TURUDI KWA DK. ULIMBOKA
  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesisitiza kuwa, jopo la upelelezi aliloteua kushughulikia tukio zima la kutekwa kwa Dk. Ulimboka litaendelea na kazi yake hadi mwisho na hatasikiliza kelele za wanaodai kutokuwa na imani nalo.
  UHAKIKA DK. ULIMBOKA ANATIBIWA UJERUMANI
  Baada ya kuwepo kwa utata wa nchi ambayo Dk. Ulimboka alipelekwa kutibiwa, Risasi Jumamosi lilipekuwa vyanzo vyake na kuthibitishiwa kuwa baada ya hali kuwa mbaya daktari huyo amehamishiwa nchini Ujerumani kwa matibabu zaidi.
  MH! MAJIRANI HUWA WANAMUONA TU KWENYE ‘MIDIA’
  Kwa mujibu wa majirani waliozungumza na gazeti hili mtaani kwake anapoishi Mbezi ya Kimara, Dar walisema kuwa, wamezoea kumuona Dk. Ulimboka kwenye vyombo vya habari ‘midia’ lakini mtaani kwake amekuwa nadra kupatikana.
  KUTOKA KWA MHARIRI
  Yanayosemwa mitaani ni mengi kuhusu makundi ya watu wanaowafanyia umafia wenzao, kikubwa ni kwa vyombo vya ulinzi kufuatilia ili kuona kama madai hayo yana ukweli wowote.
   
 2. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sensorship and Disinformation!
   
 3. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hayo si yangu yameandikwa na wahariri wenu wa Tanganyika kutoka katika gazeti la Risasi Jumamosi mlivyo na akili za kimbilikimo nyie watanganyika tangu lini umafia na Tanzania, pata nakala za Jarida la Risasi Jumamosi, kazi udaku tuu baada ya kufikiri maendeleo, sasa sasa mnaanza kunyemelewa na tatizo la umajimbo ooh! Chadema chama ya kaskazini, bila ya kukubali yaishe hawendi mbali siku zote mtakuwa mnajadili watu na envents badala ya facts kwa maendeleo yenu, sisi tunasubiri katiba mpya 2014 ya mkataba wa muungano kwa kuwa wapemba tumezaa na dada zenu tutabakiza muungano lakini wa kimkataba, baada ya hapo mtaona tutavyowatoka ksi kwa maendeleo Zanzibar na wakati huo tutawachukua lama za vidole gumba mkija Zanzibar wizi ukitoke tunaowanisha alama za vidole na zilizpatika kwente crime scene tukigunduaa ni mtanganyika Ijumaa anakatwa kichwa
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Dini = Fear of Unknown.
   
 5. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umetumika kupotosha jamii.
   
 6. omben

  omben JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Owongo mtupu, mbinu za kuisafisha serikari
   
 7. k

  kajembe JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hayo ndiyo madhara yakutosoma shule unaishia kuabudu uarabu na kuandika Upumbavu! Mbona Comoro hawajaendelea nikaichi kadogo! au mnategemea waarabu wa Oman wawasadie wakati wao ndiyo waarabu wajinga wasiyopenda hata shule na Maskini wakubwa! Nnai anataka muungano na nyie watu wa hovyo tu! tumewatawala miaka yote leo ndiyo mnajifanya kuzinduka! umesahau tulivyomtimua Rais wenu Jumbe? jeuri yenu yote huishia Dodoma,sisi ndiyo tuna amua nani awe rais wenu.Hta seif aliwekwa na nani? jaribu kufikiri vizuri!
   
 8. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,669
  Likes Received: 2,198
  Trophy Points: 280
  kalipwa huyo!
  malizia hela ya watu wiki ijayo!
  kwa kusema serikali imewaua watu hao kisiri Sirius!!!
   
 9. k

  kajembe JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hadithi ya Abunwasi hiyo!
   
 10. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hili ndio tatizo lenu watanganyika vichwa ngumu Nyerere aliwajua nyie akawatua msukule kwenye mwenye mtaishia kuabudu mwenge tu, hayao uliosema yamepitwa na wakati hamna hata utaifa wala hamjui asili yenu mpo sisi watanzania na nani mtanganyika? usiandikie mate 2014 sio mbali ndio mtakapopata joto ya jiwe
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aisee!
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Shenzitype!
   
 13. y

  yaya JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhh!
  Sorry, I thought you were a great thinker.

  But I'm afraid I was wrong.
   
 14. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Serikali dhaifu ya Kikwete inatumia jeshi la polisi kuendesha mauaji halafu unakuja hapa na hoja za kishetani kudanganya watu. Kikwete ndiye kamanda mkuu wa mauaji!!!
   
 15. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Yes I'm kama walivyo wazanzibari wote, na nakupa mfano mdogo tu Nyerere wakati tunaunganisha tanganyika na zanzibar akilikuwa na degree na Karume just seaman with seaman card, Nyerere kwa ujinga wake akaupta tufufu zote kwenye Muungano Karume kabakiza leo mnalia mnataka tanganyika yenu then who is great thinker?
   
 16. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Naona wewe ushaingia kwenye dini ya kuabudu mafuvu, rais wetu hauwi na hana haja ya kuuwa our motto ni tunachukuwa na tunaweka wah! kwenye sanduku la kura hatuja haja ya kufuata didni ya kuabudu mafuvu kama wewe, lete data kama anahusika na nabety mpaka dunia itakwisha utashindwa
   
 17. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Imebidi nicheke tu baada ya kusoma hii thread.
   
 18. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ..balaa gani hili!
   
 19. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Gazeti la Risasi limetumika kufanya Disinformation! Yes hizo ndo mbinu za TISS na Mawakala wao ku-divert minds and attention zetu kutoka kwenye hoja za msingi ili tupoteze muda na udaku!
  Wenye akili timamu na Uchambuzi yakinifu hawawezi kunaswa katika mtego huo mbovu. Acha wenye mawazo mgando wamtegemee SHIGONGO kufikiri.
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... nimeipenda sana hii riwaya nilioisoma hapo juu na ile nyingine ya 'AJALI AFRIKA KUSINI' ambyo nayo imetundikwa hapa ubaoni.

  Hivyo basi, na wenye kuibuni pindi watakapoamua kuifanya kabisa iwe ni kitabu kamili basi jina la kitabu hicho napendekeza kiitwe
  'KOSHA'.

  Hii yote ni mirusi mingi yenye lengo la kutafuta kumchanganya tu 'mbwa'.
   
Loading...