Call logs tu zatosha kukamata waliomsulubu Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Call logs tu zatosha kukamata waliomsulubu Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzungukichaa, Jul 7, 2012.

 1. m

  mzungukichaa Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Ni wazi kwamba namba yoyote ya simu huwezi itumia more than 3 days kama haijawa registered.

  Nikikumbuka enzi hizo nafanya kazi ya kupigisha simu, tulikuwa tunapata a summary ya calls zote kutoka makampuni ya simu kila mwisho wa mwezi.

  Kwa mantiki hiyo, ni wazi ukiangalia logs za call zilizoko kwenye mitandao ya simu,unaweza kuwapata kirahisi sana chain nzima ya waharifu waliohusika na kumsulubu Dr. Siamini kama uchunguzi huu unaweza chukua more than 1 day.

  Otherwise it is a system at work!
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  sitegemi hawa jamaa watatoa majibu ya kuridhisha kwani naamini ni wao wenyewe wanahusika na hili tukio ,
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Pinda ni mhusika namba moja..abeid then ahmed msangi.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  liwalo na liwe
   
 5. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  ... Unachekesha Sir Mwema hana ujuzi huo, vinginevyo angekuwa on top of the game kwenye wizi wa mtandao wanabaki kutoa takwimu tu hawajua wata solve vipi hilo tatizo, wao wako na inteligensia za ubabaishaji tu, madhali Polisi ni EX-Std VII na suspects ni graduates usitegemee mapinduzi katika kukabiliana na uhalifu mapaka TZ itakapokubali kubadilika kwa kila afande wa Polisi kuacha mtoto wake anapostaafu ndani ya Polisi kuendeleaza u-chifu katika Polisi.
   
 6. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Simu ni njia nzuri sana ya ku trace wahalifu; wengi tunajua hili. Waliolipua ubalozi wa Marekani pale Salender Bridge tunajua walikamatwa kwa tracer ya simu. Tunajua Pia Osama Bin Laden alipatikana kwa tracer ya Simu. Tatizo tulilo nalo hapa Tanzania ni competence ya hawa polisi wetu standard seven failure na Division 0 za Form IV. Tracer ya bomu la Salender Bridge ilifanywa na FBI. Police wa Tanzania walikuwa wanashindikiza tu operation.

  Ukichanganya ufinyu huu wa uelewa wa hao polisi na hofu kuwa Waliofanya uhalifu kumtesa Dr. Ulimboka ni haohao polisi na Usalama wa Taifa, Tracer ya simu siyo option kabisa. Lakini pia hapa Tanzania kuna urahisi mkubwa wa kusajili simu kwa majina feki. Sidhani kama option ya tracer ya simu italeta tija.

   
 7. m

  mzungukichaa Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Sidhani kama wanahitaji huo ujuzi,wakitaka hizo information/logs.Wana enquire kwa kampuni za simu,just like unapoletewa bill ya postpaid line,waweza kuomba logs ili kuhakikisha kama bill yako ni sahihi au hapana.
   
 8. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nchi inamambo mengi ya kujadili na kufanya sio kila siku hili
   
 9. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,373
  Likes Received: 8,496
  Trophy Points: 280
  Sasa nitake kukuuwa then uje unambie nilitaka kuuliwa nitaftie mwalifu kweli?
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye Red ndiyo yenyewe. but the bottom line remain that lazima wajulikane even if it was the system!
  Call logs zinazotakiwa ziangaliwe kwa ajili ya uchunguzi ni za Yule aliyempigia simu Dr. Ulimboka, ya Dr. Ulimboka yenyewe, Dr. Deo (asije kuwa na yeye alitumika) na ACP Hemed Msangi.

  Tatizo ni nani anatakiwa kufanya huo uchunguzi? kwa kuwa system ndiyo inayotuhumiwa, na system hiyo hiyo ndiyo inayofanya uchunguzi sidhani kama wanaweza kuja na outcome ya kweli!
   
 11. Mtumbatu

  Mtumbatu JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hilo pia linataka akili, na akili ya kufikiri Polisi wa TZ hawana ni ubabe tu na kujiona wapo juu ya sheria read between the lines kauli zao utajua kama Polisi wetu na wagagagigikoko, na bet kama utapana lolote la maana kwenye tume ya kova
   
 12. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Sidhani kuna mtu kakukataza WEWE kujadili mambo mengine. Waache wanaotaka kujadili hili waendelee.
  Wakiamua kuwa hoja zimekwisha wataacha wenyewe.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Suala la Uli liko wazi ndo maana serikali inajitaidi kulipotezea!
   
 14. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Polisi hawatafanya uchunguzi. Hii ni tume ya ku-buy time watu wasahau tatizo, na kwa bahati mbaya sana watanzania ni wasahaulifu sana. Na matokeo ya huo uchunguzi feki yatapotoka yatatumika kuficha ukweli kwa mojawapo ya njia mbili za Propaganda techniques za watawala dhalimu: watatumia ama Black Lie, ama White lie. Mbinu hii ya black lies, white lies na ku-buy time kwa vitume feki ilitumika sana wakati wa utawala dhalimu wa makaburu kule Afrika Kusini (Tazama: 'Inside Boss', Gordon Winter, London).

  Tuna Tatizo kubwa hapa! Inatakiwa tu iundwe tume independent, na iwe na experts wa Criminology kutoka nje ya hii nchi yetu inayonuka rushwa.
   
 15. v

  vngenge JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Si ajabu ukasikia askari wetu mmoja asie muaminifu alirubuniwa na genge la wahalifu ili kumuibia Dr kwamba walielekezwa na mtu wasiyemfahamu kuwa wakati huo Dr alikuwa anaenda kuchukua pesa huko Lidaz. Baada ya kuzikosa ndio waliamua kumtesa ili aseme pesa ziko wapi na walipogundua kuwa walidanganywa wakaamua kumtupa porini AU

  Utasikia alikuwa na ugomvi binafsi wa kimapenzi/ Fedha na watu ambao waliamua kukodi wahalifu wakishirikiana na mmoja wa mtumishi wetu asie muaminifu wamdhuru kwa lengo la kulipiza kisasi, Hivyo watu hao wengine wamekimbia nje ya nchi lakini huyu askari aliekiuka misingi ya utumishi taratibu zinafanyika kumuwajibisha sheria itachukua mkondo wake ikiwemo na kumfikisha mahakamani.......... Na umma utafahamishwa
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  haraufu ya maanadamanao ya nchi nzima kama serikali yetu haitusikilizi naiona kabisa
   
 17. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Ha ha ha ha. Good imagination.

  Lakini ujue serikali zinapoamua kusema uongo sharti la kwanza huwa uongo ufanane sana na ukweli. Na kama njia za kuongopa zikibana sana mwenye taarifa za uhakika hunyang'anywa uhai kulinda maslahi makuu ya taifa (noooo... maslahi makuu ya watawala waliofanya blander.)

  Hebu tukumbushane; hivi katika kesi ya kina Zombe hakuna askari aliyeuliwa katika kazingira ya kutatanisha?
  Hii kesi ya ulimboka haitaisha vizuri pia nakuapia
   
 18. m

  mzungukichaa Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Nina hakika, katika hili kuna watu wa mitandao ya simu pia wana ukweli. Si vijana wa information technology au telecom tu walioko mitamboni,bali mameneja kadhaa au mkurugenzi mkuu wa mtandao aliokuwa anatumia dr.
   
 19. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Sijakusoma. Hebu fafanua....
   
Loading...