Waziri wa maliasili na utalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa maliasili na utalii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jul 7, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kwa tetesi nilizozipata kutoka kwa askari wa wanyama pori ni kwamba waziri wa maliasili na utalii Mr. Kagasheki amepigwa mkwara na wakuu baada ya kuwasimamisha baadhi ya maafisa wa wanyama pori wa serengeti kutokana na sakata la kuuawa kwa faru. Taarifa hiyo ilizidi kupanuka hadi na kusema kuwa Mr. Maige nae amepigwa biti kutokana na maslahi wa viongozi wanaotuongoza.

  Naiwakilisha ila nikapata update nitataarifu jukwaa
   
 2. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wakuu gani hao waliompiga mkwara? ni dhaifu na liwalo na liwe nini?
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni Liwalo na liwe tu huyu.
   
Loading...