Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
People tumeshinda Big time na Mbarikiwe sana ndugu zangu. Le Mutuz Biig Shoow!!
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Serikali ya CCM iko katika mtafaruku mkubwa. Kutokana na wimbi kubwa la kukataliwa hapa nchini hasa kuanzia kwenye mashina huku maelfu wakikimbilia CDM, serikali ilitegemea kulizuia wimbi hilo kwa...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Mh: tokea ulipoteuliwa uwaziri kamili hujaongea tena suala lako binafsi la kupewa sumu,kwetu sis wananchi tupo njia panda.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunayo furaha kupokea ombi la katibu mkuu chama cha wenye ulemavu Tanzania mhe masamaki kuomba kujiunga na Chama Cha Ukombozi wa Umma-CHAUMMA. Alipoulizwa kwann amependa kuchukua uamuzi huo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali hii sio kiongozi wake la hasha ila watendaji wake ndio watekelezaji wakuu wa uovu huo, na mbaya zaidi ni pale ambapo hawajali hata kama Raisi au kiongozi anadhalilika... ila hawajui kitu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu Mkuu UVCCM ,Mh.Shigela Martin akihutubia wananchi wa Mtwara Tambwe Hiza wa CCM Makao Makuu akihutubia wananchi masuala muhimu ya kujenga nchi na yenye kuleta maendeleo kwa Taifa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania Mh Kikwete Na Mashaka Mgeta 7th July 2012 Hali ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inatazamiwa kukumbwa na mtikisiko kutokana na kuwepo nia ya kumtaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nategemea leo kwenye bajeti ya muungano mhe. lissu ataendelea kuwachana mawhite wale wadau wanaoutetea muungano wenye faida upande mmoja. Alichosema : MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Wajumbe wakiwa Katika uchaguzi Mdau Abdullah Zulu Lyana akiwa katika uchaguzi Halmashauri ya kata ikijiuzulu kupisha uchaguzi ufanyike Mgombea wa Uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti Adv. Sato...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
Serikali ijiandae Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani...
17 Reactions
214 Replies
18K Views
Engineer George Alliy He is the founder, Chairman & Chief Executive Officer of TANconsult Ltd. His role involves managing the operations of the firm, as well as providing a project managerial role...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni mambo mengi ya kustaajabisha aliyoyafanya JK kwa kushirikiana na CCM yake ila haya mambo yanashangaza sana, kwamba: pesa za EPA kupitia KAGONDA alizikwapua kwa ajiri ya kuwagawia waislam ili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Magazeti Leo Ijumaa
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Kuhusuala la Dr. Ulimboka wana JF changanueni habari hii. Suala la kutenguliwa Ubunge wa Lema wa Arusha Mjini kiutata umefanywa na Jaji mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa na mhusika mkuu wa utekaji na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Bado nikiitazama hii inatia hasira sana....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni baada ya mabadiliko ya hali ya Ulimboka. Wagonjwa waliokwishalipia tu ndo wanaonwa leo. Emergence yasimama. Source: Mimi niko ground zero UPDATE: Kutoka gazeti la Mwananchi Huduma za...
1 Reactions
150 Replies
12K Views
Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen. Kiongozi huyo amesema hakuna njia...
23 Reactions
212 Replies
15K Views
NA THOBIAS MWANAKATWE 6th July 2012 Sakata la meli za mafuta zinazodaiwa kuwa ni za Iran kupeperusha bendera ya Tanzania kwa lengo la kufanikisha biashara ya nishati hiyo limezidi kuikoroga...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgodi wa kiwira mkoani mbeya umefungwa rasmi leo na serikali imeukabidhi kwa STAMICO.. Na wafanyakazi 398 wamelipya mafao yao.. Mkurugenzi wa stamico amesema wanafanya utaratibu wa kuufungua upya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom