Ni nani analipia gharama ya mke wa lowassa marekani ktk ziara ya kamati ya bunge huko usa.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kamati ya mambo ya nchi za nje inatembelea nchi mbalimbali ikiwemo marekani. ningependa kujua
gharama za mke wa mjumbe mmojawapo wa kamati Bw.Lowassa. Bi Regina Lowassa zinalipiwa na nani??
je ni pesa za walipa kodi au pesa zao binafsi kwa sababu yeye si kiongozi wala mjumbe wa kamati usika.
 
Lowassa ni tajiri hawezi kuwa anapenda bure kama jamaa wa Msoga. Lazima atakuwa kamgharimia mama Freddy akale naye bata mamtoni, kitu ambacho sio kibaya, labda kama anatumia hela za Richmond. Hata mi mchovu nikipata ziara za mtoni huwa naenda na mama Ulukolokwitanga kula naye bata after business hours
 
Gharama ya mama lowasa siyo issue kabisa kwa lowasa, tuongelee mengine jamani. Tena nampongeza kwenda na my wife wake, wazinzi wameacha my wife wao
 
Back
Top Bottom