Mimi na CCM.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi na CCM..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matumbo, Jul 7, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Naichukia sana CCM...imefikia hatua nikipanda Bus,nikigundua niliyekaa nae siti moja ni CCM.....Nipo tayari kusimama Dsm mpaka Musoma.

  Sijui nifanyaje kuondoa hii hali..
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aisee CCM nikiisikia tu natapika nyongo
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu,kama imetokea unapata msosi alafu kwa mbaali unasikia kale ka wimbo kao ka nambari waani eeh..lazima uludishe chenji.
   
Loading...