Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAUMMA, Jul 6, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. C

  CHAUMMA Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda.

  Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za kukichafua chama hiki.Chama hiki hakina malengo ya kuwagawa wapinzani.Kina lengo la kutanua wigo wa upinzani katika kupambana na mfumo unaochochea unyonge wa kijamii,dhuluma,matumizi mabaya ya raslimali za Taifa na kuunganisha nguvu kama Jamii iiyochoka kukandamizwa na inayodai haki usawa.

  Chama hiki ni chama ambacho hata mtoto wa masikini anaweza kusimama na akawa na sauti katika kuchagua na kuchaguliwa.I am yet to see a truly democratic and progressive party in Tanzania.All we have are political platforms which people use to realise their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I don’t see any difference in any political party in Tanzania. You may blame CCM or other parties for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want


  Though we disagree to agree, that gives us an edge. And that makes us stronger and we will continue to maintain that. We need to unite and there is need for unity among us. What holds us together is the unity and as a political party we must disagree, but whatever the level of disagreement, finally (at the end) we normally agree on a common front and that is what will make CHAUMMA a progressive party for progressive Tanzania.

  Tunaamini suluhisho la matatizo yetu sote ni kupata mawazo na kutoa fursa kwa kila mtanzania mwenye kipaji kutumia fursa hii katika harakati zetu hizi

  Tumepata maombi mengi ya kujiunga na chama hiki.Wengi wao ni vijana na tunaendelea kuratibu mchakato mzuri zaidi ili matawi na ofisi zifunguliwe mijini na vijijini.Tutawafuata Watanzania mahali walipo.Mwalimu Nyerere na wazee wa TANU walizunguaka Tanganyika katika kukusanya nguvu ya waafrika katika kupapmbana na ukoloni.Natambua kuna watanzania wasio na vyama,kuna wale walioko ndani ya vyama vya siasa hawaridhiki na mambo yalivyo.Tunawakaribisha kwa mikono miwili.

  CHAUMMA tunapigania kwa vitendo kabisa demokrasia ya kijamii,haki,Amani na Usawa.
   
 2. 911

  911 Platinum Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  To divide and rule could only tear us apart;
  In everyman chest, mm - there beats a heart.
  So soon we'll find out who is the real revolutionaries;
  And I don't want my people to be tricked by mercenaries.

  Bob Marley.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ninachowashauri acheni vita ambayo mmeshaanza na CDM.Hivi mnadhani kutangaza vita na CDM ni mtaimarika? Jifikirieni upya mkitaka kupata nguvu teteeni yale CDM wanayotetea.Mnavyofanya vita nao ndio mnakaribisha kifo chenu.Wenzenu CUF na NCCR walianza yamewashinda.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  you can fool some people for sometime, but you can't foll all the people all the time.

  Robert Nesta
   
 5. C

  CHAUMMA Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Molemo,

  CHAUMMA hakipambani na CHADEMA.Hata wanafunzi wa Yesu walimlalamikia kwa kumuambia 'mwalimu kuna watu wanatoa pepo kwa jina lako'.Yesu aliwajibu asiyetupinga yupo upande wetu.

  Kuna propaganda chafu ambazo zinaenezwa na baadhi ya watu na wengine wakiwa ni watu wa upinzani kwa lengo la kukichafua chama hiki kichanga.tunawindwa na baadhi ya vyama vya Upinzani na CCM pia.Tumejipanga na tunajiandaa kuanza usajili wa wanachama kwa njia ya mtandao na kutengeneza Database imara

  Tunawakaribisha nyote ndani ya chama hiki.Ilibidi jana na leo chama kiongeze raslimali watu kwa kuwa vijana wengi wamejitokeza kutaka kujiunga na chama hiki.tumepata maombi kutoka kwa wanachama wakongwe.Hatutambeba mtu yeyote.Tunaandaa vetting process kwa wanaotaka kujiunga na hasa wale waliofanya kazi serikali na wenye tuhuma za ufisadi.Hatutaki kuwa zoa zoa.Tunazingatia maadili katika siasa zetu.

  CHAUMMA ni reflection ya Tanzania yenye staha,haki,maadili na wajibu katika ukombozi Taifa na raia wake kiuchumi,kisiasa na kijamii.tutaandaa harakati nchi nzima ili kuunda mkusanyiko wa watanzania wenye ujasiri kama ilivyo haiba ya chama chetu yaani ujasiri wa kijamii

  Asanteni,karibuni katika ukombozi huu wa vitendo
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenijibu vema
  Kuna thread moja iko hapa tangu jana inawataka vijana wa CDM kuhamia kwenu kwa sababu CDM ina ukabila,vipi hamuhusiki na uhuni wa namna hii?
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mmechelewa mchezo wenu wa kuiga kuunda chama kipya!!!! eti mnajaribu kugawa kura nani kawadanganya???? 2015 watu wanausongo wa kujiandikisha tunatarajia kuwa na wapiga kura 25million kama unategemea kugawa kura utapata zako na za mshindi zitabaki.Ndugu zako ccm wanafanya mzaha kuhusu bunge na bajeti hawajui kama mwisho they must account for.tutawabana tuone bajet zao zimefanya kazi gani.kwa sasa hata mjengoni hawakai mwisho spika ameanza kulalamika, serikali inalalamika, JK analalamika.Ila hawajui kuwa CDM watatumia uzembe huu kujijenga na kuchukua dola kiuraini
   
 8. C

  CHAUMMA Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante

  Tulipigiwa simu kwamba kuna thread imeanzishwa huku.Kwa kweli ilitusikitisha sana hasa kuhusu maudhui na jinsi ambavyo watu walivyokuwa wakipotoshwa/kupotoka.Uhuni na uchafuzi wa aina hii kwenye chama chochote cha siasa hauvumiliki.Kila chama kina mapungufu.Miongoni mwetu ndani ya CHAUMMA kuna watu ambao hawakuwa na vyama kwa kuwa hawakuona mbadala,kuna watu waliotoka kwenye vyama vya siasa.Naamini CHAUMMA kitakua kimbilio la watanzania wanaoona fursa ya ukombozi kupitia chama hiki.Hatutaki mchezo wa kuchafua vyama vingine ingawa sisi tunachafuliwa.Watanzania wanahitaji ukombozi na hiyo ndiyo ajenda yetu kuu katika harakati hizi

  Propaganda za kuhusisha CHAUMMA na CCM zinafanywa na CCM kwa lengo la kutupunguza nguvu hasa baada ya mikakati ytu kadhaa kuvuja.Hatutakubali yatokee yale ya CCJ na tumeshavuka hapo.tumekabiliwa na changamoto nyingi na hasa mbinu chafu za Usalama wa Taifa katika kuhakikisha hatupati usajili.Tumevuka hapo natuna uhakika tutapata usajili wa kudumu hivi karibuni.Tunaendelea kushukuru michango ya raslimali inayochangwa na watanzania ambao wanatuona kama chama makini.Tumefurahi sana kupata maombi ya wananchi na hasa wasomi kwa muda mfupi sana.Karibuni sana
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Chaumma = chaumwa?
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,001
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa kumpa kazi msajili.(ila mission yenu imefeli)
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu si vyema kufananisha hizi harakati zenu za kihuni na yesu!
   
 12. C

  CHAUMMA Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchaka Mchaka,

  Si vyema kutoa hukumu kwa njia isiyo ya staha kwa mambo ambayo hayana tafiti.Watanzania tumezoea kujadiliana kwa staha na hata inapotokea tofauti ya kimtazamo.Huu ndiyo ustaarabu na sifa inayowatambulisha watanzania.Asante
   
 13. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kwa taarifa yenu ni kwamba katika uwekezaji wowote mafanikio yanakuja baada ya miaka mingi, kina mtei na marehemu bob makani walianza harakati tangu 1992 lakini matunda wanakula kina Zitto, Wenje na wajinga akina shibuda. Uwe tayari to persevere.

  Spain wamesubiri kombe la dunia miaka nenda rudi lakini leo ndiyo they rule the world of football. Mifano hiyo nakupa kukujulisha kuwa kama utakuwa na malengo ya kitanzania ya kuwekeza leo na baada ya mwaka unataka uone mafanikio basi imekula kwenu.Kama mnasajiri chama kwa lengo la kuchukua dola 2015 mmepotea.

  Lazima mmkubali kuwa huenda msiendelee kuwa viongozi maaana wajanja wakijiunga watawaondoa nyie na wao kuchukua himaya.
  Ujue kuwa kazi uliyoanzisha hutaimaliza itamalizwa na wenzako na ndiyo watafaidi matunda.je!!!! uko tayari???????? sidhani ninavyojua umedanganywa kuja kuvuruga chama pinzani kwa CCM ukidhani kuwa CCM watakupa shavu hapo umeliwa mchana.

  karibu
   
 14. C

  CHAUMMA Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa ushauri wako.CHAUMMA si mali binafsi ya mtu kwa hiyo kama mtu anataka kuongoza chama ana fursa.Ni fursa kwa wote walalahoi na wote wenye dhamira njema na taifa hili.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Master wa propaganda nadhani munafahamu wananchi wana waza nini unajitahidi sana kujisafisha ni wewe Tuntemeke aka Chauma na ngenge lako mulianzisha thread mumeona imebackfire sasa munajisafisha tumieni haki yenu ya kikatiba kuendeleza sera zenu lakini eti hakuna chama cha ukombozi au mbadala wakati hamjafanya hata abcd moja watu watawapotezea kabla halijachwa ,ufuasi au ukada ni imani sasa ukiponda watu kwa kusema hawajijui sijui watakujuaje wewe ,
  halafu kama kweli umeongeza nguvu kazi kwa jinsi vijana na wazee wanavyojiunga na nyinyi huhitaji kutuambia we endeleea kumobilise tutawaona wakiwajibika
  CCJ,CCK,ADC wote walikuja na gia hiyo hiyo lakini wako wapi mpaka sasa hivi ungegundua kwamba watanzania wanachuka ages kumwamini mtu imechukua miaka 20 watanzania kuweka wazi kwamba sasa wanaamini wapinzani kwa hiyo fyata unaposema nyie ndio chama mbadala wakati wana macho
   
 16. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  style, semantics, na flow ni kama ya familiar Great Thinker hapa.....any way ngoja niendelee kuchunguza zaidi


   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Huu uandishi na ufahamu ni wa nani for now i will test my inteligency
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nataka niwahi kuingia huko:
  CHAUMMA

  ofisi ziko wapi?
  sera zenu nini?
  viongozi kina nani?
  waanzilishi kina nani?
  wadhamini kina nani?
  wafadhili kina nani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hebu Bandika katiba yenu hapa, nikipata wasaa niipitie!
   
 20. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,231
  Trophy Points: 280
  mna wanachama wangap?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...