Waziri mkuu Ziarani Songea,mji hauna umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu Ziarani Songea,mji hauna umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pastor Achachanda, Jul 7, 2012.

 1. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ni ajabu kwamba kiongozi wa nchi anakuja Songea na robo tatu ya mji hauna umeme.Hii nchi mbombo jilipo!
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Songea haina umeme siku zote,kwani umeme ni wa mgao mara zote!!
  Nadhani ingekuwa unafiki mkubwa kuwasha umeme ati kwa kuwa waziri mkuu amefika.
  Ni vema akashuhudia hali halisi
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni janga la kitaifa songea.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  liwalo na liwe yupo nyumbi bombi? vp hajasema msemo wake?
   
 5. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  "Kukatika umeme ni kawaida"-PM
   
 6. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yes mkuu.Alipokuja Nape na Huyu niligundua hil
  o.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Hajaomba zawadi meeeeeeee?
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Zindukeni wananchi na wakaziwa kusini,kubalini mabadiliko!CCM ni janga kubwa kwa maendeleo ya Tanganyika/Tanzania!
   
Loading...