Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwenyenguvu, Jul 3, 2012.

 1. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nilipokuwa nasikia kauli ile tena ikitoka kwa mwanahabari mwandamizi,Juma Nkamia nililishtuka sana,yaan watanzania wengi wamesikia wenyewe kwa kuona kwenye tv madaktari bingwa wakitangaza kuanza mgomo jana,yeye anatumbia tusiamini vyombo vya habari?,kweli ccm ni kama pepo!
   
 2. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nkamia ni nani?
  the last time i cheched he was BBC reporter!
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Ameona kuwa kazi ya Utangazaji haina maslahi hivyo amekimbilia UBUNGE.

  Ajabu anapotoa kauli kama hii, inamdharirisha mwenyewe, ina maana hata yeye alikuwa anasema uongo.

  SHAME ON HIM FOREVER!!!!!!!!!!!!!!

  MAGAMBA BWANAAAAA Mhhhhh  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 4. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni gamba wa jimbo gani?
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa wa ajabu sana, ameshindwa hata kuwa na hoja za msingi akiwa bungeni, hana uwakilishi wa mwananchi hata wa jimbo lake tu. ni aibu kuwa ni mwanahabari, maana siku mingi sana tumesikia wanahabari hatuna viwango vya elimu, na hatuna mchango stahiki kwa jamii na maendeleo. Tunaandika habari bila mwelekeo, sysytem ikingilia kati tu, tunatoka kwenye mada, hatua focus kama huyu JnK.
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii sera ya kutetea chama badala ya wananchi ndo kitawangusha wabunge wengi wa ccm.Huyu nkamia ni mbunge wa kondoa vijijini nafikiri
   
 7. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  ni mwandishi wa Habari tena Alikuwa Mtangazaji Mzur sana wa Mpira TBC, hususani Mechi kubwa zinazochezwa Bongo kama Simba na Yanga.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Juma Nkamia alikuwa TBC wakati wa Tido Mhando na kama sikosei Mhando alikuja nao toka BBC. Ningetaka tu kujua nini maoni ya Nkamia kuhusu kuondoshwa (kwa ghafla) kwa Tido Mhando TBC? Nkamia alishiriki kwa namna yoyote kuneemesha majungu ya kumuondoa bosi wake?
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kondoa kama sikosei
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kale kajamaa kaliniboa siku moja nilikuwa nacheki mechi ya T stars na Timu moja ya nje.Kalikuwa kanatangaza, basi commentary zake hadi leo nashindwa elewa kafikaje bungeni achilia mbali kupita ktk mchujo wa majimbo
   
 11. M

  Maga JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Tatizo la Nkamia ni ushabiki uliopitiliza, hata wakati akiwa TBC alikuwa akitangaza mpira anajisahau na kuweka ushabiki wa timu yake mbele.
   
 12. mashami

  mashami Senior Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dr.slaa alisema 2015 hawatarudia kosa lazima kusimamisha wagombea ubunge kila jimbo huyu jamaa kule kondoa lazma akangolewe na m4c kabla ya T2015CDM haijamkuta!
   
 13. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nakumbuka alikuwa radio tz/tbc then akaenda bbc london baada ya hapo alikwenda voa,washington dc(kama nitakuwa sikosie),na huko hakukaa sana akarudi bongo kugombea ubunge
   
 14. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nilishtushwa sana na kauli ya Nkamia. I thought angekuwa mtu wa kwanza kuitetea tasnia yake lakini kwanza ndiyo anaididimiza na kuifananisha na umbea, uongo na upuuzi flani.

  Nilijiuliza swali moja; Hivi Nkamia ambaye alipewa heshima ya pekee kwenye Tuzo za Waandishi wa Habari hivi karibuni alifikiria mara mbili kabla hajatoa ile kauli? Ni aibu yake kweli.
   
 15. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukishaingia CCM hata kama una PHD akili zako zinashuka unakuwa kama darasa la tatu. Hivyo ndivyo wabunge wa ccm walivyo.
   
 16. w

  wakuziba Senior Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huu mtindo wa kuanzisha thread bila kutoa details tuuache ndugu zanguni. siyo kila mtu alikua anaangalia kipindi cha bunge. thread haielezi kwa kirefu nkamia kasema nini! tunashusha hadhi ya jamii forums!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  upo sahihi
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  warangi tunawajua ,kawaone ktk nyumba za wahindi na waarabu.Ni wambea wazuri sana.Bado ana hofu ya kurudi kijijini.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  japo sikuangalia bunge,nimemuelewa mwanzisha uzi,,,rejea uzi wake
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  he thought angeukwaa uwaziri,,,,,,,mr majungu wa rtd then tbc sijui bbc huko...............
   
Loading...