wabunge wa Mbeya na Kanisa la Kilutheri Mpo wapi kufuatia kutekwa kwa Dr Ulimboka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge wa Mbeya na Kanisa la Kilutheri Mpo wapi kufuatia kutekwa kwa Dr Ulimboka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Jul 6, 2012.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,882
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  moja ya majukumu ya wabunge ni kuangalia haki za wapiga kura wao yanatekelezwa na pale serikali inaposhindwa basi ni jukumu lao kuwa-organise wapiga kura wao ili kumsaidia mwenza, kama ilivyo kwenye kilio na sherehe pia. na vivyo hivyo kwa makanisa pamoja na misikiti yetu, kama moja wa waumini amepatwa na janga, basi ni jukumu letu kulaani na ikiwezekana kutoa michango ya hali na mali. na kwa wale walio polisi na sehemu zingine kuisaidia serikali ili itimize wajibu wake ili waovu hawa wapatikane.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo naona umechanganya mambo, badilisha hio post, inaelekea unakotaka kwenda si kwenyewe huko
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,507
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Lazima utakuwa mmoja wa kundi la alzenji,huku bara hatuwataki nyie
   
 4. d

  dandabo JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  si lazima wabunge wa mbeya na kanisa hilo watoe tamko mkuu! Huo ni ubaguzi tu. Mbunge yeyote wa mkoa wowote na dini/dhehebu yoyote wako huru kutoa matamko. Kanisa lisitoe tamko eti kwasababu Ulimboka ni mkristo na akiwa muislam wakae kimya. Ulimboka hakugoma kwa ajili ya wakristo tu au watu wa mbeya peke yao, nikwa ajili ya hali ya afya nchi nzima
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,882
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  ni vizuri ulivyo shauri basi tuwasikie wabunge wote na viongozi wa madhebu yote
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,507
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Al Zenji,hahahaaaaaaaaaaaaaa UAMSHO pacha wake nini??
   
 7. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 560
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Yap nilitegemea Chifu wa Masoko kule atoe tamko basi hata Mchungaji wake basi......
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145

  Wabunge wa Mbeya sawa; Kwanini Kanisa La Kilutheri? Haya UDINI wa nini Sasa?

  Kama kuna Vyombo Vya Usalama Vinawalinda Wananchi unataka Pia Kanisa liwe na

  Vyombo Vya Ulinzi? Wewe unataka ya SOMALIA? Uwe na Hekima Achie Polisi; DINI

  zetu zisiingilie Jamani UMECHOKA NA AMANI ETI?
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,550
  Likes Received: 9,277
  Trophy Points: 280
  ishu ikishafika polisi hakuna mtu anayetakiwa kuingilia kuchunguza kisheria.....
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,882
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  wasi wasi unakuja unapokutana na issue kama ya zomba na wale jamaa wa madini mahenge
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,882
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  kulitolea kauli si udini au kumchangia pesa kwa ajili ya matibabu nk, bali kuongezea uzito suala lenyewe ili mamlaka zinazohusika zifanye kazi yao ipasavyo hasa ukitilia manani mtuhumiwa mojawapo ni mamlaka
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,882
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
 13. L

  Lihove JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Aliyeandika heanding ni tofauti na aliye andika habari.hakuna conection kati ya heading na story. Labda jaribu tena kusoma heading labda utakumbuka ulitaka hasa kusema nini mkuu.si amini kama ulikuwa unataka kuleta mambo nyumbani ma udini hapa.
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,324
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Kwani na huko utasema kuna mbunge?
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona tayari kivuli cha wote unawataka kutoa tamko a. k.a CDM wameshafanya hivyo!!!!??
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lakini Ukachagua dhehebu moja kuliko kusema Makanisa yote? kama unamaana Makanisa?
   
 17. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 634
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  vp kwan dr uli anatokea mbeya naomba msaada?
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,676
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Juzi sugu kaongea bungeni hadi kuwaita watu majanjaweel kwani haufuatilii. kanisa wao wajibu wao nr kuomba na bila shaka wanafanya hivyo. au una yako mkuu.
   
 19. D

  Deofm JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Free mansons nao watoe kauli
   
Loading...