Mwelekeo wa Tanzania ni wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwelekeo wa Tanzania ni wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ISSA SHARAFI, Jul 7, 2012.

 1. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana Jf habari za saa hizi ambazo tunaishi katika pango ambalo linavukizwa na moto mkali wa mabuwa na vifuu vya nazi, Naomba mchango katika hili
  Najaribu kuvuta picha juu ya mwelekeo wa nchi hii hapo baadae ila majibu siyapati kwa kuwa naona siku baada ya siku wananchi tunazidi kuumia hususani wale tunaoishi nje ya International line (less than US $1) hali ya kuwa viongozi wanazidi kuongeza vitambi vyao kila siku. Pamoja na hilo tunajaribu kuona mgomo wa madaktari usipoangaliwa kwa jicho la tatu ili kuweza kuokoa maisha ya walala hoi. Hapo ndipo nashindwa kuelewa kwa mambo yanayowagusa viatu hayachukuliwi kwa uyakini na yao kuweka kipau mbele kama kuongezewa posho na n.k.?
   
Loading...