Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SERIKALI ya Kenya imesema inazifanyia kazi taarifa za raia wake kukamatwa na kufikishwa kortini nchini kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwa jeshi la polisi ambazo nyingine zimekuwa zinalitia matope sana jeshi la polisi lenyewe hasa kwenye ile context ya kulinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nashukuru Sana utawala wa JK unavyoendelea. Haya yanayotokea ni Changamoto ya Tawala zote Duniani.Huwezi kuishi ukapitwa na Changamoto za maisha. i)Kenya- Mauji ya wenyewe kwa wenyewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa kitengo cha polis mkoani singida. Ameruhusu mikutano ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) baada ya kutokea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 14 july.vurugu hizo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumbe bado WaTanzania walio wengi wanaipenda CUF , wananchi wanaimani ya kweli na CUF na wanaelewa majungu na njama za kukidhoofisha chama chao ambazo zimefanywa kwa awamu mbalimbali na wapinzani...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Tunapenda kuwataarifu wanachama wote wa Chadema kuwa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Washington DC Utafanyika Siku ya Jumapili ya tarehe 15 July 2012 kama ilivyoelezwa awali. Mahali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Tanzania Tourist Board is a government organization which was legally established by Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by act by Act No. 18 of 1992 Board of...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
This is a message to Mhando wa Tanesco. Naona haya mambo ya chemba naona hayafanyi kazi kwako sasa naona bora niende public na wa Tanzania na dunia ijue. Kama hujaingia JF basi nina hakika Badra...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
"Ifikie sehemu watawala waanze kuona kuwa hii siyo nchi ya wajinga waliyoitwaa kwa Waingereza 1961" Salaam Aleykum, Kwa wale ambao hii nchi hawana uzoefu nayo, na wale ambao siasa za Tanzania...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Huu mchezo wa polisi kuwa wanasiasa utatufikisha pabaya. Tupige kura kuwaonyesha kama kweli sehemu hii muhimu ya watanzania inaiamini taarifa ya kova au la.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nasema hivi kwa sababu uhalifu unaofanyika, unafanyika chini ya Serikali wanayoiongoza ambayo imeshindwa kuwachukulia hatua wahalifu hasa pale wanapokuwa wanachama wa ccm. Wananchi wa leo siyo wa...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Kuna mambo tukiwa kama jamii lazima tuyachunguze na kuyaelewa kwa sababu yanatuzunguka au yanasemwa, na ikumbukwe lisemwalo huwa lipo. Ebu tujiulize kuwa na viongozi hasa wa kisiasa waliojiunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hadi sasa hakuna ambacho kinaendelea, pamoja na matangazo ya mbwembwe nyingi, lakini hadi hivi sasa hakuna chochote ambacho kinaendelea. Pamoja na madai kuwa kutakuwa na mawaziri watano, lakini...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
a jinsi ccm wanavyoweweseka ni kweli wanaona wameishiwa kabisa siasa za makundi ndani ya chama chao zinakitafuna chama anaebisha ajitokeze watanzania hawawataki tena chadema kinawanyima usingizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siasa zetu zimefikia pabaya sana; na kwa kadiri ninavyoweza kuona bado hazijafikia kilele cha ubaya huo. Kilele kitakuwa ni kuuawa kinyama kwa mwanasiasa mashuhuri nchini. Kwa kadiri siku...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo mjini Sumbawanga kulikuwa na mkutano wa hadhara uliotishwa na ccm! Mkutano huu uliongozwa na Nape katibu itikadi na uenezi ccm Taifa, pamoja naye aliongozana na na Mwigulu Nchemba aliyekuwa...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
nimetafakari na kujiuliza sana juu ya mwenendo wa nchi yetu katika swala la ulinzi na usalama na hatimaye nikabaki na dukuduku moja,je kamati ya bunge ya mambo ya ulinzi na usalama chini ya mkuu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamii ma great thinker yangu ni machache. Leo nimewakuta watoto wangu na marafiki zao wakizungumza suala la kusoma PCB combination kubwa wanaochukua madaktari watarajiwa. Hofu imewashika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chanel Ten hawaku-balance taarifa yao kuhusu tukio la kijiji cha Ndago, Singida na hivyo wameonyesha upendeleo wa dhahiri kwa CCM. Ktk taarifa ya ya saa moja usiku huu, Ch Ten, ambayo inadaiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom