Ukimya wa kamati ya bunge ulinzi na usalama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimya wa kamati ya bunge ulinzi na usalama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jul 15, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nimetafakari na kujiuliza sana juu ya mwenendo wa nchi yetu katika swala la ulinzi na usalama na hatimaye nikabaki na dukuduku moja,je kamati ya bunge ya mambo ya ulinzi na usalama chini ya mkuu mstaafu ndugu edward lowassa imepatwa na mkasa gani?
  Kwa miezi kadhaa tumeshuhudia mgomo wa madaktari ambao kwa njia moja au nyingine umehatarisha usalama wa taifa letu.kutekwa,kuteswa na kuumizwa kwa kiongozi wa mgomo wa madaktari Dr Ulimboka stephen sio jambo dogo bali ni jambo linaloweza kuhatarisha usalama wa nchi.leo hii tunaambiwa mtekaji ni raia wa kenya,hili ni swala la kidiplomasia linalo hatarisha uhisiano wetu na nchi jirani.kama wananchi tukiamua kuamini kuwa wakenya walitumia fursa ya mgomo wa madaktari kuvunja amani tuliyonayo.
  Tumesikia kuwa viongozi wa chadema wamelalamika kuwa kuna mpango mahususi wa kuwaondolea uhai kupitia TISS ,jambo hili si la kupuuzwa kwani akitokea kichaa mwingine akampeleka mnyika mabwepande wananchi tutajua ni serikali imefanya jambo hilo.
  Matukio haya mawili niliyoyataja ni sehemu tu ya matukio kadhaa yanayozungumzwa na wananchi kuwa yanahusishwa na serikali.
  Swali ninalojiuliza ambalo nataka wanajf wenzangu ningependa wajiulize ni kwamba,..je kamati inayohusika na ulinzi na usalama imefungwa mdomo?
  Nimesikia kamati hii inafanya ziara katika balozi zetu nchi mbalimbali,je kuna threat yoyote inayoifanya kamati hii kutembelea balozi zetu badala ya kushughulikia matukio ya ajabu hapa nchini?

  Nakaribisha mjadala wa kina bila kutukana viongozi wa kamati hii.lengo ni kuwaweka sawa!

  Nawasilisha...
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,309
  Trophy Points: 280
  Kamati iko bize sana na ni nini cha muhimu zaidi!, hizo ziara za kutembelea balozi mbalimbali ni very important kutokana na per diem za $$!. Hata kikao cha bunge la bajeti sio muhimu!. Kwa vile zira hizo zingeweza kupangwa kipindi chochote ambacho hakuna kikao cha bunge, lakini zimepangwa kipindi hiki kwa sababu!.
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nimesikia hata mwenyeji wao ,mh membe hatambui hizo ziara!
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Huna habari kamati inafanyia kazi zake ULAYA???
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kuna tishio lolote kutoka ulaya au merekani?
   
 6. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mkuu Pasco kwenye perdiem hapo umenigusa nadhani hamna cha maana zaidi ya kukusanya mapene. Ungefanya kuwashauri mapema kwamba hakukua na umuhimu wa kufanya hilo wakati wa vikao vya Bunge wangepiga posho za vikao halafu wakamaliza na $$$ perdiem. Kwa sasa kamati inatakiwa ikae chini na kufanya analysis ya matukio ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuleta uvunjifu wa Amani. Kumbukeni CCM imeanzia na TAA ikiwa kama Asociation baadae ikawa TANU na sasa ni CCM. Nchi nyingi hizi asscociation zimefanikiwa kuleta mapinduzi sana pamoja na kuvua ukoloni. My Take: Watanganyika tukae mkao wa kula,sahizi ni madaktari na walimu nao uvumilivu utawashinda.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  usalama wa taifa hawawezi kujibu tuhuma hizi!mbadala wake ni kamati hii kuzungumza.kamati itupe majibu
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,309
  Trophy Points: 280
  Membe hahitaji kufahamu kuhusu hizi ziara, ni za kiusalama zaidi, afterall, Membe yeye ni mkaguliwa tuu, hivyo wamefanya surprise visits balozini bila kumjulisha Membe ili asirekebishe mambo!.
   
 9. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kamati ipo uhamishoni, imepigwa exile, kwa hio it's out of touch with what's going on the ground! Mkuu kaamua kuwafuata huko exile kuteta nao, haijawahi tokea katika historia ya nchi hii.
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  wajumbe wooote wa kamati wako nje ya nchi wanafanya upembuzi yakinifu wa usalama wa balozi zetu za nchi za nje zisijekuvamiwa na chadema. maana M4C sasa ni hadi ughaibuni. hicho ndo cha muhimu kwao.
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kama ziara ni za kutafuta makosa tu nakubaliana na wewe lakini kama ni ziara elekezi lazima membe awepo!
   
Loading...