Chanel Ten waonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM kuhusu tuiko la kijiji cha Ndago, Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanel Ten waonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM kuhusu tuiko la kijiji cha Ndago, Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 15, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chanel Ten hawaku-balance taarifa yao kuhusu tukio la kijiji cha Ndago, Singida na hivyo wameonyesha upendeleo wa dhahiri kwa CCM.

  Ktk taarifa ya ya saa moja usiku huu, Ch Ten, ambayo inadaiwa mmoja wa wamilki wake ni RA, wametoa taarifa ya Shigela tu wa UVCCM na kuiacha kimakusudi ile ya CDM aliyoitoa Mwita Waitara iliyoelezea pia tukio hilo.

  Pili, Shigela anawalaumu CDM kwa kifo cha mfuasi wao, ameshindwa kuuelezea umma ilikuwaje hao wafuasi wa CCM walikwenda kwenye mkutano wa CDM?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Wameonyesha upendeleo wa hali ya juu. Mwanzoni nilidhani labda itatoa ufafanuzi.
  Labda taarifa ya mwita waitara haijawafikia bado.
  Tumaini Makene vipi mkuu chanel ten hawakuwa na mwakilishi singida?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Magwanda Mmeua
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thread zingine? Wewe mtu huna hata idea ya uandishi wa habari lakini kubwabwaja wa mbele
   
Loading...