Culmination of Political Animosity: Mauaji ya wanasiasa/mwanasiasa mashuhuri... twaweza kuepuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Culmination of Political Animosity: Mauaji ya wanasiasa/mwanasiasa mashuhuri... twaweza kuepuka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 15, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Siasa zetu zimefikia pabaya sana; na kwa kadiri ninavyoweza kuona bado hazijafikia kilele cha ubaya huo. Kilele kitakuwa ni kuuawa kinyama kwa mwanasiasa mashuhuri nchini. Kwa kadiri siku zinavyojongea naona kuwa ni miezi kama siyo wiki tu kabla hatujasikia mauaji ya kutisha ya mwanasiasa/wanasiasa! Sioni namna yoyote ya kukwepa hilo.

  Ukiona mawingu meusi yametanda kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kunyesha mvua kuliko kama hakuna mawingu; lakini ukiona mawingu yametanda na matonye ya mvua yameanda kunya basi ujio wa mvua uko dhahiri... swala la itadumu kwa kiasi gani au kubwa kiasi gani ni jingine kabisa.

  Ni kama mauaji ya Martin Luther King Jr; kabla ya mauaji yake kulitanguliwa na mauaji ya vijana na wanaharakati mbalimbali maeneo ya kusini mwa Marekani. Na mauaji ya MLK Jr hayakuhitimisha mgongano huo kwani Robert Kennedy naye aliuawa kama miezi miwili baadaye. Mauaji haya yanapoanza huenda na visasi; tuliona hili pia RSA wakati wa harakati na wakati fulani tumeona pia Uganda na Kenya.

  Ukiangalia sana ni kuwa mizani ya visasi imeanza kujaa katika nchi yetu. Hatujui tu itaelemea upande gani!

  Lets Pray for this country we love... July 21, 2012...
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mnataka kumuua mwanasiasa ili ionekane ni serikali siyo?

  Slaa jilinde na kina Lema watakumaliza ili wapate upenyo wa kusema..be careful
   
 3. D

  Dotori JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Una-refer mauaji ya Singida jana au tishio la mauaji wa viongozi wa CHADEMA?
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Kama haya yatatokea ..Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema aepushie mbali ... Ni Hakika Serekali iliyo Madarakani itabidi Itafute sayari nyingine na Ihamie huko!!
   
 5. K

  Kalila JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tujulishe mkuu nani atauwawa mungu atuepushe na haya mabalaaaa
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kweli kwa dalili hizi hilo nalo neno!
   
 7. v

  vngenge JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Is 21 July a D day?
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,577
  Trophy Points: 280
  Japo ni kweli, dalili ya mvua ni mawingu, na wingu limetanda, lets hope its not " a phrophet of the doom" unless its T.B Joshua in you!.

  I waiting for that July 21, 2012!.
   
 9. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwanakijiji funguka basi juu ya hiyo tarehe 21/07/2012.
   
 10. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Mzee umeanza ramli hata wewe. Kwa kuwa ilikuwa 21 July basi na huku hivyo hivyo!

  Message taken though! It is indeed sad and extremely concerning! I hope those with powers will this time around pick up the threads and act swiftly. What happened in Singida (if the killings are confirmed) is inflammable. It must be stopped while we can!
   
 11. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  ..
  Kwa upuuzi wenu huu, mnazidi kupunguza idado ya wanao wapenda!  Mnaji piga propaganda wenyewe!!


  Wpiga kura!!hakuna anae waamin!
  ....
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii Tarehe nimeiweka alama kwenye diary yangu ...
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Kwa trend hii...
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh miye sijui ni tarehehe ya kuombea taifa au ni tarehe ya nini.. sijui! lakini ni siku ya kuomba kwa upande wangu..
   
 15. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hiyo si ndiyo siku ya harusi ya mheshimiwa fulani?!
   
 16. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Acha kufikiri kama bongolala!!
   
 17. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nikubaliane na Mzee Mwanakijiji kwamba siyo wingu limetanda tu,bali manyunyu yameishaanza kudondoka chini! Nilifuatilia kwa karibu anguko la KANU,naiona CCM ikipita njia hiyo hiyo. Kadri siku za utawala huu zinavyozidi kufika ukingoni,kuna watu ambao wamenufaika na mfumo huu hawatataka kukubaliana na matakwa ya kihistoria! Watatumia ushenzi wa kila aina kulinda utukufu wao!
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Ukitumia JF as a template, CDM wana-prefer ugomvi na matusi dhidi ya hoja.
   
 19. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mmh! Yale yale ya Wangwe- (instead atakuwa huyo kiongozi maarufu); alafu propaganda inafanyika ya nguvu kuonyesha ni viongozi wa CDM wamemuuwa kwa kigezo cha uraisi. Baada ya hapo focus ina-shift kwenye mambo mengine swala la Ulimboka na mengine yanasahaulika. (This is just a thought) Ngoja tuone.
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mungu tusaidie 21 july ipite salama
   
Loading...