Shigella. Atangaza vita na CHADEMA.

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?
 
nimeshangaa anavyo wahimiza makamanda wake wa green guard eti wakae tayari kupambana na chadema hadi kieleweke. eti kisa chadema wameua katibu wa ccm iramba so ccm eti wajiandae kujibu mapigo.
 
It is frustrating indeed why matamshi ya aimabel hii?Kwani mazingira ya kifo cha huyu mtu yakoje mbona kila tamko ni Chadema?Si wanasema ni Chama cha msimu ? Kichaga?Kikanda? Sasa kwa nini wafikie huko na wakati hakikukabaliki?
 
Huyo jamaa hana akili na wala sishangai huyo kuzungumza hayo maneno, muda si mrefu hata hapa JF utaona wengine watakuja na hoja zao nyepesi nyepesi kuhusiana na suala la kifo cha huyo juha mwenzao. Kifo kimetokea some kilometers away kutoka palipofanyika mkutano halafu unasema CDM wamehusika, Huyo wamemuuwa CCM wenyewe, sasa hivi watabisha ila baadae itajulikana tu kama walivyofanya kule Arumeru. Wamulize Mwigulu atakuwa anajua tu chanzo cha kifo cha huyo jamaa, inawezekana aliwanunulia viroba vingi kwaajili ya maandalizi ya fujo kwenye mkutano wa CDM, viroba vimemzidia kafa. CCM walitaka kumuuwa Dr. Ulimboka wakashindwa, wameamua kuwauwa wanachama wao sasa lol!! kazi ipo...............subiri tuendelee kutazama hii picha mpya tuone itaishia wapi
 
​who is shigella ni kutoka nchi gani anayetangaza vita na chadema?mbona tuna polisi na sasa chadema wakitangaza vita na ccm mtapona jamani acheni utani wa siasa

uyu si ndiye yule dogo wa TMK aliyeimba ule wimbo NAENDA KUSEMA KWA MAMA,umemsahau?
:violin:
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
Huyu Shigella alikuwa holiday Cambodia? Well, tell him that while he was away, Dr Ulimboka alitekwa, akateswa sana na sasa yuko nje ya nchi anapata matatibu. Hivyo basi madaktari wangependa kwanza kusikia kauli yake yeye Shigella kuhusu hilo na pili kupitia hao Green Guard wake ingefaa kama angetoa ulinzi kwa madaktari maana maisha yao yako mashakani. Police hawaaminiki, labda Green Guard wanaweza kusaidia.
 
Kuona slogan ya M4C imewatisha sana sana sasa wana weweseka na ni kweli JK anajuta kwa kuwaita Chadema Chama cha msimu
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na mauaji ya jana ya mwanachama wao iliyotokea huko singida ktk mkutano wa hadra wa cdm. Amesema huyo aliyeuwawa ni kiongozi wao wa chama ,
je kama ni kiongozi alifata nini kwenye mkutano wa chadema?

....

Anawayawaya tu!!

Ndicho walichokuwa wanakitaka....!!

Hawana vijana!! wa mapambano!! poa tu!!

Hakuna amani inapatikana kwa ncha ya panga!

..
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
Mbona anatufanya sisi matoi kwani vita na cdm mbona walianza muda mrefu watuulia viongozi wetu!

Kiongozi wao alikwenda kwenye mkutano wa cdm kufanya nini?
 
MOD kuna thread 9 au 10 hii mojawapo zimeanzishwa,
Vichwa vya habari tofauti ndani maelezo ni yale yale,
Ziunganishwe.
 
Back
Top Bottom