Cherehani awaomba wanachadema wajitokeze Uchaguzi wa Chadema DMV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cherehani awaomba wanachadema wajitokeze Uchaguzi wa Chadema DMV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dmvuno, Jul 15, 2012.

 1. d

  dmvuno Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunapenda kuwataarifu wanachama wote wa Chadema kuwa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Washington DC Utafanyika Siku ya Jumapili ya tarehe 15 July 2012 kama ilivyoelezwa awali.
  Mahali utakapofanyika Uchaguzi ni kwenye Address ifuatayo
  3121 Queens Chapel Rd, Apt 302 Mount Rainier, MD
  Kuanzia saa saba mchana ( 1:00 pm).
  Wanachama wote wenye kadi ndio watakaoruhusiwa.


  Asanteni
  Mchungaji cherehani.JPG Amos Cherehani
   
 2. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  uchaguzi mwema kamanda
   
 3. S

  Saranda Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchungaji leo kanisani vipi, tujuzeni matokeo vipi, napita tu
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  "mpeni Mungu yaliyo ya Mungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari"
   
Loading...