Adamu Malima aonja zomea zomea Sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adamu Malima aonja zomea zomea Sumbawanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ptz, Jul 14, 2012.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Leo mjini Sumbawanga kulikuwa na mkutano wa hadhara uliotishwa na ccm! Mkutano huu uliongozwa na Nape katibu itikadi na uenezi ccm Taifa, pamoja naye aliongozana na na Mwigulu Nchemba aliyekuwa kinara wa mipasho na matusi kwa viongozi wa Chadema akiwaita wanafiki wakubwa huku akitolea mfano wa Mbowe kukataa gari then baadaye anachukua kimya kimya.

  Alikuwepo pia Naibu waziri mawasiliano Charles Tizeba aliyetoa ahadi za ujenzi viwanja vya ndege Sumbawanga na kuwakejeli viongozi wa CHADEM kuwa wana njaa kali kwani ndo wanaokuwa wa wakanza kuchukua posho bungeni, alihutubia pia Prof Jumanne Maghembe waziri wa maji, akafuatia naibu waziri wa Mifugo Benedict Ole Nangolo, wengine waliokuwepo ni Aggry mwanry naibu waziri TAMISEM, Adamu Malima naibu waziri kilimo, na Ezekiel Lwenje naibu waziri ujenzi.

  Kali iliyonishangaza kwa wanasumbawanga ni pale walipomzomea Adam malima alipoanza kuwashambulia wale waliomgomea kuitikia wimbo wa alambe kwa kuwanyoshea kidole wote waliomkatalia na kuwaita wachawi ndipo walipoanza kumzomea hatimaye alipanic na kuanza kuelezea megawati za umeme wa Sumbawanga kwa kusema kuwa yeye ndo aliyetatua tatizo la umeme wa Sumbawanga.

  Ukiachana na Mh Mwanry aliyewavuta wengi kwa kutoa maagizo kwa kero zilizoibuliwa na Nape huku wakisimamishwa RAS, DC na mkurugenzi Manispaa ya Sumbawanga, wahutubiaji wengine waliotajwa walijaa kutoa ahadi kana kwamba hawako madarakani, maneno kama upembuzi yakinifu, mchakato, wakandarasi na megawati yalitawala.

  Mkutano huo ulikwenda hadi saa moja na nusu jioni hii. Ukiachilia mbali ushabiki, nilifurahishwa sana na hotuba aliyoitoa mh Aggrey Mwanry kwani, sauti yake ilipanda na kushuka ghafla huku akichomoa macho kama Kingwendu, ukweli aligusa sana hisia za watu wengi waliokuwepo ingawa wahudhuriaji walikuwa wachache kuliko ilivyotegemewa pamoja na kusomba watu kutoka nje ya mji. Mwisho kabisa wahudhuriaji waliruhusiwa kuulizwa maswali yaliyojibiwa papo kwa papo na mawaziri husika.

  Uchache wa wahudhuriaji katika mkutano wa leo ni dalili tosha kuwa Sumbawanga si ya CCM tena hili liko wazi na kama vipi Nape akanushe kwani alikuwepo huku akiwa busy na kamera lake akiigeuza geuza kamera akihangaika kupiga picha ili angalau ionekane kuna uwingi watu.

  Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Rukwa ndiyo ulikuwa mtaji mkubwa wa CCM kwa kutumia umasikini na ujinga "kutosoma" kwa wanarukwa wengi hususani wilaya ya Sumbawanga.

  Hii ya leo ni tisa ya , kumi ni pale filimbi itakapopigwa ya mchakato wa uchaguzi mdogo wa mbunge wa Sumbawanga mjini sipati picha ccm itaambulia nini. Kimchina changu hakikuwa na chaji nilitamani kuwaleta live!
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  kweli M4C imewachanganya mpaka wamejichanganya wenyewe, huyo mchemba mwambie jimboni kwake wameingia wanaume hivyo asijisahau sana ataumbuka 2015!
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​viva chadema
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna picha kwenye gaziti la leo inamuonyesha akiwa na simu 4 za ukweli nikajiuliza hivi ili simu yake ya mil 5.5 alirudishiwa na yule changudoa pale moro, je zile smg bado anazimiliki?
   
 5. P

  Ptz JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Leo mjini Sumbawanga kulikuwa na mkutano wa hadhara uliotishwa na ccm! Mkutano huu uliongozwa na Nape katibu itikadi na uenezi ccm Taifa, pamoja naye aliongozana na na Mwigulu Nchemba aliyekuwa kinara wa mipasho na matusi kwa viongozi wa Chadema akiwaita wanafiki wakubwa huku akitolea mfano wa Mbowe kukataa gari then baadaye anachukua kimya kimya. Alikuwepo pia Naibu waziri mawasiliano Charles Tizeba aliyetoa ahadi za ujenzi viwanja vya ndege Sumbawanga na kuwakejeli viongozi wa CDM kuwa wana njaa kali kwani ndo wanaokuwa wa wakanza kuchukua posho bungeni, alihutubia pia Prof Jumanne Maghembe waziri wa maji, akafuatia naibu waziri wa Mifugo Benedict Ole Nangolo, wengine waliokuwepo ni Aggry mwanry naibu waziri TAMISEM, Adamu Malima naibu waziri kilimo , na Ezekiel Lwenje naibu waziri ujenzi.

  Kali iliyonishangaza kwa wanasumbawanga ni pale walipomzomea Adam malima alipoanza kuwashambulia wale waliomgomea kuitikia wimbo wa alambe kwa kuwanyoshea kidole wote waliomkatalia na kuwaita wachawi ndipo walipoanza kumzomea hatimaye alipanic na kuanza kuelezea megawati za umeme wa Sumbawanga kwa kusema kuwa yeye ndo aliyetatua tatizo la umeme wa Sumbawanga. Ukiachana na Mh Mwanry aliyewavuta wengi kwa kutoa maagizo kwa kero zilizoibuliwa na Nape huku wakisimamishwa RAS, DC na mkurugenzi Manispaa ya Sumbawanga, wahutubiaji wengine waliotajwa walijaa kutoa ahadi kana kwamba hawako madarakani, maneno kama upembuzi yakinifu, mchakato, wakandarasi na megawati yalitawala.

  Mkutano huo ulikwenda hadi saa moja na nusu jioni hii. Ukiachilia mbali ushabiki, nilifurahishwa sana na hotuba aliyoitoa mh Aggrey Mwanry kwani, sauti yake ilipanda na kushuka ghafla huku akichomoa macho kama Kingwendu, ukweli aligusa sana hisia za watu wengi waliokuwepo ingawa wahudhuriaji walikuwa wachache kuliko ilivyotegemewa pamoja na kusomba watu kutoka nje ya mji. Mwisho kabisa wahudhuriaji waliruhusiwa kuulizwa maswali yaliyojibiwa papo kwa papo na mawaziri husika.
  Uchache wa wahudhuriaji katika mkutano wa leo ni dalili tosha kuwa Sumbawanga si ya ccm tena hili liko wazi na kama vipi Nape akanushe kwani alikuwepo huku akiwa busy na kamera lake akiigeuza geuza kamera akihangaika kupiga picha ili angalau ionekane kuna uwingi watu. Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Rukwa ndiyo ulikuwa mtaji mkubwa wa ccm kwa kutumia umasikini na ujinga “kutosoma” kwa wanarukwa wengi hususani wilaya ya Sumbawanga. Hii ya leo ni tisa ya , kumi ni pale filimbi itakapopigwa ya mchakato wa uchaguzi mdogo wa mbunge wa Sumbawanga mjini sipati picha ccm itaambulia nini. Kimchina changu hakikuwa na chaji nilitamani kuwaleta live!
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yaani viongozi wote hao wanaenda Sumbawanga, nyumbani kwa Waziri mkuu ambaye alipita bila kupingwa? What does that say about the state of CCM?
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asanteeee,,,,,,,,usiku mwema
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  It means unknown fear for death.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mambo mazuri hayaitaji haraka, kwani mabadiliko ndo yanakuja bila wasiwasi na mwisho wa ulevi wa madaraka ndo huu!
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Ufujaji mbele kwa mbele/almost robo ya baraza la mawaziri! Kazi ya waziri ni utendaji na siyo kuendesha mihadhara ya mipasho. Kwa ushenzi huu hatufiki kokote/katiba mpya iweke mipaka!
   
 11. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa sumbawanga asubuhi na kushuhudia madereva wa pikipiki (boda boda) wakiwekewa mafuta pale oilcom. Kwa bahati nzuri sikuwepo kuona huo mkutano.
   
 12. a

  andrews JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa nimekubali kuwa chadema kinawafundisha kazi ccmkila kukicha ccm wanaiga mbinu za chadema hili la sumbawanga ni mfano mwingine,m4c walianzia jangwani ccm ikafuata sasa operesheni hakuna kulala imewapeleka ccm sumbawanga lakini bahati mbaya ccm hampendeki tena nape jaribu tu lakini chadema inazidi kupaa hata mkizunguka na kikwete,pinda mkuu wa majeshi hamna mvuto tena zile siku 90 za mafisadi bado zitawatesa mpaka 2015 vinginevyo kalaga bao tu pole nape:israel:
   
 13. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi nchi imeiva, ni swala la muda tu!

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
  tumbiri@jamiiforums.xom
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  id yako inanifanya niwe nafurah,,,,ila kila koment yako huwa inanipa hamasa,u always insist changes,,,,,maliza shule uje tupambane tumbiri wa uk
   
 15. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bajabiri,
  Pamoja sana Kamanda. Mungu akipenda shule itaisha 2014. Lazima 2015 niwe Campagn Manager wa Mgombea Mmojawapo wa Ubunge wa CDM.

  Regard,
  TUMBIRI - University of HULL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. F

  FAMILY LAW Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbavu zangu mie, eti agrey macho yamemtoka kama kingwendu..mara megawati,. hao wameona uchaguzi umekaribia wanajinoa, imekula kwao.
   
 17. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,382
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Habari nzuri sana hii....viva cdm
  utumwa unakaribia kuisha.
   
 18. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa nashukuru kwa taarifa nzuri za leo kwani kuna hii na ile ya uwanja wa taifa
   
 19. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Chadema chuma chikoli moto,mwambieni huyo mzinzi wa iramba kwake kinanuka na ole wake hao vijana wa watu anaowarubuni wakafanye fujo damu zao atajazilipa!!!
   
 20. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  wakome, tumewachoka!
   
Loading...