Kwanini waislam wanataka kipengele cha dini? Angalia udini bodi ya utalii

Status
Not open for further replies.

mlanguzi

Senior Member
Jul 15, 2012
181
10
Tanzania Tourist Board is a government organization which was legally established by Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by act by Act No. 18 of 1992

Board of Directors

Board of Directors:
Tanzania Tourist Board has the Board of Directors which is appointed after every three years. The Chairman of the Board is appointed by the President of the United Republic of Tanzania, and the Minister for Natural Resources and Tourism appoints directors.
Currently Board members are:

Ambassador Charles Sanga the new chairman of the Board of Directors of Tanzania Tourist Board. Other members are who together will serve for three years are Prof. Isaya Jairo of the Institute of Finance Management (IFM), Ms Teddy Mapunda, The Serengeti Breweries Public Relations Director, Hon Abdulkarim Shah, Member of Parliament for Mafia, Hon Kaika Telele, Member of Parliament for Ngorongoro and a tourism sector stakeholder, Mr. Samuel Diah

Religion

Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam. The rest of the population adhere to traditional beliefs, most of which centre around ancestor worship and nature-based animism. Most Christians live on the mainland, where missionary stations and schools reach deep into the continent. Islam is the major religion of the coastal areas but is also practiced further inland along the old caravan routes.

Religion plays a large part in the daily life of Tanzanians. In Christian areas, families attend church together dressed in their Sunday best. Church services always involve singing and the hymns often sung in complex harmonies spill out to the streets outside. Easter and Christmas are major events in Tanzania, with services and celebrations often extending far into the day and night. The lunar month of Ramadan is an important time for Muslims around the country, who fast from food and drink from sunrise to sunset. After Ramadan comes the Eid, a time of feasting and festivity for the whole community. Tanzania's Asian religious minority includes Hindus, Sikhs, and Ismailis.

Religion » Tanzania Tourist Board

my take. huu mtandao unaonekana kote duniani. kumbe hata serekali inajua kwamba wakiristo na waislam kwa takwimu zao? Sasa tunapokataa kuhesabu kwa dini tunapinga nini?
 
Tanzania Tourist Board is a government organization which was legally established by Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by act by Act No. 18 of 1992

Religion

Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam. The rest of the population adhere to traditional beliefs, most of which centre around ancestor worship and nature-based animism. Most Christians live on the mainland, where missionary stations and schools reach deep into the continent. Islam is the major religion of the coastal areas but is also practiced further inland along the old caravan routes.

Religion plays a large part in the daily life of Tanzanians. In Christian areas, families attend church together dressed in their Sunday best. Church services always involve singing and the hymns often sung in complex harmonies spill out to the streets outside. Easter and Christmas are major events in Tanzania, with services and celebrations often extending far into the day and night. The lunar month of Ramadan is an important time for Muslims around the country, who fast from food and drink from sunrise to sunset. After Ramadan comes the Eid, a time of feasting and festivity for the whole community. Tanzania’s Asian religious minority includes Hindus, Sikhs, and Ismailis.

Religion » Tanzania Tourist Board

my take. kumbe hata serekali inajua kwamba wakiristo na waislam kwa takwimu zao? Sasa tunapokataa kuhesabu kwa dini tunapinga nini?

Ndugu katika Bwana Watanzania ndio wana DINI ila TANZANIA haina DINI na tusijaribu kuanzisha Mambo za Dini zetu katika nchi hii Kwa wale WAKRISTU waje Makanisani tutahrsabiana huko huko MAKANISANI kwetu ninyi Waislam nanyi kahesabianeni MISIKITINI kwenu ila raia wa TANZANIA twende tukahesabiwe na SERIKALI YETU
 
ok. lkn mbona kipengele hiki kinatumika vibaya?
 
Ndugu katika Bwana Watanzania ndio wana DINI ila TANZANIA haina DINI na tusijaribu kuanzisha Mambo za Dini zetu katika nchi hii Kwa wale WAKRISTU waje Makanisani tutahrsabiana huko huko MAKANISANI kwetu ninyi Waislam nanyi kahesabianeni MISIKITINI kwenu ila raia wa TANZANIA twende tukahesabiwe na SERIKALI YETU
Vitu vingine bana, sasa unaposema Watanzania ndio wenye dini nchi haina dini kwani wanaotakiwa kuhesabiwa ni nchi au Watanzania?
 
Halafu hesabu zetu na zenu tuzijumlishe kisha tuwape Bodi ya Utalii !?? Umemuelewa mleta mada kweli?!
 
Vitu vingine bana, sasa unaposema Watanzania ndio wenye dini nchi haina dini kwani wanaotakiwa kuhesabiwa ni nchi au Watanzania?
Nyie mmelaaniwa na dini yenu hiyo, mbona kokote mliko duniani ni choko choko tu ndo maana kwa sasa mnakazi kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa nyinyi siyo watu wa shari!
 
kumbe waislam wanahoja nzito. Bodi ya Utalii chombo cha serekali kinazo takwimu, sijui wamezipata wapi?
 
Nyie mmelaaniwa na dini yenu hiyo, mbona kokote mliko duniani ni choko choko tu ndo maana kwa sasa mnakazi kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa nyinyi siyo watu wa shari!

Sio kazi kaka/dada. Lete hoja za kutosha. USILETE USANII
 
Vitu vingine bana, sasa unaposema Watanzania ndio wenye dini nchi haina dini kwani wanaotakiwa kuhesabiwa ni nchi au Watanzania?

Ndugu katika Bwana unajua athari ya machafuko ya Kidini? Tuache huo uchochezi kabisa mwenye ambaye anajua nani anaingia kwenye ufalme wa milele ni yeye BWANA ALIYEHAI
 
Mkuu hapa sio uchochezi. tatizo tunakataa kuwa wakweli japo tumekosea.
 
Nyie mmelaaniwa na dini yenu hiyo, mbona kokote mliko duniani ni choko choko tu ndo maana kwa sasa mnakazi kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa nyinyi siyo watu wa shari!
Watu wenye "shari" ni wale waliyo muwamba Mungu Msalabani ! Kuna shari kubwa kushinda ya kumpiga na kumuua Mungu ???!?
 
Kumbe ni 35% ;sasa mnalala mika nini? Kumbe takwimu mnazijua sasa serikali iwa saidie nini tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom