Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lisu na Happiness Mtweve, Dodoma WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamedhihirisha wazi kuwa kero kwa uongozi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
aliyekuwa mgombea wa jimbo la tandahimba ambaye alidhulumiwa ushindi wake katani ahmedi katani kijana machachari leo amekabidhiwa majukumu ya kuiongoza jumuiya. uteuzi huo umefanyika baada ya...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
TUCTA nao wamo Katika hatua nyingine, Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi (Tucta) limelipongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata mtu anayedaiwa kumteka na kumpiga kiongozi wa mgomo wa madaktari...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Sina tabia ya kufungua nyuzi jukwaa la siasa (JLS), anga zangu ni mmu na chi chat. Lakini katika hili la hospitali ya muhimbili kwa kuwa naijua vyema naomba niseme haya yafuatayo: 1.MRI (...
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Leo nimeangalia taarifa ya habari ya chanel 10 na ya ITV lakini vituo hivyo vyote viwili vimetoa habari ya upande mmoja kwa kumuonyesha katibu wa UVCCM akilaani mauaji yaliyotokea bila kuonyesha...
15 Reactions
43 Replies
5K Views
Wanajami chama CCM kinaelekea kubaya: Kilianza kama ifuatavyo: CCM=Chama cha Mapinduzi CCM=Chukua chako Mapema CCM= Chama cha Magamba CCM=Chama cha Mabwepande 2015 CCM itakuwa ni chama gani
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Haya wakuu nimeinyaka hii kitu sehemu jinsi alivyofunguka ... ichekini wenyewe muda si mrefu utasikia na yeye kaokotwa mabwepande au kanisa lake limefutiwa usajili au ni freemason au ni drug...
2 Reactions
85 Replies
11K Views
Kumekuwa na Vikundi vyenye mtazamo wa Kijeshi ndani ya vyama vya siasa hapa nchini.Mfano mzuri ni Green Guard,Janja Weed, nk. Mimi sina matatizo na Umoja wa vijana, isipokuwa vikundi hivi ambavyo...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
1)Arusha Uchaguzi hakuna. maisha yanaendelea. Kesi ya Lema imekufa kabisa wala uongozi wa juu haujali tena kama hicho kitu kilitokea 2)Wabunge waliojeruhiwa na CCM. makao makuu wao ilkuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ni muda mrefu nimejaribu kufuatilia sakata la mgomo wa madaktari na serikali yetu.. Kiukweli sijafurahishwa na jinsi serikali inavyolishughulikia suala hili, Ni kama vile viongozi wetu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je...
10 Reactions
276 Replies
38K Views
Madai uliyotoa ni mazito sana. Ila ukweli hili si jambo jipya kwani watu wengi wanalalamikia kitendo cha JK akipelekewa majina ya watu wanaofaa kuwa majaji anaongeza majina yake. Mimi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninayaandika haya kutokana na tukio la karibuni la mwenyekiti wa UVCCM kupoteza maisha kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye mkutano uliokuwa ukiendeshwa na CHADEMA. Hadi sasa kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
KILIMO Kila mkoa utenge eneo la uzalishaji wa chakula, inunue matrekta, iwakusanye vijana wawe chini ya wanajeshi ambao watasimamia shughuli za kilimo baadala ya kuwapa wawekezaji katika shughuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chadema itajijenga vizuri na kushinda kwa urahisi Urais wa mwaka 2015. Mimi napendekeza, Chadema itangaze mwaka kesho wanaotaka urais wajaze fomu. Baada ya hapo hatua ya pili iwe ni wananchi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kweli haiingii akilini hata kidogo kuhusu hili suala. Nina amini hata kamanda kova mwenyewe nafsi yake inamsuta kuhusu alivyolielezea na hata kueleza kuhusu kukamatwa kwa ''mukenya''. Nadhani...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
WanaJF nimepata habari muda si murefu kutoka chanzo changu cha kuaminika kuwa UN Dar es salaama wamareject MAT's request Chanzo kinasema UN hawawezi kuingilia mamlaka ya nchi kama nchi yenyewe...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Mwenyekiti mpya wa Chadema Washington Cosmas Wambura akipeana mikono ya pongezi na Katibu mpya Ndugu Isidori Lyamuya. Kutoka kushoto Katibu mpya Isidory Lyamuya, Mwenyekiti mpya Cosmas...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mon, Jul 16th, 2012 Tanzania | The CCM Secretary General, Mr Wilson Mukama, on Sunday met and held talks with Africa's richest person and President of Dangote Group, Mr Aliko Dangote, in which...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
JUMAPILI, JULAI 15, 2012 07:54 NA ELIYA MBONEA, ARUSHA WAKATI Kampuni ya Tanzanite One ya Afrika Kusini ikituhumiwa kukwepa kulipa kodi kiasi cha Dola milioni mbili za Marekani, Mwenyekiti wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom