CUF Ni Mkombozi wa WaTanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Ni Mkombozi wa WaTanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 15, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kumbe bado WaTanzania walio wengi wanaipenda CUF , wananchi wanaimani ya kweli na CUF na wanaelewa majungu na njama za kukidhoofisha chama chao ambazo zimefanywa kwa awamu mbalimbali na wapinzani wao na hata wale wasio kitakia mema Chama hiki cha CUF.

  CUf tofauti na vyama vingine kimekubalika kila pembe ya Tanzania kutokana na itikadi zake na sera ambazo zinatoa mwanga kwa kila anaezifahamu na hata kwa yule anaehadithiwa ,ni chama ambacho kama kisingehujumiwa basi leo hii waTanzania wangelikuwa mbali sana kimaendeleo.

  Nguvu za CUF zimedumaa kutokana na dhoruba ilizopita na sasa imeanza kupata ahueni na kuanza kujipapatua ili kirudie katika hali yake ya zamani ili kufanikisha malengo yake ya kuliongoza Taifa hili la Tanzania.CUf inaamini kabisa nguvu za wanachama wake bado zipo kwani aliewahi kukipenda chama hiki basi hawezi kukiacha na ikionekana amekiacha basi bado ndani ya moyo wake ipo nafasi ya CUF ni kama wale askari wa akiba ,ambao wakati wowote vita ikitokea huwa wapo tayari kupambana.

  Akiba hii ya wanachama ambao ndani yamioyo yao bado CUF imo na wapo tayari kwa lolote lile ,hawa ndio wale walio ngangari kinoma na ndio hazina ya CUF iliyo nyamaza na ipo kimya na ni hazina kubwa sana ,isiyomilikiwa na chama kingine.Karibu mbiu ya mgambo itaitishwa ili kuanza mapambano mepya ya kumrudisha na kuwarudisha maadui nyuma.
   
 2. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Umemaliza?
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  kwa nini msijiunge na Nappe ili muende sambamba.?
   
 4. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza Zanzibar wameandikiwa wamiliki wa Sehemu za Kitalii wafunge mchana, hata Watalii wasipewe chakula wakati wa mwezi wa Ramadhani, hii hatua kubwa nyuma ni baada ya Wizara husika ya Utalii kupewa CUF hapa Zanzibar. Ila Zaidi ya nusu ya Wazanzibari wanapekuwa Menu wakati wa Ramadhani ila kwa kujificha, pia karibu nusu ya vijana wote watakudokeza kuwa wao Nguruwe wanamshusha freshi tuuu!
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yameanza bro ,na ndio kama unavyosikia ,kama upo katikati ya njia na unaitaji kuishi ondoka njiani, la kama liwalo na liwe basi wabeep jamaa zako waanze kukutayarishia kaburi.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Samahani ,dini ya uislamu inaheshimu uhuru wa mtu awe muislamu au kafiri ,sidhani kama Zanzibar inafuata sheria za kiislamu,na katika dini ya Kiislamu ambayo mimi nimo ,haimuingilii mtu ,wewe na hiari yako,ukila ukitema ,imesemwa ndani ya dini yetu hii tukufu ...hakuna kulazimishana katika dini..! Na kama haitoshi imeongezewa kuwa kila mtu atabeba mzigo wake ,so far hao viongozi walioweka mikakati ya Ramadhani labda niseme wanajitua mzigo huo kwa upande wao.

  Na hii topik haihusiani na dini kuwa mtu endelevu na usiwe kama mapepe ya mfalme anetembea uchi akiamini amevaa nguo utakuwa huna tofauti nae.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nape ndio nani ? Mimi simuelewi wala sina habari nae ,isiwe amewakurupusha huko mkafikiri na huku atathubutu ,huku hakuna kazi za kitoto ,ni mambo ya watu wazima tu.
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sasa mkutano wao wa Arusha mbona ulikuwa una visa?
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wewe kumbe huwezi kuvumilia siasa ,siasa ina mambo na visa kabakaba ,na hayo ya Arusha kama kwako wewe ni visa basi kwa wenzio ni mitihani katika kaziya siasa.
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kwani nye CUF mme wenu(CCM) lini amewapa talaka?
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Baada ya kutambua kuwa ni shoga kama nyie ! hivyo tumeonelea tuwache mashoga wawili muwe mkipashana ,vipi hapo bungeni bado mnaendelea kupashana ,mbona kitanuka ! kudadadeki .
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu Mwiba, kama unakubali visa kabakaba, basi si uendelee kuvumilia hivyohivo maana ndivyo siasa ilivyo!

  Kapitie manifesto ya CUF ya 2005, kisha linganisha na ile ya 2010... na baada ya hapo fuatilia ahadi za Maalim Seif alizotoa Michenzani na kwingineko wakati wa kampeni 2010, kisha tathmini mwenyewe yale aliyotimiliza na sasa akiwa amebakiwa na miaka miwili au pungufu hiyo 'ndoa' ijifie... faraja za mpito hazidumu yakhe - jipangeni!!
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hongereni Cuf! kazeni buti!
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  unapiga kelele bure ndoa ndoano,CUF ni chama isiyoweza kujitegemea chenyewe
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  You sound like a lone man in the desert, unaongelea kuwepo nchi nzima! Nchi ipi iyo, Zanzibar? Hivi huhisi kama unaongea peke yako?
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Unajua hata ccm wakifanya mkutano sasa hivi Arusha na wakipata watu 200 kwenye huo mkutano basi wataestimate kuwa ccm inakubalika nchi nzima.And so do Cuf wanadhani hako kamkutano cha dini walikokifanya hapo Arusha baasi ndo wanakubalika..

  Big up Arusha mmekuwa kipimo cha kukubalika Tanzania.
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,500
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280


  Kaka...


  Kama idadi ya watu wenu iko hiyohiyo yu ilhali wapiga kura wanaongezeka basi chama chenu ni cha ajabu kabisa...


  Ndio kitegewe hicho.... hawafi, hawaongezeki...lkn ndiyo tegemeo!!

  Then hao unawaita makafiri ndio kina nani!!??

  Usitupe mwawe kwenye nyumba ya Zege ya mwenzio, ilhali uko kwenye nyumba ya vioo!!!


  .......
  Kila la kheri katika kuchukua "nchi"
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Msisepetuke na GNU ,hizi kawaida huendelea hadi inapokaribia kipindi cha uchaguzi mkuu ,mbona kenya wanayo GNu je hivi mnafuatilia siasa za Kenya ,kama mmeona na mnafuatilia basi ndivyo hivyo hivyo kwa Zanzibar muda ukifika ,pengine serikali hii ya GNU haipo mbali kwa upande huu wa Tanganyika au kama mnavyopenda kuiita Tanzania Bara ,kusema CCM itaondoka iwaachie gari zima ,hilo haliwezekani ni lazima kwanza kulipanda kwa pamoja halafu muelekeo ni kuwashusha CCM huko tuendako .

  siasa za CUF zinatisha na hazitabiriki,mbali ya CCM kupapatuana na kupashana na CDM wanajua fika adui yao mkubwa na ni adui wao nambari one ni CUF ,wanajua kuwa CUF imepambana na hadi kufanikiwa kutia mguu ndani ya ikulu za serikali na Chama tawala pale Zanzibar ,kilichobakia ni kuhakikisha na mguu wa pili nao pia unaingia.

  Huku bara harakati zimekuwa ndogo ila zipo na zinaenda kimipango kwani ndio shina la adui.
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  makafiri ni wanaokufuru !Kama ulisoma vizuri ile mada iliokusudiwa jawabu hilo.
   
 20. M

  Mimi. JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Hao na wenyewe watakua kama mr Dhaifu wadini mno watafanya nchi kua msikiti
   
Loading...