Imezoeleka sana Bodi nyingi wakurugenzi wake ni Wastaafu. Sasa hii ni kwamba ndo wana sifa za kufanya hiyo kazi kuliko wengine? Ni kupeana Ulaji/Kubebana? Lazima Bodi ya wakurigenzi wawe wazee?
Wananchi wa wilaya ya Muheza Tanga wameiomba Tume ya Warioba kuwa,Wabunge WANAOSINZIA BUNGENI wapewe adhabu zifuatazo:- Kuchapwa viboko 3
- Kumwagiwa maji ya baridi...
Sunday, 15 July 2012 10:37
Waandishi Wetu
SERIKALI ya Kenya imesema inazifanyia kazi taarifa za raia wake kukamatwa na kufikishwa kortini nchini kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio...
Nilisikia watoto wadogo si ruksa kushiriki siasa, sasa inanishangaza hapa wakati wa mapokezi ya NAPE huko Rukwa. Tazama picha hii kwa mujibu wa MICHUZI Blog.
Wana Jf mmeona kwenye Daily News ya tarehe 13 Julai 2012 kuwa PPRA imeipiga marufuku kampuni ya Chinese Communication Construction Company (CCCC) kupewa mradi wowote hapa nchini kwa kipindi cha...
Picha hii imewanasa wanaosemekana kuwa MARAFIKI wakubwa katika historia ya siasa za Tanzania. Hapa jinsi walivyokaa ni kama kila mtu yuko kivyake! Any way wamekutana London na wanakumbushia enzi...
NIDA Imevunja Katiba ya Nchi
Mamlaka ya Vitambulisho Nchini Tanzania (NIDA) yamekiuka Katiba ya Nchi. NIDAimeundaa mfumo wa kukusanya taarifa za wakaazi nje ya mfumo rasmi wa serikaliuliowekwa na...
Tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ambayo ama yamesababisha vifo au majeruhi au uharibifu wa mali za watu au umma!
Nafikir muda umefika kwa hivi vyama hasimu kuafikiana na kufanya...
Dr. Asha-Rose Migiro, former Deputy Secretary General of UN nina maswali machache juu yako. Baada ya kusikia kwenye vyombo vya habari kuwa sasa umerudi nyumbani ukidai ili kulitumikia taifa...
Kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa Juu katika nchi hii, na kwakuwa wewe si Kiongozi wa Juu kabisa ktk nchi, na kwakuwa wewe kwa kutumia madaraka na mamlaka uliyopewa ulishindwa kuuzuia mgomo wa...
Ni jambo la kusikitisha katika karne hii ya 21 kuona kijiji bado hakina shule ya msingi,wanafunzi bado wanasafiri kilomita 8 kwenda shule za msingi za vijiji vya jirani(NAMALAMA,MWITENDE).hebu...
Ukumbi wa Gwajima unatarajiwa kufurika watazamaji wa movie kali ya silly season part 2 inayo tarajiwa kuruka hewani muda wowote katika kipindi cha masaa kadhaa yajayo.
Miongoni mwa Sterling...
Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda
Team ya Nchemba, akiambatana na mawaziri watano, Dr. Magufuli, Dr. H. Mwakyembe, S. Wassira, Prof. A. Tibaijuka na A. Mwandry wakiongozwa na Kijana mlopokaji N. Nnauye, watahutubia katika viwanja...
Chama cha wananchi-CUF kimesitisha mkutano wake wa kesho Jangwani kutokana na viwanja hivyo kutumiwa na Kanisa Katoliki katika kongamano maalum la kimataifa.Kongamano hilo litafanyika kwa mwezi...
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha...
mheshimiwa Tundu Lissu amekuwa akichachafya serikali kwa hoja moja mbali mbali hasa zinazohusiana na katiba na mambo ya sheria,yafuatayo ni mifano michache
1.serikali ya zanzibar kuanzisha majeshi...
hii mada iko live StarTV.
Studio Mwanza: Yahya
Mgeni Mwanza: Jimmy
Studio Dodoma: Faraji Charles
Wageni Dodoma: Job Ndugai, Tundu Lisu, Moses Machali
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.