Makada wengi kuhamia CHADEMA 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makada wengi kuhamia CHADEMA 2014

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 15, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  a jinsi ccm wanavyoweweseka ni kweli wanaona wameishiwa kabisa siasa za makundi ndani ya chama chao zinakitafuna chama anaebisha ajitokeze watanzania hawawataki tena chadema kinawanyima usingizi kabisa,nape muaeleze watanzani mawaziri mafisadi mmewafukuza kwenye chama?lowasa,chenge mmewafanya nini ndani chama baada ya hapo muanze kuwa attack chadema mna vita kubwa ndani ya chama na kupambana na chadema poleni sana hao wengi wa makada wenu 2014 wanakimbilia chadema siye na macho aambiwi tazama yanakuja mazuri zaidi toka chadema
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 1,483
  Trophy Points: 280
  kwanini wasubiri mpaka 2014 kama wana nia njema wahame sasa Chadema inatakiwa iandae makada wake kwani hao wanaohamia kwa ajili ya kupata nafasi hawataleta jipya kwani wameonyesha kinachowabakisha huko ni madaraka na marupurupu wanayopata
   
 3. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa hakika ni kweli kweli mtupu
   
 4. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ambaye hajapana hilo gari lenye no. T2015 LAKE ngumu kwani ataendelea kudanganywa kwa kofia na t-shirt
   
 5. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongereni sana m4c
   
 6. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Very well said. Kama kweli ni wazalendo wanatakiwa wafanye kati ya haya matatu:
  1)Wabaki huko huko-wa-fight kukisafisha chama ili kupata CCM safi or

  11)waondoke huko mapema (wajiunge mapema) ili nao wafanye kazi ngumu yakukijenga chama i.e. na wao wapigwe na polisi/wapate adha wananazopata wengine angalau kidogo; waelewe uchungu wakujenga chama or else

  111)Waondoke kwenye chama wabakie neutral i.e. wasijiunge popote.
  Kwakweli wengi wanaosubiri kujiunga baadaye wengi ni wale waoga na wanaopenda mteremko. Yaani wao wanasubiri wenzao wameshafanya kazi ngumu wao wanakuja kujiunga mezani wakati chakula kimeshaandaliwa. Shame!!
   
Loading...