Kwa wafuasi na wapenzi wa CHADEMA, Tutaanza kumkumbuka JK

mlanguzi

Senior Member
Jul 15, 2012
181
10

Binafsi nashukuru Sana utawala wa JK unavyoendelea.
Haya yanayotokea ni Changamoto ya Tawala zote Duniani.Huwezi kuishi ukapitwa na Changamoto za maisha.

i)Kenya- Mauji ya wenyewe kwa wenyewe
2)Uganda - Vita vya Kikabila kati ya Jeshi na Koni
3)Burundi- Karibuni wamepumzika. Hussen Rajab yupo gerezani
4)Rwanda - W
1)Iddi Amin - Uganda
2)Samwel Doo
3)Guine Bissau - Jeshi limepindua nchi, na hali ya kisiasa sio nzuri
4)Malawi - Ushoga umeingia. wananchi wanalalamika
5)Somalia: Vita vya wenyewe kwa wenyewe
6)Ethopia: Majeshi yao yapo ktk Vita. wananchi wao wanakimbia nchi. Maisha magumu.Wengi wanakufa kwenye malori wakikimbia nchi
7)Msumbiji- Mkate Ulipanda bei na wanachi kuuana. juzi tu wametoka ktk Vita vya wenyewe kwa wenyewe
8)Suda.- Wametenganishwa kwa sababu ya Mafuta na gesi
9)Libya - Sote Tunasikia
10)Egypt - Hali tete
11)Aljeria - Vita vya kuviziana
12)Nigeria - Vita vya Kidini
13)Liberia - Samweli Doo alivyotikisa, taylor yupo mahakama ya Kimataifa
14)Comoro- Tumepeleka Jeshi hivi karibuni
15)Kongo- Mapigano ya kikabila yameshika kasi

16)Tanzania 95-2005
Mauji ya Mwembe chai na wakimbizi wa Zanzibar
Yapo mauji mengine ya hapa na pale.

Tanzania 2005 - 2012
Tumshukuru Mungu kutoleta rais huyu.

Matukio
Migomo mingi ya madktari ishatokea
Migomo ya wafanyakazi imeshika kasi lkn hali sio ya Kutisha ukiwa nje mitandao ya Kijamii na magazati
Matukio ya Zanzibar UAMSHO. kama tawala nyengine za Tanzania. Wakimbizi na Vilema vingalijaa
 
Twiga stars skendo ya kusagana mbona umisahau nakuaongezea tu.
 
karibu JF mkuu inaonekana, inaonekana wewe ni Mkenya, maana kiswahili chako ni utata utatanishi
 
Kwahiyo kwa vile kwingine kuna unrests basi nasisi tubweteke, la tusi'react kwa madogoli yanayofanywa na Jk?
 
Ok, kumbe mnapenda yale mateso ya kimyakimya, ya kutesa na kuua raia wanaodai haki zao kimyakimya, hamtaki na nyie mnaohusika na mateso yao yawafike, muadhibiwe, mnawadanganya wananchi kujifanya mko safi wakati kila siku siri zinazidi kufichuka, tunakoelekea kweli pabaya but ndio namna ya kurise Tanzania mpya inayojali watu wake, mbona vijana waoga hivyo, kaza moyo, mediation Bongo inaonekana haitafaa kabisa, kiburi, uonevu na dharau kwa wengine vimezidi hivi nyie vijana wa leo ambao bado mna uoga ingekuwa leo ndio 78, vita vya Kagera, si nchi ingenyanyasika sana, maana kwa hako kauoga mngeshindwa hata kujitetea, na kama pia mngekuwa kipindi kile cha ukoloni wa zamani si mngetawaliwa na kutumikishwa zaidi ya babu zenu kwasababu ya huo uoga wenu, amkeni, kuna muda unafikia changes muhimu zinatakiwa, unafikiri asilimia kubwa ya watu Duniani walipata changes za kweli kwa mediation, ingekuwa hivyo Blacks mpaka leo Marekani wasingeonekana kama wana thamani, wewe naona ni moja ya watu ambao utawala wa Jk umewanufaisha sana kwa kuwapa chance ya kufanya ufisadi mtakavyo, wakati watu wanataabika, so mjiandae kwa mabadiliko ya kweli, si Misri, si wapi, ni Tanzania this time, watu wamechoka mateso, wakati wengine wanapeta na account wanajifungulia nje ya nchi kwa kodi za wananchi, vifaa mahospitalini havitoshi kabisa, userious katika uendelezaji wa uzalishaji wa bidhaa za ndani, za Tanzania, hamna, bado watu wasubiri nini tena, yaani Wageni wanaonekana wa maana sana kuliko Watanzania, wanaachiwa nchi wajilie wanavyotaka, inabidi thamani ya Mtanzania irudishwe, imetosha kuletewa ubabe na kudharauliwa na wageni ndani ya nchi yetu wenyewe
 
Back
Top Bottom