Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz Kadu, said; Aliyemteka Dk Ulimboka akamatwa, atinga kortini...
1 Reactions
155 Replies
16K Views
Katibu wa itikadi na Uenezi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi..,Nape Nnauye yupo katika viwanja vya shule ya msingi kashaulini, wilayani Mpanda akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakiongea kwa mbwembwe wakuu wa wilaya waliotembelea huko wilaya ya Namtumbo Ruvuma na kuwaambia watanzania kuwa hakuna madhara yoyote, Binafsi siwaelewi wao ni wataalamu wa Nishati na Madini hasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
najua kuna mjadala unaondelea katika thread ingine lakini hapa naomba niweke angalau mwanga kidogo kuhusu kesi zinzosahibiana na hii ya Dr. slaa ili mnapojadili mpate mwanga. si vema kuitazama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
NEWS By A JOINT REPORT Posted Saturday, July 14 2012 at 13:12 HUNDREDS OF doctors working in Tanzania government hospitals are leaving the country for greener pastures in other African...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu wa mikoa na wilaya walioteuliwa kipindi kilichopita 1.wakuu wa mikoa wawili (2) ni wabunge viti maalumu ccm 2.wakuu wa wilaya watano (5) ni wabunge vitit maalumu ccm 3. Kumi na tano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kenya yachunguza taarifa za aliyemtesa Dk Ulimboka Sunday, 15 July 2012 10:37 Waandishi Wetu Mwananchi SERIKALI ya Kenya imesema inazifanyia kazi taarifa za raia wake kukamatwa...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
In a corner of Africa, hunters from the Middle East run amok with submachine guns, killing and maiming animals, then spirit away their orphaned...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nashukuru Sana utawala wa JK unavyoendelea. Haya yanayotokea ni Changamoto ya Tawala zote Duniani.Huwezi kuishi ukapitwa na Changamoto za maisha. i)Kenya- Mauji ya wenyewe kwa wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari JF, Chama tawala mwaka huu kinachakua viongozi wake toka shina hadi taifa..,hadi sasa mwenendo unaenda vzr...wanancchi kwa saa wanasubiri final team ya CCM hasa ngazi ya taifa...., Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
30 Quotes of Nelson Mandela 1. A good head and a good heart are always a formidable combination. 2. After climbing a great hill, one only finds that there are many more hills to climb...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Baraza la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limetoa muda wa siku mbili kwa madaktari wote nchini kuwaomba radhi Watanzania pamoja na Serikali kwa kuhusika na mgomo uliosababisha maafa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sunday, 15 July 2012 10:26...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star Tv leo akijibu swali nililouliza na kurudiwa na Uswe wa jF alijibu, 'Mdee alionesha dharau na kubinua vidole' my take: ungeomba radhi ingekuwa bora...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukitafakari mwenendo wa mambo juu ya uendeshaji wa serikali bila shaka utajikuta na maswali mengi kuliko majibu na unaweza kushindwa kuelewa nini kinawasumbua hawa watawala.Yaani kila siku ya...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kuna maswali mengi nyuma ya kiinimacho kilichotangazwa na kamanda Kova juu ya utekaji wa dr Ulimboka. kati ya mengi, Maswali yafuatayo yana wafanya Tanzania wasiamini taarifa ya jeshi la polisi...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Jimboni kwako yametokea maafa yaliyosababishwa na vurugu za kisiasa, tupe kauli yako tafadhali, njoo hapa jamvini tujadili!!! Poleni wanairamba magharibi kwa msiba uliwafika. RIP marehem.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Waziri nchimbi ni mmoja wa mawaziri kati ya viongozi Mh Tundu lissu aliowataja wamepewa vyeo kwa kwa kubebwa.Amekuwa dhaifu kutoa maamuzi hata yalio wazi kuna wakenya anatony ngoo na mwanaye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wenzetu Cuf walipokuwa wakisema Jeshi la Polisi lifanyiwe marekebisho, wanasiasa watz walikuwa bizz. Vyombo vya habari vyetu vilifikia hata kuwakejeli na kusema hizo nido siasa zao. Wakati...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Back
Top Bottom